The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Ila kuwaita wenzio wa CAF CC sio dharau sio?Nimekudharau sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kuwaita wenzio wa CAF CC sio dharau sio?Nimekudharau sana
Mkuu nakukubali sanaaKipindi cha 3 kimeanza hapa namuona chasambi akiwatanguliza mbele mwiko nyuma baada ya shuti kali lililomshinda kipa wa jkt
Kibarua kinahamia kwenu kesho.Buhaahahhahahah 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
View attachment 3232286
Hilo jina ni Kwa mjibu wa Kaduguda
Sio Mimi nilisema ati shirikisho ni mashindano ya akina mama Bali ni Kaduguda Kiongozi pale Simba na Bado yupo hai nenda muulize
we kichwa maji hapa naongelea mechi za nyuma mwiko kwa ujumla we umekimbilia simba, jaribu kujikita kwenye ushindani wa mechiSimba amefungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5.
Je nae ana udhamini wa GSM?
Kumbe huwa unaakili, sasa ulivyoiandama simba? Uzuri uto ni kama kenge, hadi damu imtoke ndo anajua kimenuka.Mechi ilikuwa nzuri
Nampongeza coach wa JKT Tanzania ametupa mechi nzuri
Hii inathibitisha ubora wa ligi
Nampongeza mwamzi Arajiga, ameonyesha tofauti na waamzi wengine
Coach hakuifanyia tathmini nzuri timu ya JKT Tanzania kuwa ni wazuiaji wazuri na wanacheza physical game akaamua kuanza na Chama ambaye sio mzuri kwenye kugongana
Coach afikirie pia kumpumzisha Mudathir anaonekana ametumika sana, anapoza mashambulizi na hapigi penetration pass, nadhani mechi zijazo ajaribu kuanza na Max Nzengeli badala ya Mudathir
Prince Dube anafanya kazi kubwa kiwanjani ila Leo hajapatikana kwenye eneo lake
Wachezaji wa Yanga Sina cha kuwadai, Mimi kama mwana michezo nimeridhika na kiwango cha timu.
League ni marathon natumai uongozi na bench la ufundi litulie tuone mwisho wa msimu tutavuna nini
Yanga Bingwa
Hujui mpiraKuna siku unamka vizuri ila leo umeamka vibaya.. wewe unadanganywa na pasi pasia za bila mipango, yaani leo Yanga wameonesha kiwango kibovu sana..yaani muanzisha mashambulizi ya kuelekea lango la mpinzani hakuwepo... mpango kazi ndani ya pitch hakuna..eti unasema leo wamecheza vizuri..kwasababu na uto nao ni wabovu basi Yanga bingwa.
we ndo hujui mpira umemuona mpinzani yuko vizuri kwasababu ya kiwango kibovu cha Yanga amini usiamini ukweli ndo huo.Hujui mpira
Mpira hauchezwi upande mmoja
Leo mpinzani alikuwa vyema
Wamepita makocha wengi na sasa hawapo na timu....Kwenye maelezo yangu hakuna mahali nimetaja kocha mpya! Badala yake nimesema "makocha wa timu".
Kwaiyo 5imba hakufungwa mara nne mfululizo
Na akili zake mbilikimoKwanza hii Tathimini fupi kama Akili zako