ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mchezo ulikuwa mzuri, ukitawaliwa na mbinu za coaches
Coach Ouma wa SBS alikuja na mbinu Bora, alianza na viungo wagumu kama Nashoni na kujipa muda wa kuimaliza mechi kipindi cha pili
Wasiojuwa mpira yaani mbumbumbu wanasema ati ameanzisha timu dhaifu
Goal keeper Mwasalanga alitoka Tabora United ndo alizuia penalties ya Aziz ki na kufanya save za maana, Leo amepiga kazi kubwa
Elvis Rupia ndo Top scorer wa Singida nadhani ana goals 8, we kama coach utamwekaje bench
Sergie Pokou huyu ana CV kubwa, ametokea Al Hilal na alimtungua mtani kwenye mechi ya kirafiki, we kama coach utamwekaje bench
Damaro Camara huyu ni top kabisa hafai kuwekwa bench
Gadiel Michael ni beki ana CV ya kutisha amecheza Azam, Yanga na Simba na amefanya kazi super
Kwa team Yanga wachezaji hawakucheza vizuri nadhani coach hakutumia hekima kutumia Aziz ki dakika 90 zote hakuwa fit kabisa
Pacome fitness Iko chini nadhani arudi gym atafute fitness yake
Mudathir Bado hachezi vizuri kabisa
Max, Boka, Job, Mwamnyeto, Bacca game nzuri nawapongeza
Goal Keeper Diarra nadhani Eng Hersi amtafuta mlinda mlango mwingine wa kumpa changamoto
Prince Dube Sasa amepata confidence na atafunga sana
Mzize man of the match, ni top striker na naamini ndo MVP wa mwaka huu
Yanga bingwa