Tathmini fupi mechi ya Young Africans vs Singida Black Stars

Unajua mpira niambie mchezaji anae kosa kama Dube kwa kufata uwiano wa nafasi na magoli alafu akawa Bora ?
Haya katazame miss za Kai Havartez
Yupo Arsenal?
Analipwa kiasi Gani?
Ana profile kama Dube?
 
Mpira ulikuwa ni wa pande zote. Magoli yote ya Yanga yalikuwa ni halali. Mwamuzi amechezesha mpira kwa kufuata sheria zote 17 za mpira!

Hongera sana Yanga 💚💛 kwa ushindi.
Lile neno la Yanga Bingwa umelisahau mkuu.

Kukumbushana muhimu
 
Haya katazame miss za Kai Havartez
Yupo Arsenal?
Analipwa kiasi Gani?
Ana profile kama Dube?
Kwaiyo Kai Havartez ana ubora Baada ya kukosa nafasi za wazi 15 na kufunga 9 ?
Hoja ya kulipwa sio kigezo Cha kujadili ubora wa mchezaji kwa sababu mshahara ni makubaliano kabla ya mchezaji kusaini mkataba.
Kai msimu huu haja onyesha ubora na ndio maana Dube kukosa nafasi za wazi nyingi watu wanao fahamu mpira Wana hitaji kuona Yanga Ina sajili mshambuliaji wenye uwezo mkubwa kuliko yeye ambaye atatumia angalau nusu ya hizo nafasi zinazo tengenezwa
 
😀🤣😅Kwaiyo unataka Dube awe Bora zaidi Kai halafu acheze Yanga
Kai ni striker wa timu ya Taifa ya German yupo Arsenal nae ana miss big chances kwaiy sio striker bora
 
HV UNAJUA KUNA MTU ANA SIKU 430+ HAJAWAH KUFUNGA TOKE ATUPIE BAO MOJA WAKA CHASAMBI FC WANAPGWA TANO.
lakn mwamba dube anaendelea kuninyoshea wajinga wote.
Mimi sijaitaja timu yoyote, hapa nazungumzia Dube. Jikite kwenye hoja!
 
😀🤣😅Kwaiyo unataka Dube awe Bora zaidi Kai halafu acheze Yanga
Kai ni striker wa timu ya Taifa ya German yupo Arsenal nae ana miss big chances kwaiy sio striker bora
Wewe utakuwa kichaa hauna taarifa Arsenal msimu huu ina angushwa na Eneo la ushambuliaji ambalo Kai ndio sababu?
 
Niliwaambia dube ataendelea kufunga tumpe muda na nafasi afanye yake,,Mpira ni namba na dube anatusuta kwa hilo goli 9 asisti 8 mchango wa goli 17 alafu mtu aseme sio mshambuliaji!
Pumbu zimetushuka m simsemi tena
 
Mimi namzungumzia Dube, hizo hoja za kulinganisha unazileta mwenyewe, nami siko huko.
Hoja yako haina msingi wowote. Bila kulinganisha vitu huwezi kupata ubora, zaidi utajikuta unaonyesha chuki za waziwazi tu.

Ukitaka kuamini, nitajie wapi ulipoona kuna mshambuliaji mzuri na kwanini. Ukijikita kwenye numbers basi unarudi palepale, na usipotumia numbers sijui utanieleza kwa mfumo gani
 
Yeye ni bora miongoni mwa vilaza, na hicho ndicho ninachokisema.
 
Back
Top Bottom