Tathmini fupi mechi ya Young Africans vs Singida Black Stars

Tathmini fupi mechi ya Young Africans vs Singida Black Stars

Imekuwa ni kawaida sasa mechi za Yanga dhidi ya matawi yao man of the match wanakuwa makocha wa timu za matawi. Leo ni wazi alikuwa kocha wa Singida. Kocha mwenyewe alikiri alipohojiwa baada ya mechi.
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
Tafuta kazi ya kufanya
 

Attachments

  • downloadfile-4.jpg
    downloadfile-4.jpg
    155.5 KB · Views: 1
Imekuwa ni kawaida sasa mechi za Yanga dhidi ya matawi yao man of the match wanakuwa makocha wa timu za matawi. Leo ni wazi alikuwa kocha wa Singida. Kocha mwenyewe alikiri alipohojiwa baada ya mechi.
Tawi letu kuu ni 5imba
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
Luc ana akili sasa.

Engineer naye anadai muda wote wamevimbiwa mihogo.
 
Mchezo ulikuwa mzuri, ukitawaliwa na mbinu za coaches

Coach Ouma wa SBS alikuja na mbinu Bora, alianza na viungo wagumu kama Nashoni na kujipa muda wa kuimaliza mechi kipindi cha pili

Wasiojuwa mpira yaani mbumbumbu wanasema ati ameanzisha timu dhaifu

Goal keeper Mwasalanga alitoka Tabora United ndo alizuia penalties ya Aziz ki na kufanya save za maana, Leo amepiga kazi kubwa

Elvis Rupia ndo Top scorer wa Singida nadhani ana goals 8, we kama coach utamwekaje bench

Sergie Pokou huyu ana CV kubwa, ametokea Al Hilal na alimtungua mtani kwenye mechi ya kirafiki, we kama coach utamwekaje bench

Damaro Camara huyu ni top kabisa hafai kuwekwa bench

Gadiel Michael ni beki ana CV ya kutisha amecheza Azam, Yanga na Simba na amefanya kazi super

Kwa team Yanga wachezaji hawakucheza vizuri nadhani coach hakutumia hekima kutumia Aziz ki dakika 90 zote hakuwa fit kabisa

Pacome fitness Iko chini nadhani arudi gym atafute fitness yake

Mudathir Bado hachezi vizuri kabisa

Max, Boka, Job, Mwamnyeto, Bacca game nzuri nawapongeza

Goal Keeper Diarra nadhani Eng Hersi amtafuta mlinda mlango mwingine wa kumpa changamoto

Prince Dube Sasa amepata confidence na atafunga sana

Mzize man of the match, ni top striker na naamini ndo MVP wa mwaka huu

Yanga bingwa
We mpuuzi umechambua mechi au umewasifia yanga.
 
Y
Basi hapo ushajua kuwa Young Africans ya Sasa sio size yako, ndo maana hayo mashindano yenu ya akina mama hamkushiriki
Ya akina baba mmeishia kuwapikia wababa wa kweli mmerudi na mwili wenu mnaendeleza umama lishe.
 
Wachezaji muhimu wa singida waliwekwa benchi ili yanga washinde kirahisi

ARTHUR BADA
ANTHONY TRA BI
TCHAKEI
IMORO
SOWAH
EDMUND

Na baada ya mechi kuisha na kocha kupokea bahasha kafurahi sana.
 
Back
Top Bottom