Tathmini fupi mechi ya Young Africans vs Singida Black Stars

Kimataifa yenu nyie ata Namungo alishacheza makundi kwaiyo iyo michuano ya nyongeza kama nyanya mbovu usitambe nayo mbele ya wanaume
Utopolo vipi, nao wanasubiri droo ya robo fainali au tuwashtue kuwa hawapo? 😂
 
Me natokea Kanda ya ziwa nafanya hip hop
Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa ni wagumu sana
Unaweza ukajiwekea biti mwenyewe watu wanakusolola..waimba wagumu mwanza ni wawili tu faridi kubanda na Rado wewe zako taarabu si unaonekana tu!
 
Lini? Nasema inashiriki? 😂😂😂
Basi hapo ushajua kuwa Young Africans ya Sasa sio size yako, ndo maana hayo mashindano yenu ya akina mama hamkushiriki
 
Unaweza ukajiwekea biti mwenyewe watu wanakusolola..waimba wagumu mwanza ni wawili tu faridi kubanda na Rado wewe zako taarabu si unaonekana tu!
Hujawahi kufika Kanda ziwa
 
Basi hapo ushajua kuwa Young Africans ya Sasa sio size yako, ndo maana hayo mashindano yenu ya akina mama hamkushiriki
Mbona unazungumzia past tenses? Nasema utopolo inasubiri droo ya robo fainali ya CAFCL. Tuwashtue au tuwaache? 😀😀😀
 
5imba ipo CAFCL?
Au ipo kimataifa ipo?
 
Back
Top Bottom