Tathmini fupi mechi ya Young Africans vs Singida Black Stars

Usije kusema ati shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama nayo ni kimataifa
Ukielewa neno kimataifa linamaanisha jambo linalofanyika katika hatua ya nje ya mipaka ya kitaifa, wala huhitaji maelezo mengi
 
Nusu ya magoli ya penalty but na tattoo kachora hii nchi ngumu sana hii
Kwani huyo mwenye kiwewe cha miguu cha kuanguka hovyo aka Dubela mwanzoni si mlimkataa nyie kwanza anafunga magoli mepesi mepesi ...
Mabeki leo wote wamekaa pembeni wanamsubiri apige kichwa hahahaaha nyieee mechi ya leo kichekesho.
 
Ukielewa neno kimataifa linamaanisha jambo linalofanyika katika hatua ya nje ya mipaka ya kitaifa, wala huhitaji maelezo mengi
Kimataifa ni CAFCL pekee
Hayo mashindano mengine ni uchafu na uchaguzi ndo maana timu kubwa na bingwa hazishiriki
 
Kwani huyo mwenye kiwewe cha miguu cha kuanguka hovyo aka Dubela mwanzoni si mlimkataa nyie kwanza anafunga magoli mepesi mepesi ...
Mabeki leo wote wamekaa pembeni wanamsubiri apige kichwa hahahaaha nyieee mechi ha leo kichekesho.
Kwaiyo Leo ndio kafunga goli 9 zote? Kiwewe cha miguu lakini keshakuweka sio mara Moja Wala mara mbili habari zake unazo
 
Kimataifa ni CAFCL pekee
Hayo mashindano mengine ni uchafu na uchaguzi ndo maana timu kubwa na bingwa hazishiriki
Sawa, basi tufanye utopolo haishiriki kimataifa. Hapo bado unakataa? 😂
 
Ukielewa neno kimataifa linamaanisha jambo linalofanyika katika hatua ya nje ya mipaka ya kitaifa, wala huhitaji maelezo mengi
Kimataifa yenu nyie ata Namungo alishacheza makundi kwaiyo iyo michuano ya nyongeza kama nyanya mbovu usitambe nayo mbele ya wanaume
 
Sawa, basi tufanye utopolo haishiriki kimataifa. Hapo bado unakataa? 😂
Yanga iliishia group stage na ndo timu pekee ilikuwa inacheza mashindano ya kimataifa
 
Back
Top Bottom