Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwa natazama kwaiyo unataka Kila nafasi dube afunge?Huwa unatazama mechi za Yanga?
Wewe huwa unatazama mpira na kuona nafasi anazopoteza Dube?Kwaiyo Yanga imepoteza nafasi 50 na Leo imefikisha magoli 50 😅😅kwaiyo zingetumika Yanga angekuwa na magoli 100
Tazama mpira hizo nafasi 50 Bado hazitokea na kupotezwa na mchezaji mmoja na Leo ni mechi ya 20
Hata katika kundi la wajinga kuna kuzidiana. Ana takwimu nzuri dhidi ya wabovu wengine, na hii haimfanya awe bora katika viwango vya ubora.Ana mchango wa goli 15 leta striker mwenye hizo numbers
Kupoteza nafasi ni sehemu ya mchezo, lakini kupoteza nyingi kuliko kupata ndiko kunaleta mashaka.Kuna striker Gani hajawahi poteza nafasi
Harry Cane ana miss
Lewandoski ana miss
Mbape ana miss
Kai ana miss
Kila nafasi haiwezi kuwa goli
Mayele msimu alifanya vyema alikuwa na goals 17 tuHata katika kundi la wajinga kuna kuzidiana. Ana takwimu nzuri dhidi ya wabovu wengine, na hii haimfanya awe bora katika viwango vya ubora.
____
Unamkumbuka Jerry Tegete ama Okwi?
Hebu mfananishe Dube na hii mitambo ya magoli. Na kama hao hukuwashuhudia, mfananishe na Mayele tu. Anaweza kuvaa viatu vyake?
Bado haitaondoa ukweli kwamba hadi sasa kaonesha kiwango cha kawaida mno.Mayele msimu alifanya vyema alikuwa na goals 17 tu
Tuko hapa subiri Dube atafunga ngapi kwenye msimu wa kwanza akiwa Yanga
Wewe unajua?Hujui mpira
Wahi matibabu kakaUwiano kati ya nafasi anazopata na anazozitumia ndiyo unafanya aonekane kilaza.
Nafasi 50+ halafu anatumia 17.
Wewe hujui kucheza wala kutazama mpira.Nimekwambia hujui mpira
Makolo wanajiona wao tu ndiyo wenye haki ya kufungwa na YangaMashabiki wa Simba tulieni kila timu itafungwa na Yanga