Tathmini fupi mechi ya Young Africans vs Singida Black Stars

Mchezo ulikuwa mzuri, ukitawaliwa na mbinu za coaches

Coach Ouma wa SBS alikuja na mbinu Bora, alianza na viungo wagumu kama Nashoni na kujipa muda wa kuimaliza mechi kipindi cha pili

Wasiojuwa mpira yaani mbumbumbu wanasema ati ameanzisha timu dhaifu

Goal keeper Mwasalanga alitoka Tabora United ndo alizuia penalties ya Aziz ki na kufanya save za maana, Leo amepiga kazi kubwa

Elvis Rupia ndo Top scorer wa Singida nadhani ana goals 8, we kama coach utamwekaje bench

Sergie Pokou huyu ana CV kubwa, ametokea Al Hilal na alimtungua mtani kwenye mechi ya kirafiki, we kama coach utamwekaje bench

Damaro Camara huyu ni top kabisa hafai kuwekwa bench

Gadiel Michael ni beki ana CV ya kutisha amecheza Azam, Yanga na Simba na amefanya kazi super

Kwa team Yanga wachezaji hawakucheza vizuri nadhani coach hakutumia hekima kutumia Aziz ki dakika 90 zote hakuwa fit kabisa

Pacome fitness Iko chini nadhani arudi gym atafute fitness yake

Mudathir Bado hachezi vizuri kabisa

Max, Boka, Job, Mwamnyeto, Bacca game nzuri nawapongeza

Goal Keeper Diarra nadhani Eng Hersi amtafuta mlinda mlango mwingine wa kumpa changamoto

Prince Dube Sasa amepata confidence na atafunga sana

Mzize man of the match, ni top striker na naamini ndo MVP wa mwaka huu

Yanga bingwa
Tutegemee mwasalanga,poku,rupia,nashoni,pokou,gadiel kuwaona mechi tatu mfululizo za singida ,winning team never change , otherwise umeandika takataka tu na moyoni unaona aibu.
 
Kimataifa ni CAFCL pekee
Hayo mashindano mengine ni uchafu na uchaguzi ndo maana timu kubwa na bingwa hazishiriki
Timu ambayo haipo hata ndani ya 10 bora za Afrika kwa mujibu wa CAF hiyo ni timu ndogo tu
 
Attachments

  • Screenshot_20250218-004928.png
    Screenshot_20250218-004928.png
    926.1 KB · Views: 1
Basi hapo ushajua kuwa Young Africans ya Sasa sio size yako, ndo maana hayo mashindano yenu ya akina mama hamkushiriki
Yanga ndio mama mkubwa maana amefika hadi fainali na anaringia vidani vya kina mama alivyopewa badala ya kombe.CAFCL sio size yake ndio maana anachezea vichapo tu
 
Uwiano kati ya nafasi anazopata na anazozitumia ndiyo unafanya aonekane kilaza.
Nafasi 50+ halafu anatumia 17.
HV UNAJUA KUNA MTU ANA SIKU 430+ HAJAWAH KUFUNGA TOKE ATUPIE BAO MOJA WAKA CHASAMBI FC WANAPGWA TANO.
lakn mwamba dube anaendelea kuninyoshea wajinga wote.
 
Kipindi hicho Rais wa nchi alikuwa Samia?
Sisi tunaongelea mambo yaliyotokea kwenye uongozi wa Samia
Wewe na nani? Utopolo kula kichapo cha 5-0 kinahusiana vipi na urais wa Samia?kwa nini msizungumzie vipigo wakati Waziri wa Michezo ni Profesa Kabudi?
 
Mchezo ulikuwa mzuri, ukitawaliwa na mbinu za coaches

Coach Ouma wa SBS alikuja na mbinu Bora, alianza na viungo wagumu kama Nashoni na kujipa muda wa kuimaliza mechi kipindi cha pili

Wasiojuwa mpira yaani mbumbumbu wanasema ati ameanzisha timu dhaifu

Goal keeper Mwasalanga alitoka Tabora United ndo alizuia penalties ya Aziz ki na kufanya save za maana, Leo amepiga kazi kubwa

Elvis Rupia ndo Top scorer wa Singida nadhani ana goals 8, we kama coach utamwekaje bench

Sergie Pokou huyu ana CV kubwa, ametokea Al Hilal na alimtungua mtani kwenye mechi ya kirafiki, we kama coach utamwekaje bench

Damaro Camara huyu ni top kabisa hafai kuwekwa bench

Gadiel Michael ni beki ana CV ya kutisha amecheza Azam, Yanga na Simba na amefanya kazi super

Kwa team Yanga wachezaji hawakucheza vizuri nadhani coach hakutumia hekima kutumia Aziz ki dakika 90 zote hakuwa fit kabisa

Pacome fitness Iko chini nadhani arudi gym atafute fitness yake

Mudathir Bado hachezi vizuri kabisa

Max, Boka, Job, Mwamnyeto, Bacca game nzuri nawapongeza

Goal Keeper Diarra nadhani Eng Hersi amtafuta mlinda mlango mwingine wa kumpa changamoto

Prince Dube Sasa amepata confidence na atafunga sana

Mzize man of the match, ni top striker na naamini ndo MVP wa mwaka huu

Yanga bingwa
utopolo mtupu
 
Kwaiyo Yanga imepoteza nafasi 50 na Leo imefikisha magoli 50 😅😅kwaiyo zingetumika Yanga angekuwa na magoli 100
Tazama mpira hizo nafasi 50 Bado hazitokea na kupotezwa na mchezaji mmoja na Leo ni mechi ya 20
Kama Wewe ndio una sema unajua Mpira basi tuna safari ndefu Sana kwenye mpira wetu.
Hata kama una mapenzi na timu Yako lakini uwe na hekima na uelewa wa mpira sio porojo za ushabiki tu.
Dube amefunga magoli 9 ligi kuu lakini ndiye mshambuliaji aliye kosa magoli mengi ya wazi kuliko wote ligi kuu.
Kama mshambuliaji ametengenezewa nafasi za wazi 50 alafu amefunga 9 basi Kuna tatizo kwake la kutumia nafasi na sio Klabu kutengeneza nafasi.
Kati ya goli zake 9 goli 5 kafunga kwenye mechi 2 kwaiyo kimsingi Hawa uwiano bora wa kishambuliaji.
Yanga wagekuwa na mtu kama Jonathan Sowah wagekuwa na magoli mengi Sana na hata Kimataifa wasingekuwa nje.
JADILI MPIRA SIO USHABIKI NA UJUAJI WA KIJINGA KWA LENGO LA USHABIKI MAANDAZI.
 
Nafasi zipi 50 za wazi hizo amezikosa?
Dube ni mchezaji mpya ndani ya kikosi
Ametoka Azam timu ambayo ilikuwa haina pressure kama Yanga
Dube ni binadamu, Kuna vitu anavijenga taratibu
 
Mchezo ulikuwa mzuri, ukitawaliwa na mbinu za coaches

Coach Ouma wa SBS alikuja na mbinu Bora, alianza na viungo wagumu kama Nashoni na kujipa muda wa kuimaliza mechi kipindi cha pili

Wasiojuwa mpira yaani mbumbumbu wanasema ati ameanzisha timu dhaifu

Goal keeper Mwasalanga alitoka Tabora United ndo alizuia penalties ya Aziz ki na kufanya save za maana, Leo amepiga kazi kubwa

Elvis Rupia ndo Top scorer wa Singida nadhani ana goals 8, we kama coach utamwekaje bench

Sergie Pokou huyu ana CV kubwa, ametokea Al Hilal na alimtungua mtani kwenye mechi ya kirafiki, we kama coach utamwekaje bench

Damaro Camara huyu ni top kabisa hafai kuwekwa bench

Gadiel Michael ni beki ana CV ya kutisha amecheza Azam, Yanga na Simba na amefanya kazi super

Kwa team Yanga wachezaji hawakucheza vizuri nadhani coach hakutumia hekima kutumia Aziz ki dakika 90 zote hakuwa fit kabisa

Pacome fitness Iko chini nadhani arudi gym atafute fitness yake

Mudathir Bado hachezi vizuri kabisa

Max, Boka, Job, Mwamnyeto, Bacca game nzuri nawapongeza

Goal Keeper Diarra nadhani Eng Hersi amtafuta mlinda mlango mwingine wa kumpa changamoto

Prince Dube Sasa amepata confidence na atafunga sana

Mzize man of the match, ni top striker na naamini ndo MVP wa mwaka huu

Yanga bingwa
Mdogo wangu Hebu acha kuonyesha ujinga wako hadharani basi !!!
Mpango wa kwanza wa ushindi ni kupanga wachezaji wenye ubora kulingana na ukubwa wa mechi yenyewe !!!
Jambo la pili ni kupanga wachezaji ambao Wana maelewano kwenye maeneo yote kuanzia Ulinzi mpaka ushambuliaji.
Kama kocha ana badili kikosi kwa wachezaji 7 wa kikosi Cha kwanza alafu una sema ni mpango wa Mwalimu ulikuwa mzuri basi ulipo jifunza mpira waambie warudishe Hela ya ada uliyotoa kwa ajili ya kozi.
 
Nafasi zipi 50 za wazi hizo amezikosa?
Dube ni mchezaji mpya ndani ya kikosi
Ametoka Azam timu ambayo ilikuwa haina pressure kama Yanga
Dube ni binadamu, Kuna vitu anavijenga taratibu
Kukosa nafasi ni presha au uwezo wa kutumia nafasi ?
 
Back
Top Bottom