NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Ikitokea hakuna atakaezuia,pia vinyaji vilipata kuitwa bingwa watu walijinyea sana kwa hiyo bia.Yanga bingwa 🏆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikitokea hakuna atakaezuia,pia vinyaji vilipata kuitwa bingwa watu walijinyea sana kwa hiyo bia.Yanga bingwa 🏆
Hao unaoona ni bora lete takwimu zao. Huwezi kusema tu hamna kitu, umelinganisha na nani?Mimi ni Yanga. Najua mpira na kwa ujasiri nakweleza kuwa bwana mdogo hamna kitu.
Nafasi nyingi za wazi anazipoteza.
Tutegemee mwasalanga,poku,rupia,nashoni,pokou,gadiel kuwaona mechi tatu mfululizo za singida ,winning team never change , otherwise umeandika takataka tu na moyoni unaona aibu.Mchezo ulikuwa mzuri, ukitawaliwa na mbinu za coaches
Coach Ouma wa SBS alikuja na mbinu Bora, alianza na viungo wagumu kama Nashoni na kujipa muda wa kuimaliza mechi kipindi cha pili
Wasiojuwa mpira yaani mbumbumbu wanasema ati ameanzisha timu dhaifu
Goal keeper Mwasalanga alitoka Tabora United ndo alizuia penalties ya Aziz ki na kufanya save za maana, Leo amepiga kazi kubwa
Elvis Rupia ndo Top scorer wa Singida nadhani ana goals 8, we kama coach utamwekaje bench
Sergie Pokou huyu ana CV kubwa, ametokea Al Hilal na alimtungua mtani kwenye mechi ya kirafiki, we kama coach utamwekaje bench
Damaro Camara huyu ni top kabisa hafai kuwekwa bench
Gadiel Michael ni beki ana CV ya kutisha amecheza Azam, Yanga na Simba na amefanya kazi super
Kwa team Yanga wachezaji hawakucheza vizuri nadhani coach hakutumia hekima kutumia Aziz ki dakika 90 zote hakuwa fit kabisa
Pacome fitness Iko chini nadhani arudi gym atafute fitness yake
Mudathir Bado hachezi vizuri kabisa
Max, Boka, Job, Mwamnyeto, Bacca game nzuri nawapongeza
Goal Keeper Diarra nadhani Eng Hersi amtafuta mlinda mlango mwingine wa kumpa changamoto
Prince Dube Sasa amepata confidence na atafunga sana
Mzize man of the match, ni top striker na naamini ndo MVP wa mwaka huu
Yanga bingwa
Timu ambayo haipo hata ndani ya 10 bora za Afrika kwa mujibu wa CAF hiyo ni timu ndogo tuKimataifa ni CAFCL pekee
Hayo mashindano mengine ni uchafu na uchaguzi ndo maana timu kubwa na bingwa hazishiriki
Yanga ndio mama mkubwa maana amefika hadi fainali na anaringia vidani vya kina mama alivyopewa badala ya kombe.CAFCL sio size yake ndio maana anachezea vichapo tuBasi hapo ushajua kuwa Young Africans ya Sasa sio size yako, ndo maana hayo mashindano yenu ya akina mama hamkushiriki
HV UNAJUA KUNA MTU ANA SIKU 430+ HAJAWAH KUFUNGA TOKE ATUPIE BAO MOJA WAKA CHASAMBI FC WANAPGWA TANO.Uwiano kati ya nafasi anazopata na anazozitumia ndiyo unafanya aonekane kilaza.
Nafasi 50+ halafu anatumia 17.
Wewe na nani? Utopolo kula kichapo cha 5-0 kinahusiana vipi na urais wa Samia?kwa nini msizungumzie vipigo wakati Waziri wa Michezo ni Profesa Kabudi?Kipindi hicho Rais wa nchi alikuwa Samia?
Sisi tunaongelea mambo yaliyotokea kwenye uongozi wa Samia
utopolo mtupuMchezo ulikuwa mzuri, ukitawaliwa na mbinu za coaches
Coach Ouma wa SBS alikuja na mbinu Bora, alianza na viungo wagumu kama Nashoni na kujipa muda wa kuimaliza mechi kipindi cha pili
Wasiojuwa mpira yaani mbumbumbu wanasema ati ameanzisha timu dhaifu
Goal keeper Mwasalanga alitoka Tabora United ndo alizuia penalties ya Aziz ki na kufanya save za maana, Leo amepiga kazi kubwa
Elvis Rupia ndo Top scorer wa Singida nadhani ana goals 8, we kama coach utamwekaje bench
Sergie Pokou huyu ana CV kubwa, ametokea Al Hilal na alimtungua mtani kwenye mechi ya kirafiki, we kama coach utamwekaje bench
Damaro Camara huyu ni top kabisa hafai kuwekwa bench
Gadiel Michael ni beki ana CV ya kutisha amecheza Azam, Yanga na Simba na amefanya kazi super
Kwa team Yanga wachezaji hawakucheza vizuri nadhani coach hakutumia hekima kutumia Aziz ki dakika 90 zote hakuwa fit kabisa
Pacome fitness Iko chini nadhani arudi gym atafute fitness yake
Mudathir Bado hachezi vizuri kabisa
Max, Boka, Job, Mwamnyeto, Bacca game nzuri nawapongeza
Goal Keeper Diarra nadhani Eng Hersi amtafuta mlinda mlango mwingine wa kumpa changamoto
Prince Dube Sasa amepata confidence na atafunga sana
Mzize man of the match, ni top striker na naamini ndo MVP wa mwaka huu
Yanga bingwa
Bangi ya kuweka chooni tena choo cha nyasi ili ipate uvundo, kikikikiNi bangi za kuvutia chooni uyo sio mzima
Umekimbia hoja uliyoanzisha wewe mwenyewe.Utopolo hajawahi kulipa goli 5-0 walizopigwa,acha zile 6-0,nne nne ndio nyingi sana mmepigwaAcha kulia
Kama Wewe ndio una sema unajua Mpira basi tuna safari ndefu Sana kwenye mpira wetu.Kwaiyo Yanga imepoteza nafasi 50 na Leo imefikisha magoli 50 😅😅kwaiyo zingetumika Yanga angekuwa na magoli 100
Tazama mpira hizo nafasi 50 Bado hazitokea na kupotezwa na mchezaji mmoja na Leo ni mechi ya 20
Hata wajinga Wana zeeka !!!Mpira ulikuwa ni wa pande zote. Magoli yote ya Yanga yalikuwa ni halali. Mwamuzi amechezesha mpira kwa kufuata sheria zote 17 za mpira!
Hongera sana Yanga 💚💛 kwa ushindi.
Sasa Wewe una IQ ipi Mbona una jadili KISHABIKI kuliko kitaalamu?Huna IQ ya kujadiliana na mimi
Nafasi zipi 50 za wazi hizo amezikosa?Kama Wewe ndio una sema unajua Mpira basi tuna safari ndefu Sana kwenye mpira wetu.
Hata kama una mapenzi na timu Yako lakini uwe na hekima na uelewa wa mpira sio porojo za ushabiki tu.
Dube amefunga magoli 9 ligi kuu lakini ndiye mshambuliaji aliye kosa magoli mengi ya wazi kuliko wote ligi kuu.
Kama mshambuliaji ametengenezewa nafasi za wazi 50 alafu amefunga 9 basi Kuna tatizo kwake la kutumia nafasi na sio Klabu kutengeneza nafasi.
Kati ya goli zake 9 goli 5 kafunga kwenye mechi 2 kwaiyo kimsingi Hawa uwiano bora wa kishambuliaji.
Yanga wagekuwa na mtu kama Jonathan Sowah wagekuwa na magoli mengi Sana na hata Kimataifa wasingekuwa nje.
JADILI MPIRA SIO USHABIKI NA UJUAJI WA KIJINGA KWA LENGO LA USHABIKI MAANDAZI.
Mdogo wangu Hebu acha kuonyesha ujinga wako hadharani basi !!!Mchezo ulikuwa mzuri, ukitawaliwa na mbinu za coaches
Coach Ouma wa SBS alikuja na mbinu Bora, alianza na viungo wagumu kama Nashoni na kujipa muda wa kuimaliza mechi kipindi cha pili
Wasiojuwa mpira yaani mbumbumbu wanasema ati ameanzisha timu dhaifu
Goal keeper Mwasalanga alitoka Tabora United ndo alizuia penalties ya Aziz ki na kufanya save za maana, Leo amepiga kazi kubwa
Elvis Rupia ndo Top scorer wa Singida nadhani ana goals 8, we kama coach utamwekaje bench
Sergie Pokou huyu ana CV kubwa, ametokea Al Hilal na alimtungua mtani kwenye mechi ya kirafiki, we kama coach utamwekaje bench
Damaro Camara huyu ni top kabisa hafai kuwekwa bench
Gadiel Michael ni beki ana CV ya kutisha amecheza Azam, Yanga na Simba na amefanya kazi super
Kwa team Yanga wachezaji hawakucheza vizuri nadhani coach hakutumia hekima kutumia Aziz ki dakika 90 zote hakuwa fit kabisa
Pacome fitness Iko chini nadhani arudi gym atafute fitness yake
Mudathir Bado hachezi vizuri kabisa
Max, Boka, Job, Mwamnyeto, Bacca game nzuri nawapongeza
Goal Keeper Diarra nadhani Eng Hersi amtafuta mlinda mlango mwingine wa kumpa changamoto
Prince Dube Sasa amepata confidence na atafunga sana
Mzize man of the match, ni top striker na naamini ndo MVP wa mwaka huu
Yanga bingwa
Kukosa nafasi ni presha au uwezo wa kutumia nafasi ?Nafasi zipi 50 za wazi hizo amezikosa?
Dube ni mchezaji mpya ndani ya kikosi
Ametoka Azam timu ambayo ilikuwa haina pressure kama Yanga
Dube ni binadamu, Kuna vitu anavijenga taratibu