battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,717
- 2,582
Mjinga akizidiwa hoja ,huchomoa kisu ,Umeme ni biashara,musipotuuzia,tutanunua kenya.Rasilimali gani, hakuna mashamba, mito , elimu duni, vyanzo vya nishati hamna, ni kunywa kahawa kazi hamfanyi, tukiamua tutawawekea vikwazo vya kiuchumi, nyie zanzibar ni koloni letu. Hatuwapi umeme, hatuwauzii chakula, tunawafungia kuingia bara, mtakufa wote, hakuna zanzibar bila tanganyika bara
Magu alitaka kujaribu kutuzimia umeme,alipoambiwa tutatumia kibatari mbona kaufyata?
Koloni huwa halina mkataba wa muungano.,Sisi na Nyinyi pana makubaliano.Sheni akiamua leo hii Basi ,itabidi uchomoe kisu ,that will be your own risk.
Time will tell