battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,717
- 2,582
Mbona sisi ni wamoja kitambo! ila kuna kidudu mtu hapa anatuchezea akili,Ngoja kwanza tukae sawa. Sisi Wazanzibari tutakapojua maana ya umoja mambo yatakwend sawa, la sivyo, wacha tujifunze kuishi kwanza.
Tanganyika tangu zamani ilituchezea mchezo mchafu.
hebutazama Muungano wa
African Association na Shirazi Association ----->ASP
hiii AA walikuwa WAtanganyika watupu tena wengi wao walikuwa Wakiristo.
Hawa walidhamiria kuwa Zanzibar isiwe taifa huru,ila liwe sehemu ya Tanganyika na wasipewe Uhuru wazalendo wenye damu mchanganyiko bali wapewe Watu weusi wenyei Asili ya Afrika tuu( wa Bara ) .Na wao waliwabeza hata hao washirika wenzao kwa kujiita washirazi ilhali wao ni watu weusi.
Hawa ndo tatizo zanziba ,Wanaimarisha siasa za kibaguzi za Ugozi hadi leo.MACHOTARA HAPA SI KWAO.
SEEEEE