Uchaguzi 2020 Tathmini: Tamasha la CCM lilikuwa la hovyo na aibu tupu

Uchaguzi 2020 Tathmini: Tamasha la CCM lilikuwa la hovyo na aibu tupu

Vijana hao ila Good thing ni nyimbo 500 za CCM Kutoka kwa wasanii zaidi ya 200
ivi unakusanya wasanii 200 kwenda kufanya nini wakati unajisifu kila siku kwamba wewe ni chizi/raisi wa wanyonge? si ukawambie tu umenunua midege,reli, na ujinga woooote bila kusahau KUPORA KOROSHO, kuua watu MKIRU, KUUWA ZAO LA PAMBA, CHOROKO NK?
Wasanii 200 wangetumbuizaje sasa? na unajuaje kwamba wote ni CCM?
CCM CHAMA CHA HOVYO SANA
 
Kwanza kabisa waandaaji hawakuwa na uhakika wa kile walichokua wanataka kukifanya! Hawakujua agenda au maudhui ya kusanyiko hilo, matokeo yake ilikua kama gulio la wahuni au tuite panya road.

Pili, hakukua na nidhamu, lugha za kihuni (Mbasha, Halafu wewe ni bangi sana), kulikuwa na kupigana hadharani tena wakiwa "live"! Maana yake ni kwamba hawa walikua wahuni, wasiojitambua, wafia tumbo, wasio na uhakika na kesho yao.

Tatu, ni miongoni mwa matamasha ya hovyo kupata kutokea Tanzania, kiasi kwamba isingekua tukio la hao Wahuni kufanyiana vurugu basi hakuna NTU angejua kabisa uwepo wa Tamasha hili. Yaani hata mdundiko wa mtaani una afadhali.

Nne, walishindwa kabisa kupeleka " meseji" waliyotumwa waipeleke maana hata wao wenyewe hawakua na uhakika na meseji yenyewe!

Tano, kuna taarifa kuwa tukio zima lilitawaliwa na vitendo vya kihalifu, kuibiana, kashfa, ngono zembe na mengineyo.

Takukuru ya CCM inabidi wapitie mapato na matumizi ya hii shughuli.

Ubora wake, walifanikiwa kulipa vijana waliowaita Wasanii kwa pesa ndogo ndogo na wengine kukopwa kwa ahadi ya kutumika kwenye kampeni (kuwa compasated) basi hilo tu.

Mwisho, next time tumieni Waandaji ambao sio Wapigaji (hata hivyo sidhani kama kwa CCM unaweza kuwapata, I stand to be corrected).

Nawasilisha, ongezeni mapungufu yao ili kuwasaidia.
Ahahahahahahah! Mwenye wivu utamjua tu. Katumbua macho mwanzo mwisho asipitwe na tukio hata moja, halafu anasema halikufanikwa! Ahahahahahaha!
 
Ule ni mtama wa kihistoria. Uingizwe kwenye guiness book of record.

Tunamshukuru Mchovu kwa kubadili upepo wa propaganda. Bila shaka muujiza wa Mungu uliingia kwenye mguu wa mchomvu ili kusudio LA kuwavuruga wanaojipendelea keki ya Taifa wafedheheke.
[emoji23] dah
 
Back
Top Bottom