Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #61
Mene, men's, tekeli na peresiKibaya alievaa Shati la kijani na skafu ndie alikatwa mtama na kwenda chini sasa hiyo sijui ni ishara ya "Kijani" nao kudondoka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mene, men's, tekeli na peresiKibaya alievaa Shati la kijani na skafu ndie alikatwa mtama na kwenda chini sasa hiyo sijui ni ishara ya "Kijani" nao kudondoka?
Mkuu umeua...nimechekaaàNakumbuka MBASHA baada ya mtama akaanza kusema "ADAM..ADAM.... ADAM pigana na yesuuuu,ADAM,ADAM pigana na yesuuuuu!!"baada ya kipigo kukolea akasema "baba ni wewe uliuumba ulimwengu na ukamuumba ADAM...simama nami katika JUKWAA hili....!!!
Ukifanya biashara na ccm akikisha mnamalizana kabisa wakisema tunakutangulizia ndio mmemaliza siri zote za makubaliana ya show ya mitama kiasi kilichobaki tutajua baada ya chaguzi watakuja kulialia humu kua wametapeliwa.Hahaa acha bwana kumkumbusha machungu. Hadi leo hajasikika tena.
point ya maana KakaHivi mbona watawala watangulizi hawakupenda kusifiwa hivi. Kwa nini utawala huu unataka na kung'ang'ania sana kusifiwa. Hivi hii ni nini sasa! Kuna nini? Yaani ushamba uliooneshwa juzi wa kuita wasanii na kutumia fedha zote hizo wakati mama zetu huku mavijijini hawana dawa na wanajifunika mashuka ambayo ni vitambaa walivyopewa na CCM ni ushamba kweli kweli.
Wivu Inaonesha umekujaaKwanza kabisa waandaaji hawakua na uhakika wa kile walichokua wanatgaka kukifanya! Hawakujua agenda au maudhui ya kusanyiko hilo, matokeo yake ilikua kama gulio la wahuni au tuite panya road.
Pili, hakukua na nidhamu, lugha za kihuni (Mbasha, Halafu wewe ni bangi sana), kulikua na kupigana hadharani tena wakiwa "live"! Maana yake ni kwamba hawa walikua wahuni, wasiojitambua, wafia tumbo, wasio na uhakika na kesho yao.
Tatu, ni miongoni mwa matamasha ya hovyo kupata kutokea Tanzania, kiasi kwamba isingekua tukio la hao Wahuni kufanyiana vurugu basi hakuna NTU angejua kabisa uwepo wa Tamasha hili. Yaani hata mdundiko wa mtaani una afadhali.
Nne, walishindwa kabisa kupeleka " meseji" waliyotumwa waipeleke maana hata wao wenyewe hawakua na uhakika na meseji yenyewe!
Tano, kuna taarifa kuwa tukio zima lilitawaliwa na vitendo vya kihalifu, kuibiana, kashfa, ngono zembe na mengineyo.
Takukuru ya CCM inabidi wapitie mapato na matumizi ya hii shughuli.
Ubora wake, walifanikiwa kulipa vijana waliowaita Wasanii kwa pesa ndogo ndogo na wengine kukopwa kwa ahadi ya kutumika kwenye kampeni (kuwa compasated) basi hilo tu.
Mwisho, next time tumieni Waandaji ambao sio Wapigaji (hata hivyo sidhani kama kwa CCM unaweza kuwapata, I stand to be corrected).
Nawakilisha, ongezeni mapungufu yao ili kuwasaidia.....
Mzee umesahau kichwa cha habari kilisemaje?Kwanza kabisa waandaaji hawakua na uhakika wa kile walichokua wanatgaka kukifanya! Hawakujua agenda au maudhui ya kusanyiko hilo, matokeo yake ilikua kama gulio la wahuni au tuite panya road.
Pili, hakukua na nidhamu, lugha za kihuni (Mbasha, Halafu wewe ni bangi sana), kulikua na kupigana hadharani tena wakiwa "live"! Maana yake ni kwamba hawa walikua wahuni, wasiojitambua, wafia tumbo, wasio na uhakika na kesho yao.
Tatu, ni miongoni mwa matamasha ya hovyo kupata kutokea Tanzania, kiasi kwamba isingekua tukio la hao Wahuni kufanyiana vurugu basi hakuna NTU angejua kabisa uwepo wa Tamasha hili. Yaani hata mdundiko wa mtaani una afadhali.
Nne, walishindwa kabisa kupeleka " meseji" waliyotumwa waipeleke maana hata wao wenyewe hawakua na uhakika na meseji yenyewe!
Tano, kuna taarifa kuwa tukio zima lilitawaliwa na vitendo vya kihalifu, kuibiana, kashfa, ngono zembe na mengineyo.
Takukuru ya CCM inabidi wapitie mapato na matumizi ya hii shughuli.
Ubora wake, walifanikiwa kulipa vijana waliowaita Wasanii kwa pesa ndogo ndogo na wengine kukopwa kwa ahadi ya kutumika kwenye kampeni (kuwa compasated) basi hilo tu.
Mwisho, next time tumieni Waandaji ambao sio Wapigaji (hata hivyo sidhani kama kwa CCM unaweza kuwapata, I stand to be corrected).
Nawakilisha, ongezeni mapungufu yao ili kuwasaidia.....
Kama walivyokula wale walionunuliwa sio..........watu wanakula pesa halafu mnasema mianya imefungwa...ungejua bei iliyolipwa kwa kila wimbo nina hakika ungejipiga kitanzi , hela za ccm zinaliwa kibwege sana !
Mbona hiyo ni sifa sahihi ya ccm, inakuwaje unashangaa na wakati hakuna jambo lolote la kushangaza hapo ?, hiyo ndio ccm ambayo nashangaa sana watanzania kuendelea kuipigia chepuo na kuishangilia, ccm ni genge la wahuni, hao viongozi wao wa juu wanajifanya kujionesha watu wa maana wakati ni watu wa ovyo kabisa, na ni kwa sababu wanategemea jeshi la polisi, juzi hapa tumeona mkuu wa wilaya Sabaya kule Hai alipoongoza genge la wahuni kwenda kufanya fujo kwenye mkutano wa Tundu Lissu na jeshi la polisi likiwa linawalinda ili wafanye fujo salama, utakumbuka pia kule zanzibar.Kwanza kabisa waandaaji hawakua na uhakika wa kile walichokua wanatgaka kukifanya! Hawakujua agenda au maudhui ya kusanyiko hilo, matokeo yake ilikua kama gulio la wahuni au tuite panya road.
Pili, hakukua na nidhamu, lugha za kihuni (Mbasha, Halafu wewe ni bangi sana), kulikua na kupigana hadharani tena wakiwa "live"! Maana yake ni kwamba hawa walikua wahuni, wasiojitambua, wafia tumbo, wasio na uhakika na kesho yao.
Tatu, ni miongoni mwa matamasha ya hovyo kupata kutokea Tanzania, kiasi kwamba isingekua tukio la hao Wahuni kufanyiana vurugu basi hakuna NTU angejua kabisa uwepo wa Tamasha hili. Yaani hata mdundiko wa mtaani una afadhali.
Nne, walishindwa kabisa kupeleka " meseji" waliyotumwa waipeleke maana hata wao wenyewe hawakua na uhakika na meseji yenyewe!
Tano, kuna taarifa kuwa tukio zima lilitawaliwa na vitendo vya kihalifu, kuibiana, kashfa, ngono zembe na mengineyo.
Takukuru ya CCM inabidi wapitie mapato na matumizi ya hii shughuli.
Ubora wake, walifanikiwa kulipa vijana waliowaita Wasanii kwa pesa ndogo ndogo na wengine kukopwa kwa ahadi ya kutumika kwenye kampeni (kuwa compasated) basi hilo tu.
Mwisho, next time tumieni Waandaji ambao sio Wapigaji (hata hivyo sidhani kama kwa CCM unaweza kuwapata, I stand to be corrected).
Nawakilisha, ongezeni mapungufu yao ili kuwasaidia.....
Nyuma ya pazia bangi zilivutwa kwa wingi kuliko Sigara
Wewe nyuzi zangu sio level yako please, nimeshatoa warning, hizi thread ni kwa watu wenye akili timamu tu, wewe soma kisha pita kimya kimyaAcha wivu.. nanyi Chadema mufanye yenu.. si pesa munazo za mabeberu pia.. kutumbuiza wananchi..
Magufuli 2020 💯
Badala ya TAKUKURU ni TAKUKUU ondoa R mkuu ibaki U (upinzani)
mbasha ni ccm damu damuuko sahihi , kingine ni hiki , 80% ya watumbuizaji na wahudhuriaji hawakuwa wanaccm akiwemo Mbasha na Adam , ila wengi walijifanyisha kama wafanyavyo siku zote ili kujilinda na kuendelea kujipigia mpunga wa bure
Ukisikia wivu wa kike ndo huu. Eti bila vurugu iliyotokea hakuna mtu angejua kuhusu tamasha. Lile nyomi la watu lilitokea wapi kama hakuna mtu aliekua anajua kuhusu hilo tamasha. Unataka TAKUKURU iangalie mapato na matumizi, nani alikuambia lile Tamasha lilikua na mapato? unadhani hii ni SACCOS yenu ya Ufipa, mliozoea kuibia watu hela? Watu waliingia bure na wasanii wote walijitolea kuisupport CCM hakuna hata mmoja alielipwa. Umekurupuka kuandika uzi wakati huna taarifa sahihi, aendaeni Tamasha lenu tuwaone kama mtapata support waliyopata CCM.Kwanza kabisa waandaaji hawakuwa na uhakika wa kile walichokua wanataka kukifanya! Hawakujua agenda au maudhui ya kusanyiko hilo, matokeo yake ilikua kama gulio la wahuni au tuite panya road.
Pili, hakukua na nidhamu, lugha za kihuni (Mbasha, Halafu wewe ni bangi sana), kulikuwa na kupigana hadharani tena wakiwa "live"! Maana yake ni kwamba hawa walikua wahuni, wasiojitambua, wafia tumbo, wasio na uhakika na kesho yao.
Tatu, ni miongoni mwa matamasha ya hovyo kupata kutokea Tanzania, kiasi kwamba isingekua tukio la hao Wahuni kufanyiana vurugu basi hakuna NTU angejua kabisa uwepo wa Tamasha hili. Yaani hata mdundiko wa mtaani una afadhali.
Nne, walishindwa kabisa kupeleka " meseji" waliyotumwa waipeleke maana hata wao wenyewe hawakua na uhakika na meseji yenyewe!
Tano, kuna taarifa kuwa tukio zima lilitawaliwa na vitendo vya kihalifu, kuibiana, kashfa, ngono zembe na mengineyo.
Takukuru ya CCM inabidi wapitie mapato na matumizi ya hii shughuli.
Ubora wake, walifanikiwa kulipa vijana waliowaita Wasanii kwa pesa ndogo ndogo na wengine kukopwa kwa ahadi ya kutumika kwenye kampeni (kuwa compasated) basi hilo tu.
Mwisho, next time tumieni Waandaji ambao sio Wapigaji (hata hivyo sidhani kama kwa CCM unaweza kuwapata, I stand to be corrected).
Nawasilisha, ongezeni mapungufu yao ili kuwasaidia.
kiroho ccm inakwenda katwa mtama kwenye uchaguzi mkuuNa walisema kuna jambo kumbe jambo lenyewe ni hiyo mitama.
acha stori za kitoto watazmaji walilipiwa na ccm,hakuna msanii aliyetumbuiza bure pale,pale hakunahata mwenye uwezo wa kushona tu sare,wote waliimba maudhui yanayofanna ya kumsifia mungu wenu,kilichotrendi ni ule mtama.Ukisikia wivu wa kike ndo huu. Eti bila vurugu iliyotokea hakuna mtu angejua kuhusu tamasha. Lile nyomi la watu lilitokea wapi kama hakuna mtu aliekua anajua kuhusu hilo tamasha. Unataka TAKUKURU iangalie mapato na matumizi, nani alikuambia lile Tamasha lilikua na mapato? unadhani hii ni SACCOS yenu ya Ufipa, mliozoea kuibia watu hela? Watu waliingia bure na wasanii wote walijitolea kuisupport CCM hakuna hata mmoja alielipwa. Umekurupuka kuandika uzi wakati huna taarifa sahihi, aendaeni Tamasha lenu tuwaone kama mtapata support waliyopata CCM.