Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

Dooooh[emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Puttin sidhani hata kama watendaji wake wanaumelewa, nadhani wanatii mamlaka tu.
Madikteka bhana na kwenye uchaguzi utasikia wameshinda kwa 98% ngoja wang'oke madarakani furaha nchi nzima!
 
Reactions: Tsh
unatafuta nikutukane sasa Mimi sio shoga, kama Mimi shoga basi unanifundishaga wewe. Nilikuwa sijui kama wapo hadi wa kuzaliwa. Kwahiyo asilimia kubwa ya lesbian ni tomboy au
duh unaonekana ni mkaririji mzuri na sio muelewa , nimeandika "na watu kama wewe " sijasema " na wewe "

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
usiruke ruke kwanini hataki nato kusogea Ukraine.
ni jukumu la ww unaeshabikia ushushe nondo tukuweke sawa , binafsi sishabikii uvamiz karne ya 21 ( barbaric mentality ), so ww unaoona ni ujanja ndo utuambie ss kwann amzuie , maana NATO ingekuwa tishio kwa Urusi bas Urusi angeumia kupitia Latvia na Estonia

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa mkuu?

eti kwanini urusi hataki Ukraine ajiunge nato?
una maswali ya kitoto , majibu unayajua ila unakaza fuvu , kwa kila namna mkosaji ni Urusi , Urusi amekuwa anaingilia siasa za Ukraine kwa muda sana , ila Ukraine alikuwa kimya ikafika muda wananchi wakaungana na kumtoa aliyekuwa kibaraka wa Urusi mwaka 2014, Huyo kibaraka akakimbilia Ukraine mashariki then akaanzisha harakati za kutaka Majimbo ya mashariki kutaka kujitenga na Ukraine sababu majimbo hayo yanazungumza Kirusi , vikundi vilisumbua sana ila ikafika muda akaingia Zelewinsky mwaka 2019 akaja na upepo akawadhibiti hivyo vikundi kisha akaendeleza agenda ya kujiunga na Umoja wa Ulaya na NATO kwa usalama wa Ukraine dhidi ya Urusi aliyekuwa muonevu wao kwa muda sana , Putin alipoona ushawishi wake unakaribia kudhorota akaamua kujihusisha moja kwa moja kwenye mapigano hayo , Putin akatumia NATO iwe tiketi ya kuivamia Ukraine ila kiukweli tujiulize kwann Hakuzivamia Estonia na Latvia waliojiunga na NATO licha ya kuwa majirani na Urusi ? unaona kuwa hizo sehemu hazikuwa za maslai kwa Urusi ila mashariki ya Ukraine kuna maliasili za kutosha so Ukraine kujiunga NATO itakuwa ngumu kwa Putin kuendelea Kuexploit Ukraine sababu any attack in Ukraine litajibiwa na members wote wa NATO , so Putin kwanza anazuia NATO sio kwa usalama wake bali ni maslai yake ndani ya Ukraine

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
huoni wapinga ajenda hufanywa nini hadi kupakazia watu kesi kwa kulinda maslahi yao. Tamaduni zetu zinakubali ushoga ?
ushoga hauna tamaduni , hata huko ulaya uliwai kuwa unapingwa ila hii jamii inaongezeka na sio mbaya kuwatambua tu maana wanajikuta hivyo sio kwa kuchagua kama unavyojikuta mwanamke au mwanaume bila kuchagua

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
heshima kwako mkuu

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kinachotokea Ukraine lazima ukemee Urusi , maslai ya Urusi ww yanakusaidia nn ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hata haujielewe farisi ameuliza maswali pale juu hamja yajibu toa hoja kwanini unaitetea ukraine
Ila pro ukraine mihemko ndo inawaendeza hata hamjielewe
kashajibiwa muda tu , majibu kayaona ila kachuna , na nmemsisitiza aulize maswali yaliyopevuka maana kwenye hayo.maswali sijaona swali pevu , ingekuwa paper , nautafuta u TO

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
thanks , Putin kwa nje anaonekana kuwa na vyote hivyo , dj mlete kati Britanicca na wimbo wa "Waiter ongeza nyingine"

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…