Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda kwa dalili hizo ukiwa na smg hutaacha kuwamwaga ubongo wapinzani wa wazo lako .Kuna thread nilichangia mada kuna mrusi akani quote "naona shoga unawatetea mashoga wenzako" sikupenda kabisa ikabidi nimblock tu. Sijajua kwa nini mtu ukitoa mawazo yako huru mtu ana ku attack na jambo ambalo anajua litakukwaza!
Ah boss izo zimekaa Kama pumba flani hivi.Russia wengi ni undergraduate kuanzia 2015
-waislam
-ccm
Wewe itakua ndio unamkomoa US sababu RUSSIA waislam wamadheheb gani wale MKUU je UCHINA nao waislam wamadheb gani nao!!?Pro Russia wengi wanaongozwa na mihemko ya kidini eti wanamkomoa Mrekani Bwana Utam
Ahsante MKUUMmoja kati ya Pro Russo wanaohimili joto la mjadala huu bila kuwakwaza wengine kwa lugha za maudhi ni wewe.Kongole kwako.
Aisee umeua .....yaani wasipoelewa hapo basi wasubir siku wakizaa mtoto dume jike ndo watajua unamaanisha nn...ushoga upo kila sehemu na sio tabia km uvutaji bangi bali ni tabia zilizo ndan ya mwili , hata wao wanapenda kuwa km ww ila hormoni zinawapinga so hiyo ni km kilema ss kuwapinga ni sw na wale waliokuwa wanaua albino , hlf kituko mnapinga kwny keyboard hlf mnawatumia au hata mnatumika vyumbani , huo unafiki ndo West hawautaki , ova
Kwann wamzuie na wakati ni nchi huru na inajitegemea kwenye maamuzi.......vipi leo kenya iivamie tz eti kisa inataka kujiunga AU (kama isingekua imejiunga)..???Ukraine kutaka kujiunga NATO
😀😀😀❤ umetisha mkuu kwai saiv upo russia daaaKusoma Ukraine Yaan unaona mimi nasoma?
Basi ngoja nikudadavulie kidogo
Nimesoma shule ya msingi ****
Sekondari nikasoma Bukoba Secondary ***
A Level Nikasoma PUGU 1978-1981
Nikaenda JKT mwaka 1982 Nilipangwa kigoma Lakin baadae nikapelekwa Dar es salaam Kwa ajili ya kulinda Pipe la Kwenda Zanzibar Kunduchi… Tegeta…
Baadae nikaanza Doria za Usiku JKT wawili tulikuwa tunapewa askari Polisi mmoja kwenye gari …
Kwanini nilienda Kigoma Alafu Muda mfupi Dar Ni kwasababu mwaka wetu tulifaulu Kwenda University tulikuwa 72 tu nchi nzima Kwahiyo sisi tulikaa JKT kidogo ..
Chuo kikuu nikasoma UDSM (Chemical and process engineering) japo ndoto nilitaka Nisomee agricultural engineering SUA mwaka 1983
Mwaka 1987 nikaenda Australia Darwin hadi 1989 Nikarejea Tanzania,
Nikapangiwa kazi maalumu lumumba pamoja na kwamba nimesoma mambo ya engineering.
Baadae nikaenda Malaysia kipindi cha Mkapa..
Nikarejea Tanzania …
Ndo mwaka 2012 Nikaletwa Russia Tupo wengi wa namna hiyo ndo maana sijataja Primary niliposoma ingekuwa rahisi kunijua…
Wengine wako Texas wengine wapo Japan ila Russia kama 6 Au 7
Mchumba wa pasko Yule alosoma Urusi kidogo nikutane naye haha
Cc Pascal Mayalla Sky Eclat
Britanicca ( Elimu sina ya siku hizi kama unayojua)
Jamaa ametoa hoja zinazo eleweka ila wewe ni pro ukraine ambaye ni mweupeNadhani sasa vijana hawa undergraduate wataweka heshima,maana kwa elimu zao hizi za kugoogle kila kitu huwa wanajiona wanajua kila kitu[emoji3]
Wewe itakua ndio unamkomoa US sababu RUSSIA waislam wamadheheb gani wale MKUU je UCHINA nao waislam wamadheb gani nao!!?
Shida unataka kuugeuza huu uzi kuwa wakidini jamaa unatuchukia sana waislam sijui tulikukosea nini
Tusamehe MKUU ila
US hachukiwi kwa UDINI sababu wenyewe hawana dini nandio maana wanafikia kuchagua LESBIAN pale IKULU ama UKRISTO unaruhusu huo ULESBIAN makanisani!!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo saiv upo kwa mzee putin unakula upepo tu, heshima yako ila mimi ni mzee kijanaKusoma Ukraine Yaan unaona mimi nasoma?
Basi ngoja nikudadavulie kidogo
Nimesoma shule ya msingi ****
Sekondari nikasoma Bukoba Secondary ***
A Level Nikasoma PUGU 1978-1981
Nikaenda JKT mwaka 1982 Nilipangwa kigoma Lakin baadae nikapelekwa Dar es salaam Kwa ajili ya kulinda Pipe la Kwenda Zanzibar Kunduchi… Tegeta…
Baadae nikaanza Doria za Usiku JKT wawili tulikuwa tunapewa askari Polisi mmoja kwenye gari …
Kwanini nilienda Kigoma Alafu Muda mfupi Dar Ni kwasababu mwaka wetu tulifaulu Kwenda University tulikuwa 72 tu nchi nzima Kwahiyo sisi tulikaa JKT kidogo ..
Chuo kikuu nikasoma UDSM (Chemical and process engineering) japo ndoto nilitaka Nisomee agricultural engineering SUA mwaka 1983
Mwaka 1987 nikaenda Australia Darwin hadi 1989 Nikarejea Tanzania,
Nikapangiwa kazi maalumu lumumba pamoja na kwamba nimesoma mambo ya engineering.
Baadae nikaenda Malaysia kipindi cha Mkapa..
Nikarejea Tanzania …
Ndo mwaka 2012 Nikaletwa Russia Tupo wengi wa namna hiyo ndo maana sijataja Primary niliposoma ingekuwa rahisi kunijua…
Wengine wako Texas wengine wapo Japan ila Russia kama 6 Au 7
Mchumba wa pasko Yule alosoma Urusi kidogo nikutane naye haha
Cc Pascal Mayalla Sky Eclat
Britanicca ( Elimu sina ya siku hizi kama unayojua)
ImekuumaaeAh boss izo zimekaa Kama pumba flani hivi.
Kiskuli tuliziita IPP yaani INTERNATIONAL PUMBA POINT
Vema sanaKwaiyo saiv upo kwa mzee putin unakula upepo tu, heshima yako ila mimi ni mzee kijana
Usichukie sana kila mahali pawe na A na B ila hoja nimsingi wa mambo yote
Leo hujatukana?Ww mtoa mada ni Pro gani
Wewe ni msaidizi wa Mzee Kinana ?Kusoma Ukraine Yaan unaona mimi nasoma?
Basi ngoja nikudadavulie kidogo
Nimesoma shule ya msingi ****
Sekondari nikasoma Bukoba Secondary ***
A Level Nikasoma PUGU 1978-1981
Nikaenda JKT mwaka 1982 Nilipangwa kigoma Lakin baadae nikapelekwa Dar es salaam Kwa ajili ya kulinda Pipe la Kwenda Zanzibar Kunduchi… Tegeta…
Baadae nikaanza Doria za Usiku JKT wawili tulikuwa tunapewa askari Polisi mmoja kwenye gari …
Kwanini nilienda Kigoma Alafu Muda mfupi Dar Ni kwasababu mwaka wetu tulifaulu Kwenda University tulikuwa 72 tu nchi nzima Kwahiyo sisi tulikaa JKT kidogo ..
Chuo kikuu nikasoma UDSM (Chemical and process engineering) japo ndoto nilitaka Nisomee agricultural engineering SUA mwaka 1983
Mwaka 1987 nikaenda Australia Darwin hadi 1989 Nikarejea Tanzania,
Nikapangiwa kazi maalumu lumumba pamoja na kwamba nimesoma mambo ya engineering.
Baadae nikaenda Malaysia kipindi cha Mkapa..
Nikarejea Tanzania …
Ndo mwaka 2012 Nikaletwa Russia Tupo wengi wa namna hiyo ndo maana sijataja Primary niliposoma ingekuwa rahisi kunijua…
Wengine wako Texas wengine wapo Japan ila Russia kama 6 Au 7
Mchumba wa pasko Yule alosoma Urusi kidogo nikutane naye haha
Cc Pascal Mayalla Sky Eclat
Britanicca ( Elimu sina ya siku hizi kama unayojua)
Nakubali boss sema Nini ukiandika andika la mtu mwenye ubongo mpanaImekuumaae
Kwani we ndo Musiba mkuu ! Acha utani mi si msaidizi wa KinanaWewe ni msaidizi wa Mzee Kinana ?
Alafu usisahau kumuombea Musiba msamaha kwa Kinana na Membe.
Kuna kipindi ulipotea humu, hasa baada ya zile 'clip' za mazungumzo yenu kuvujishwa ila baada ya uteuzi wa Kinana na wewe umerejea kwa kasi sana.
britanicca
Hahah... mrusi wa Tandika Kaburi 1; ha ha ha!
Teh teh teh 😂😂😂 Musiba ni kijana wenu huko chamani, kama Sabaya mnamuachia na kumsamehe, hata Musiba anastahili msamahaKwani we ndo Musiba mkuu ! Acha utani mi si msaidizi wa Kinana
SABAYA bado yuko anakula upepo huko ndaniTeh teh teh 😂😂😂 Musiba ni kijana wenu huko chamani, kama Sabaya mnamuachia na kumsamehe, hata Musiba anastahili msamaha