Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

huoni wapinga ajenda hufanywa nini hadi kupakazia watu kesi kwa kulinda maslahi yao. Tamaduni zetu zinakubali ushoga ?
Ila uzinzi zinakubali? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora wewe upo urusi.
Eti kwanini urusi hataki Ukraine ajiunge nato?
Kwasababu NATO iliundwa kujihami dhidi ya USSR ileee ilikuwa inatisha siyo Urusi kibogoyo,

Ndoto za USSR kuitawala Dunia zilizikwa mwaka 1991 baada ya kusambaratishwa!!

Pamoja na wao kudhoofika Lakin NATO ameendelea kuwa imara na kuongeza wanachama!!

Hili Suala linamkera sana Kiongozi wa Urusi ambaye ana ndoto za kudhani siku moja anaweza kurejesha UMOJA huo!!

Mbaya zaidi wanachama wanaoongezeka NATO ni wale waliokuwa USSR,

UKRAINE katika historia ya Urusi ni zaidi ya Estonia Au Lithuania Au Moldova, UKRAINE ndo hata mji mkuu ulitumika Kiev haikuwa MOSCOW!!

Wana intellijensia wengi wa Urusi wana mshikamano na Ukraine na pia siri nyingi za Ukraine wanazijua Urusi na Urusi Kama kuna Taifa linalojua sana mambo yake ya ndani basi ni UKRAINE

Ndo maana hata Ki UKRAINE ni sawa na Kirussia Kwa asilimia zaidi ya 60 ila ki Estonia Au Lativia Au Macedonia language hazifikii hata asilimia 5 ya ufananano na mrusi

Lingine Urusi anaona Ukraine akijiunga na NATO position ya UKRAINE Kwa Urusi ni hatari zaidi kuliko zingine, maana wana Mauripol, Odessa na ile Donbass ni eneo ambalo ni angle nzuri ya kuishambulia Urusi Kama ikitokea ulazima,

Lingine Russia naye anataka atengeneze empire yake kwamba naye ana vinchi vinamtegemea .

Kwenye masuala ya biashara na uwekezaji hata kuwauzia baadhi ya vitu, in case Ukraine akajoin NATO hizo privileges zimeisha sasa,,,,,

UKRAINE INA NATURE YAKE YA MAZINGIRA NI NZURI KUZALISHA URANIUM SANA SANA SANA YAAN SANA hata ZILE Silaha za Nuclear alizo nazo Russia ni Ukraine alimpa Miaka ya 90 ili apewe uhuru wa kujitegemea Kwa mambo yake, na hiyo ilikuwa ni makubaliano
Akachukua silaha zoote za Nuclear akampa Urusi,,
Sasa Russia akiona Hii ni hatari kuwaruhusu NATO KUWEKA MKONO PALE

Kimsingi makubaliano ya UKRAINE Kubaki Neutral hayana mashiko tena kwakuwa sasa Miaka imesharuhusu na Ukraine ni Taifa HURU hapangiwi awe na urafiki na nani na awe na uadui na nani,

Juzi nilikuwa Albania nimekutana na familia ya Kirusi ambayo wameenda huko baada ya Kutishwa kusapot upinzani Yaan walikuwa wanafanya kazi kwenye platform ya Telegram na wakawa wanaendekeza mijadala ya siasa na kutoa taarifa zaidi za Upinzani.

Jambo ambalo lilimkera Putin wakaamua kukimbia, hiyo familia ya Yuria Kononenko wameshare na mimi mambo mengi sana na kwenye kitabu ntakacho andika kuna mengi ntayaweka,

Ila Urusi Kwa sasa wanaona kuna haja ya kuacha uongozi wa ubabe na udikteta ndo inapelekea kufanya maamuzi ya hovyo na kuvamia nchi nyingine bila kushauriana na walio wazunguka

ILA KWA SASA URUSI MAMBO MENGI YAMEMSHINDA NA HII INAWEZA KUWA TERM YA MWISHO YA PUTIN

BRITANICCA ENCYCLOPEDIA
 
Naombeni majibu kwa haya maswali msiruke nawakubali kwa fact wapenda amani.

Ni sababu zipi za msingi zinazokufanya uwapinge?

Na kama mnadai kavamia nchi huru kwanini aivamie Ukraine na si nchi nyingine?

Na kama mnadai anaua hovyo raia na kupiga majengo na sio kambi za jeshi au wanajeshi wapo wapi? Human shield ikitokea ni action ipi inapaswa kufuatwa?

Je kama wapinga vita wanataka amani hizo silaha mnapeleka za nini ?

Hayo matwakwa ya mrusi wakiyafata wanapungukiwa nini?

Mrusi angeweka silaha zake Cuba reaction ya US ingekuwaje?

Vipi urusi akubali nato aweke silaha Ukraine ila na yeye akaweke Cuba marekani angekubali?

Mwisho, mnaodai urusi kashindwa vita kuimaliza kwanini akishambulia mnalalamika na akitulia mnabeza, shida nini?

Nyamizi
dudus
Jackal
Tsh
Root
lwaitama1
MK254
4by94
Hakika mkuu umenena
 
Kwasababu NATO iliundwa kujihami dhidi ya USSR ileee ilikuwa inatisha siyo Urusi kibogoyo,

Ndogo za USSR kuitawala Dunia zilizikwa mwaka 1991 baada ya kusambaratishwa!!

Pamoja na wao kudhoofika Lakin NATO ameendelea kuwa imara na kuongeza wanachama!!

Hili Suala linamkera sana Kiongozi wa Urusi ambaye ana ndoto za kudhani siku moja anaweza kurejesha UMOJA huo!!

Mbaya zaidi wanachama wanaoongezeka NATO ni wale waliokuwa USSR,

UKRAINE katika historia ya Urusi ni zaidi ya Estonia Au Lithuania Au Moldova, UKRAINE ndo hata mji mkuu ulitumika Kiev haikuwa MOSCOW!!

Wana intellijensia wengi wa Urusi wana mshikamano na Ukraine na pia siri nyingi za Ukraine wanazijua Urusi na Urusi Kama kuna Taifa linalojua sana mambo yake ya ndani basi ni UKRAINE

Ndo maana hata Ki UKRAINE ni sawa na Kirussia Kwa asilimia zaidi ya 60 ila ki Estonia Au Lativia Au Macedonia language hazifikii hata asilimia 5 ya ufananano na mrusi

Lingine Urusi anaona Ukraine akijiunga na NATO position ya UKRAINE Kwa Urusi ni hatari zaidi kuliko zingine, maana wana Mauripol, Odessa na ile Donbass ni eneo ambalo ni angle nzuri ya kuishambulia Urusi Kama ikitokea ulazima,

Lingine Russia naye anataka atengeneze empire yake kwamba naye ana vinchi vinamtegemea .

Kwenye masuala ya biashara na uwekezaji hata kuwauzia baadhi ya vitu, in case Ukraine akajoin NATO hizo privileges zimeisha sasa,,,,,

UKRAINE INA NATURE YAKE YA MAZINGIRA NI NZURI KUZALISHA URANIUM SANA SANA SANA YAAN SANA hata ZILE Silaha za Nuclear alizo nazo Russia ni Ukraine alimpa Miaka ya 90 ili apewe uhuru wa kujitegemea Kwa mambo yake, na hiyo ilikuwa ni makubaliano
Akachukua silaha zoote za Nuclear akampa Urusi,,
Sasa Russia akiona Hii ni hatari kuwaruhusu NATO KUWEKA MKONO PALE

ILA KWA SASA URUSI MAMBO MENGI YAMEMSHINDA NA HII INAWEZA KUWA TERM YA MWISHO YA PUTIN

BRITANICCA ENCYCLOPEDIA
hiki ndicho nilikuwa nakitafuta sasa uko vizuri, ili punguza kujitoa ufahamu. Pande zote sio nzuri kwa urusi na marekani kila mtu yupo kimaslahi zaidi kuliko utu na uhalisia wamaisha kifupi ni wavunjifu wa haki si ndio. Basi simama neutral kuliko kuegemea upande wowote utakuwa better zaidi.
 
ww ni pro Russia tupe sababu zilizokufanya umuunge mkono Urusi kweny huu uvamiz
Hata haujielewe farisi ameuliza maswali pale juu hamja yajibu toa hoja kwanini unaitetea ukraine
Ila pro ukraine mihemko ndo inawaendeza hata hamjielewe
 
hiki ndicho nilikuwa nakitafuta sasa uko vizuri, ili punguza kujitoa ufahamu. Pande zote sio nzuri kwa urusi na marekani kila mtu yupo kimaslahi zaidi kuliko utu na uhalisia wamaisha kifupi ni wavunjifu wa haki si ndio. Basi simama neutral kuliko kuegemea upande wowote utakuwa better zaidi.
Nani kakwambia nataka kuwa better nimfurahishe Mtanzania? Wakati warusi wenyewe niko nao hapa wanalalamika vitendo vya Rais wao mwenyewe ?

Neutrality inakuwa kwenye mambo ya msingi na ya maana ila siwezi kumuunga mkono Putin Kwa anayoyafanya Hivi ninyi sikia tu kutawaliwa kidikteta TANZANIA HAIJAWAI ONJA HATA ROBO YA KUTAWALIWA KIDIKTETA KAMA ANAVYOTAWALA PUTIN

watu wamepoteza ndugu kila siku , jeshini chamber za kuwanyonga wanaopinga zimejaa kila kona!

Vyumba vya juice za Polonium zimejaa Kwa watu anaowaita na kula nao breakfast kesho Au keshokutwa wanaondoka

Tuje Kwa masuala ya uhuru wa habari

Kuna mtandao unaitwa Telegram watu wanadhani ni wa wa Marekani kutokana na kuwa HURU Hapana huu

Ulianzishwa na Russians wawili ambao ni mtu na mdogo wake, walioikimbia nchi yao. Sasa hivi Pavel Valeryevich Durov. Ambaye ndiye anayeiendesha Telegram anaishi Dubai

Kutokana na kuikimbia nchi

, kampuni yake ya kwanza aliyoianzisha na kaka yake walimpora ndipo alipoondoka Russia akaamua kuiendeleza nje ya nchi kwa kuisajili kama Telegram ikiwa na makao makuu Ujerumani baadae akaihamishia Dubai ma sasa ameshapewa uraia wa huko.

Chanzo cha kumuandama yeye na kampuni yake ilikuwa ni kitendo cha kuwapa sana platform wapinzani na kuyapa platform madudu yanayoibuliwa dhidi ya Serikali. Mdipo Putin akatuma watu kuinunua akagoma, {mfano kama hapa TANZANIA Magufuli Angemwambia Maxence Melo kwamba niuzie hii kampuni ili kuziba mdomo }

ila baadaye akaondolewa na board kwa kigezo kuwa miaka kadhaa nyuma aliwahi kuandika barua ya kujiuzuru na hakuwahi kui recall. Kampuni akanyang'anywa wakapewa kampuni amnayo ni rafiki na serikali

Putin ni mshenzi sana nimeandika hapo nyuma tarehe 13-28 April nilikuwa albania na nilikaribishwa na Kononenko Yuria ambaye alikuwa anafanya kazi na Jamaa hawa wanalaani sana , maana wafanyakazi wawili Upande wa IT waliuwawa Kwa kutotoa taarifa sahihi za Jamaa walipo

Britanicca
 
Back
Top Bottom