Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

Jf unatakiwa uwe mvumilivu Sana aisee.yaani unatakiwa kuzoea mambo mbalimbali
Kwa hiyo unamtolea mtu maneno machafu kwa makusudi halafu hapo hapo unamshauri awe mvumilivu [emoji3][emoji3]
 
Hazikuingii akilini either ni kwa sababu umeshachagua upande wa kushabikia au akili hizo za kuelewa sababu zao hazipo au vyote kwa pamoja
Asante [emoji122][emoji122]
 
unajua ili tendo litokee lazima kuwe na sababu iliyosukuma tendo hilo lifanyike. Usiruke kwenye effect tu nataka uniambie hatua kwa hatua hadi uvamizi kutokea.
ww tupe hizo hatua tukueleweshe utoke gizani
 
inshu sio kusapoti inshu ni uwepo , Serikali zinatambua tu uwepo wao , muda ukifika hata nchi yako dona country itaunga mkono tu , kwasasa ni unafiki tu ndo unatufanya tuwapinge , KILE NI KILEMA
ushoga ni kilema cha kuzaliwa ?
 
utani ukiendelea jukwaa la jf ukweli wa mambo Ukreine wanaangamizwa mamia kwa mamia,jambo la umuhimu wakae wayamalize.
Urusi anavuruga amani Ukreine na NATO,US nao wanashiriki zaidi kuvuruga amani kwa kupeleka silaha badala ya kuhimiza mazungumzo ya amani.
 
ww tupe hizo hatua tukueleweshe utoke gizani
usitafute ni kujibu wew unadai kavamia nchi huru. Ukanijibu kwa chanzo cha uvamizi ni kujiunga Nato hii ni moja ya hatua iliyofanya hadi uvamizi utokee, tuendelee. Kwanini urusi hataki Ukraine ajiunge
 
wapo wa kuzaliwa pia + waliolemazwa na watu km ww either ktk ukuaji au kweny utu uzima
unatafuta nikutukane sasa Mimi sio shoga, kama Mimi shoga basi unanifundishaga wewe. Nilikuwa sijui kama wapo hadi wa kuzaliwa. Kwahiyo asilimia kubwa ya lesbian ni tomboy au
 
ipo Latvia na Estonia so wangetaka hilo wangefanya kupitia Estonia na Latvia washirika wa NATO , muwe mnafuatilia , Pro Russia wengi wana upeo mfupi
Kwanza wanaelewa basi? Wapo wapo tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
usitafute ni kujibu wew unadai kavamia nchi huru. Ukanijibu kwa chanzo cha uvamizi ni kujiunga Nato hii ni moja ya hatua iliyofanya hadi uvamizi utokee, tuendelee. Kwanini urusi hataki Ukraine ajiunge
ww ni pro Russia tupe sababu zilizokufanya umuunge mkono Urusi kweny huu uvamiz
 
inshu sio kusapoti inshu ni uwepo , Serikali zinatambua tu uwepo wao , muda ukifika hata nchi yako dona country itaunga mkono tu , kwasasa ni unafiki tu ndo unatufanya tuwapinge , KILE NI KILEMA
Kwanza hii Tanzania lini ilipinga ushoga? Hapa ni unatambulika na ruksa,
Kumbuka sakata la makonda, afu fuatilia tamko au msimamo wa serikali ndo utajua kitu.

Watu wanahemkwa na kupovukwa bure, na hawana la kufanya.
 
sio haikomeshi agenda zingine ukizuia unajitaftia matatizo
 
Back
Top Bottom