Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

Ukiwa na mahaba huwezi kuona mashiko kwa Putin.

Ni sawa tu na mtoto wa mtu maarufu kama tiffa dangote kutoingiliwa umiliki wa simu akiwa boarding school ila mtoto wa Kajamba nani kuletewa noma kweli kweli na ikibidi kulimwa barua ya suspension.

Hizi double standards ndio hatuzitaki, marekani akivamia nchi dhaifu na kupora rasilimali kwa kigezo cha kutetea demokrasia hilo sio kosa ila akifanya mwengine ni kosa.
 
Mbona hamkupiga kelele sasa? Huo unafiki ndio sisi Pro Russia tunaukemea. palestina, Syria mpaka now na zaidi ya miaka wanakufa watu pale na watoto mbona hampazi sauti? Au wanaokufa pale sio watu ni Waarabu?
Au ndio sawa wamekufa watu 3 na mmasai 1
 
kashajibiwa muda tu , majibu kayaona ila kachuna , na nmemsisitiza aulize maswali yaliyopevuka maana kwenye hayo.maswali sijaona swali pevu , ingekuwa paper , nautafuta u TO

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Kajibiwa na nani? Msiwe mnaluka luka nioneshe comment ulio jibu ata swali moja katika yale
 
basi kukaa upande kila mtu yupo sawa maana bila maslahi asingevamia kabsa. Hata hizo nchi zilizojiunga zingekuwa na maslahi ingetokea hv hv Kama US alichofanya cuba. Hivyo, wote waliopo wapo kimaslahi zaidi sema angevamia US msingechukia ila kwa kuwa na Russia chuki zimejaa kwa kuja na agenda ya kavamia nchi huru wakati wenzenu wapo kimaslahi zaidi kuliko uhai.
Sikazi fuvu natoa challenge.
 
Aisee, basi nimeshindwa hata nisemeje maana hawa viumbe nasikiaga tu.
 

Putin Yuko sahihi kwaajili ya usalama wa nchi yake, Ukraine hakufahamu nafasi yake katika siasa za kimataifa na adhabu yake nyumbani kwake ndo uwanja wa wakubwa kuoneshana ubabe. Na kwaujumla wake hii ni vita kati ya RUSSIA na USA virtually. Ila kama mutu yupo kishabiki hatotaka kukubali ukweli huo. But trust me hata ww ungekuwa raisi wa urusi usingekubali adui kukusogelea kiasi hicho
 
Lete hoja sio kubwabwaja tu nyuma ya keyboard
Weka hoja ujibiwe kwa hoja,ukileta vijembe utajibiwa kwa vijembe.Wewe ni mmoja wao aliowasema hapa mtoa mada,mnapanic haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…