Mkuu, zile kura za siri zote zimehesabiwa na matokeo yake yanajulikana. Rasmi yatatangazwa hapo keshoyaani. CHABURUMA umewezaje kutabiri zile kura zoote za siri ni za ndio??
kweli we ni zaidi sheh yahaya...
_na je umewezaje kutabiri kuwa waliopiga HAPANA live woote watabadili msimamo yao na hasa ikiwa wananchi wameshawaona live kuwa walipiga za HAPANA???
_nakushauri acha kuchukulia mambo kirahisi hivyo mkubwa
Hahahahahaaaaa. UKAWA bana. Eti wanamfungia mbunge asipige kura
Kura zote za Siri zimepiga kura ya NDIYO. Japo kuna baadhi ya wabunge wamepiga kura ya HAPANA kwa baadhi ya Ibara ila kwa jumla yake za Siri zote zimepiga kura ya NDIYO.
Hahahahahaaaaaa! Jamiiforums ndo imemtengeneza Chabruma. Siwezi kuisema kwa ubaya wala kuishambulia. Hili ni jukwaa huru ambalo wengi tunalitumia kutua mizigo inapotuelemea. Pia hiki ni kipumulio cha wanyongeChabruma uliniudhi juzi wakati unaongea bungeni eti sisi wana JF tumekuttuma!
Ningekuwa hapo bungeni ningekunasa kibao cha matakoni.
Nipo Dodoma nikifuatilia mchakato huu kwa ukaribu. Nimekuwa nikiripoti humu yale yanayojiri kila siku. Nina wadau wengi ambao wananipa taarifa za ndani ya Bunge. Jukumu langu ni kuwamwagia humu yale yaliyo sahihiWakati kura zote zinahesabiwa wewe ulikuwepo? Umetumwa kuleta upotoshaji humu JF.
Mkuu, kwa siasa za Zanzibar, hilo ni jambo la kawaida. Si umeona leo jinsi Mwanasheria Mkuu wa Zenji alivyoipata fresh? Wale wanapeana makavu live. Ila ukweli ndo huo nilioandikaWe jamaa ni muongo mkubwa, sijui unapata faida gani kuja hapa kuandika uongo. Hivi kama hiyo akidi imepatikana kwanini hawa waliopiga kura ya hapana watishwe!? Wewe ni mtu wa hovyo sana.
"Baada ya kupiga kura za hapana leo (jana), walijitokeza wajumbe akiwamo (jina tunalihifadhi kwa sasa) wakaanza kutuzongazonga," alisema Salma.
"Walituambia kuwa tumebaki hadi dakika ya mwisho halafu tunasema hapana kwa rasimu nzima ili kula fedha za bure, wanasema bora tungeondoka na Ukawa (Umoja wa Katiba ya Wananchi)."
Hahahahahaaaaa. UKAWA bana. Eti wanamfungia mbunge asipige kura
yaani. CHABURUMA umewezaje kutabiri zile kura zoote za siri ni za ndio??
kweli we ni zaidi sheh yahaya...
_na je umewezaje kutabiri kuwa waliopiga HAPANA live woote watabadili msimamo yao na hasa ikiwa wananchi wameshawaona live kuwa walipiga za HAPANA???
_nakushauri acha kuchukulia mambo kirahisi hivyo mkubwa
yaani. CHABURUMA umewezaje kutabiri zile kura zoote za siri ni za ndio??
kweli we ni zaidi sheh yahaya...
_na je umewezaje kutabiri kuwa waliopiga HAPANA live woote watabadili msimamo yao na hasa ikiwa wananchi wameshawaona live kuwa walipiga za HAPANA???
_nakushauri acha kuchukulia mambo kirahisi hivyo mkubwa
Mkuu, kuhusu kura za siri, zote zimehesabiwa na matokeo yanajulikana. Wote wamepiga kura ya NDIYOOOOOOOO.Kuhusu mwanasheria wa Zanzibar, kapiga kura ya wazi na kapinga ibara 24 kati ya 289 za Rasimu ua Katiba. Ukichukua wastani unaona wewe mwenyewe wapi kaegemeaUnajua wee Chabruma una akili za kitoto sana!
Je kura za siri umejuaje kama zote ni ndiyo?
Unajua kilichowafanya wakapiga kura za siri?
Nani kakuambia kuws wanarudia kupiga kura?
Dalili za wazi kuwa Sitta kaanguka vibaya huzioni?
Mumehangaika kumleta AG wa Zanzibar kawaumbua kweupee!
Mwambie mhuni mwenzako Sitta aache kushupaa na akubali matokea mchakato usubiri kama alivyofanya Kikwete!
Mwisho naomba kesho ushuhudie bunge likivunjika lenyewe asubuhi na ndiyo mwisho!!
Huku mtaani tutakuwa tunatembeza bakora tu hadi mrudishe hela washenzi nyie!!!
Ni kweli Mkuu. UKAWA alijipambanua wenyewe kuwa walikuwa wanapambana na CCMKwa hiyo suala la katiba limekuwa ni CCM vs UKAWA & co...
Hivyo kwa mantiki hiyo kwa kuwa ni chereko kwa CCM unataka kutueleza hii ni rasimu ya katiba ya CCM inayopitishwa huko Dodoma...
Hahahahahaaaaaa! Jamiiforums ndo imemtengeneza Chabruma. Siwezi kuisema kwa ubaya wala kuishambulia. Hili ni jukwaa huru ambalo wengi tunalitumia kutua mizigo inapotuelemea. Pia hiki ni kipumulio cha wanyonge
Mkuu, kuhusu kura za siri, zote zimehesabiwa na matokeo yanajulikana. Wote wamepiga kura ya NDIYOOOOOOOO.Kuhusu mwanasheria wa Zanzibar, kapiga kura ya wazi na kapinga ibara 24 kati ya 289 za Rasimu ua Katiba. Ukichukua wastani unaona wewe mwenyewe wapi kaegemea