Tathmini ya mapato ya kilimo cha michungwa 1000 baada ya miaka 3

 

Kupunguza stress, production costs and losses ni bora niwe middle men (niwe sole distributor wa hayo machungwa). Mkuu swala zima la uzalishaji sio la masihara ati. Inabidi uwe umejipanga kiuhakika sio kukurupa tu usingizini na kusema nataka nioteshe michungwa. Otherwise Goodluck !!
 

Tathmin feki hiyo! Ukienda kwenye real environment, chungwa ni tzs 30 au 25. Pili, hujazungumzia prodctn cost? Risk and uncertainities etc. Kwa kifupi mleta mada umeandika kisiasi, huna ujuzi wa kuchambua agribusiness, umeoverstimate revenue, hujatupatia profit margin au return on investment after 3yrs. Takwimu ulizoweka haziwezi kumvutia mwekezaji makini anayejua gharama ya fursa
 
huyu jamaa nilimpigia simu akaniambia nimpatie email anitumie details. Hadi sasa naona kimya tu sasa sijui zilikuwa mbwembe tu
 
Mara kadhaa nikipita eneo hili, macho kwenye mabandiko ya mtaani, yana-changamoto za kutosha kwa teknolojia mpya.
Nikijaribu kupiga picha mchungwa wa miaka 3, machungwa 4000, utavunjika! Lakini tukisimika mirunda kama tunavyofanya kwa Tengeru 97 inawezekana. Machungwa, maembe, mananasi ... yanazaa kwa mpishano/mpangilio wa maji na ukame "stress" kitu kinachoweza kufanyika kwa kutumia mfumo wa umwagiliaji, hivyo kupata misimu miwili ya kuvuna. Japo mwaka wa 3 sitegemei "peak" machungwa 4000/mti, lakini ni kitu kinachowezekana kwa miaka inayofuata tukiwekeza mawazo na rasimali.
Salaam.
 
Hii ndiyo aina ya market promotion ya kitanzania, unawatangazia watu bidhaa yako huku unawatukana, kukashifu na kuwazodoa wateja, ngoja tufuatilie hii the comedy naona napata burudani poa kabisa daah!!

umeona eeee... dogo anajeuri sana..
 
huyu jamaa nilimpigia simu akaniambia nimpatie email anitumie details. Hadi sasa naona kimya tu sasa sijui zilikuwa mbwembe tu

Endelea kuvuta subira, subira yavuta heri. Bado anahudumia wenzako waliotangulia !!!!!!!!
 
Poleni wakuu kwa kutorudi kwa muda ukweli ni kwamba majukumu yamekua mengi
 
Ndugu naomba jina la kitaalam la haya machungwa please!!!
 

Wwahahahahahahahhahahhaaaa!...sasa mkuu unataka kunivunjia heshima mbele za wakwe, yaani nimecheka mpaka nimegalagala sakafuni, wananiuliza kulikoni mimi nacheka tu!..dah, jf kiboko.
 
Thread ya January hii, mpaka leo jamaa anasubiriwa alete picha ya huo mchungwa ili watu waamini naona imeshindikana....Jina la huo mchungwa alilotoa halipo duniani, nadhani ni aina mpya ambayo imezalishwa tanzania! Machungwa elfu 4 siyomchezo, nikishuhudia kwa macho basi hata mimi nitang'oa mikorosho yote shambani kwangu nipande michungwa hiyo! Mkuu Kahtan Ahmed umesahau thread ya muhimu sana huku njoo mkuu.
 
Last edited by a moderator:
iyo michungwa ipo ila ya 500 had 1000
unajua apa jf lolote linaweza tokea Mungu naye huwa anavuna watu kwa hiari yake tena bila kufikiria, bv hope jamaa ako live
 
Habari wana jf wale waliokosa ile miche ya michungwa tayari imeandaliwa tayari kama anaehitaji kwa muda huu u r welcome
 
Mkuu nimekupata nitakutafuta nahitaji hiyo mbegu nina shamba kisarawe la hekari 10 nataka kupanda lote michungwa.Ila nadhani umekosea, mchungwa mmoja unazaa machungwa 4,000 au 400? Hapo tunaomba ufafanuzi kidogo.Namba yangu.0655 829840
 
Habari wadau
nimepata eneo kama eka na nusu maeneo ya kisarawe ambalo lina machungwa na machenza,nataka niongeze mingine nifanye kilimo kibiashara.
Nahitaji kupata tathmini ya soko la uhakika la machungwa na machenza kwa wazoefu wa kilimo hiki,pamoja na gharama za kuendesha kilimo.
 
Ila hata hivyo niliacha namba ya ngu ya simu na wengi wenu mmenipigia na pia wapo niliwauzia moche na sasa nineridi jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…