Mkuu hukuwatendea haki watoto wa Mulugo, hayo maswali ni size ya form six wa siku hizi, believe me... nao katika watano ni watatu tu ndo watakupa majibu sahihi.... jaribu uone....
Nimekutana na wanafunzi form two last week ni kawauliza maswali yafuatayo:
1. State newton's laws of motions
2. State Archimedes principle
3.Draw and label Veneer callipers and Micrometer screw gauge. State their use.
Hao watoto mimacho iliwatoka utadhani wamekabwa na Viazi.
Ndugu nimetanguliza hayo maelezo kidogo hapo juu ili ujue kuwa watoto kwa sasa wanacho jua ni Maria Clara, Mya, Isidingo, Facebook kwa sana, Kugegedana, Kuvaa suruali milegezo kuonyesha michupi yao, vibinti kudandiwa na mibaba (tena wakati mwingine vyenyewe ndiyo vinafuata hiyo mibazazi).
Wizara ya Elimu hebu rudisheni vitabu vilivyo kuwa vinatumika miaka ya 1990's. Kiukweli pale shule ilikuwepo siyo huu upumbavu wa siku hizi.
Kabla ya uchakachuaji huu wa pili, waliofeli walikuwa 61%. Kwa matokeo haya mapya, waliofeli ni 57%. Improvement ya 4%. Seriously? As a nation, are we serious with education? Was it worth it?
Halafu waziri alivyoelezea tofauti za grading ni kuchanganya maneno tu bila kutoa mwanga zaidi. In fact all I could see is this impostor is hiding something.
waungwana hebu tutathmini ni
jinsi gani matokeo mapya yameleta changamoto kiupande wangu nahisi mambo
takriban ndio vile vile ila yamebadilika kiwango kidogo sana jee vipi
ki upande wenu mnalizungumziaje....
Nahisi kuna pepa
zingine zilikua zinarukwa coz wengine waendelee kulia wengine wafurahi
imekua kupimana damu sasa, duh!!
Mimi matokeo ya mwanzo wamenipa iv 29 na ya sasa wamenipa hiyo hiyo iv 29 hawajanibadilishia ki2 zaidi ya kunipa the same thng inauma sana yaani hawa necta mch respect
Nimekutana na wanafunzi form two last week ni kawauliza maswali yafuatayo:
1. State newton's laws of motions
2. State Archimedes principle
3.Draw and label Veneer callipers and Micrometer screw gauge. State their use.
Hao watoto mimacho iliwatoka utadhani wamekabwa na Viazi.
Ndugu nimetanguliza hayo maelezo kidogo hapo juu ili ujue kuwa watoto kwa sasa wanacho jua ni Maria Clara, Mya, Isidingo, Facebook kwa sana, Kugegedana, Kuvaa suruali milegezo kuonyesha michupi yao, vibinti kudandiwa na mibaba (tena wakati mwingine vyenyewe ndiyo vinafuata hiyo mibazazi).
Wizara ya Elimu hebu rudisheni vitabu vilivyo kuwa vinatumika miaka ya 1990's. Kiukweli pale shule ilikuwepo siyo huu upumbavu wa siku hizi.
Kuna dogo hapa alikuwa na division 4 ya 31...guess wat?????
Ana 3 ya 24.
Chezea tanzania wewe
Full editing ya matokeo.
SI rahisi kuamini.,mh! sidhani
By THE GREAT CAMPNimekutana na wanafunzi form two last week ni kawauliza maswali yafuatayo:
1. State newton's laws of motions
2. State Archimedes principle
3.Draw and label Veneer callipers and Micrometer screw gauge. State their use.
Hao watoto mimacho iliwatoka utadhani wamekabwa na Viazi.
Ndugu nimetanguliza hayo maelezo kidogo hapo juu ili ujue kuwa watoto kwa sasa wanacho jua ni Maria Clara, Mya, Isidingo, Facebook kwa sana, Kugegedana, Kuvaa suruali milegezo kuonyesha michupi yao, vibinti kudandiwa na mibaba (tena wakati mwingine vyenyewe ndiyo vinafuata hiyo mibazazi).
Wizara ya Elimu hebu rudisheni vitabu vilivyo kuwa vinatumika miaka ya 1990's. Kiukweli pale shule ilikuwepo siyo huu upumbavu wa siku hizi.
Mie kuna dogo wa ndugu yangu anajifanya anasoma science alafu ndio yupo form four nimemuuliza tu swali simple la anitajie FUNDAMENTAL QUANTITY OF PHYSICS amebaki anang'aa macho na si ajabu hata akipewa formula hawezi andika SI UNIT kwa jinsi alivyo, kimsingi hali ni mbaya sana kwa sasa unajitahidi kuingilia kati lakini unakuta mtu kilaza mpaka unakosa pa kuanzia yaani ni sawa na mwanafunzi unamfundisha Quadratic Equation alafu zile issue basics kwenye hisabati anakua hajui
Back to the topic: Kilichotokea ndio kinapaswa kiwe hivyo kwani ili mtu afaulu anahitaji kuwa na D katika masomo mawili hivyo kama ningekuta kuna changes kubwa kwa wale waliopata Division zero binafsi ningeandamana maana logic hapa kama mtu kasoma miaka 4 hata kama grading ilikuwa ni shida basi tungetarajia masomo mengine ameumia lakini mawili matatu amerekebisha na kupata kidogo kwani ili mtu afaulu wanaangalia masomo saba which means hata kama ni grading tutajie kwamba kuna masomo mengine out of 7 yatakutoa. Huu ni ujumbe kwa serikali inahitaji kujifunza kwamba ni heri tuwe na standard seven kibao lakini wale waliobahatika kwenda secondary wengi wafaulu
alafu mimi toka 27 hadi 26 necta pumbavuuu kweliKuna dogo hapa alikuwa na division 4 ya 31...guess wat?????
Ana 3 ya 24.
Chezea tanzania wewe
Full editing ya matokeo.