tathmini ya matokeo mapya ya form 4

tathmini ya matokeo mapya ya form 4

Elimu ilikuwa bora imekuja kuharibiwa na sera za kibepari eti haki sawa kwa mtoto?!siasa chafu mbona wanafunzi wa mkoloni walikuwa safi? Wakaona kumbe waafrika wanauwezo ngoja tuwamalize na misaada lakini wakubali viboko kuondolewa shuleni,wfuate mitaala isiyoeleweka,content isiyo na reasoning

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu hukuwatendea haki watoto wa Mulugo, hayo maswali ni size ya form six wa siku hizi, believe me... nao katika watano ni watatu tu ndo watakupa majibu sahihi.... jaribu uone....

mh! Sidhani mi nakumbuka nilivyokuwa form 3 hayo yote yalikuwa yamekaa kichwani so mi naona ni kweli kuwa hao watoto hawasomi.
 
Nahisi kuna pepa zingine zilikua zinarukwa coz wengine waendelee kulia wengine wafurahi imekua kupimana damu sasa, duh!!
 
Nimekutana na wanafunzi form two last week ni kawauliza maswali yafuatayo:
1. State newton's laws of motions
2. State Archimedes principle
3.Draw and label Veneer callipers and Micrometer screw gauge. State their use.
Hao watoto mimacho iliwatoka utadhani wamekabwa na Viazi.
Ndugu nimetanguliza hayo maelezo kidogo hapo juu ili ujue kuwa watoto kwa sasa wanacho jua ni Maria Clara, Mya, Isidingo, Facebook kwa sana, Kugegedana, Kuvaa suruali milegezo kuonyesha michupi yao, vibinti kudandiwa na mibaba (tena wakati mwingine vyenyewe ndiyo vinafuata hiyo mibazazi).
Wizara ya Elimu hebu rudisheni vitabu vilivyo kuwa vinatumika miaka ya 1990's. Kiukweli pale shule ilikuwepo siyo huu upumbavu wa siku hizi.

Mie kuna dogo wa ndugu yangu anajifanya anasoma science alafu ndio yupo form four nimemuuliza tu swali simple la anitajie FUNDAMENTAL QUANTITY OF PHYSICS amebaki anang'aa macho na si ajabu hata akipewa formula hawezi andika SI UNIT kwa jinsi alivyo, kimsingi hali ni mbaya sana kwa sasa unajitahidi kuingilia kati lakini unakuta mtu kilaza mpaka unakosa pa kuanzia yaani ni sawa na mwanafunzi unamfundisha Quadratic Equation alafu zile issue basics kwenye hisabati anakua hajui

Back to the topic: Kilichotokea ndio kinapaswa kiwe hivyo kwani ili mtu afaulu anahitaji kuwa na D katika masomo mawili hivyo kama ningekuta kuna changes kubwa kwa wale waliopata Division zero binafsi ningeandamana maana logic hapa kama mtu kasoma miaka 4 hata kama grading ilikuwa ni shida basi tungetarajia masomo mengine ameumia lakini mawili matatu amerekebisha na kupata kidogo kwani ili mtu afaulu wanaangalia masomo saba which means hata kama ni grading tutajie kwamba kuna masomo mengine out of 7 yatakutoa. Huu ni ujumbe kwa serikali inahitaji kujifunza kwamba ni heri tuwe na standard seven kibao lakini wale waliobahatika kwenda secondary wengi wafaulu
 
Kabla ya uchakachuaji huu wa pili, waliofeli walikuwa 61%. Kwa matokeo haya mapya, waliofeli ni 57%. Improvement ya 4%. Seriously? As a nation, are we serious with education? Was it worth it?
Halafu waziri alivyoelezea tofauti za grading ni kuchanganya maneno tu bila kutoa mwanga zaidi. In fact all I could see is this impostor is hiding something.

Mkuu serikali hii inapenda sifa ukiona hivyo ujue hali ni mbaya hata wao wenyewe wameshindwa nini la kufanya maana kwa jinsi wanavyopenda sifa na kama ingekuwa ni kosa kwa NECTA mbona wangekuja na kauli kibao na waliofeli ingekua 10% kwani walitegemea NACTA imechemka na hayo matokeo kumbe hamna kitu hapo na mitaala yao ya kichina wanaipeleka NECTA lakini mashuleni haifiki but NECTA wao wanaitumia kutungia mitihani na kusahihisha wakiamini mashuleni mambo mswano
 
waungwana hebu tutathmini ni
jinsi gani matokeo mapya yameleta changamoto kiupande wangu nahisi mambo
takriban ndio vile vile ila yamebadilika kiwango kidogo sana jee vipi
ki upande wenu mnalizungumziaje....

ukwel matokeo hayajabadilika popote mi cjui kulikuwa na haja gani ya kuganga tena,imeniuma mdogo wang aliresit akapata c moja na d mbili japo alikuwa anatafuta c mbili ajab kimekuja litu kilekile,cjui ni kwa nin serikal inatupotezea muda bure...
 
Mimi matokeo ya mwanzo wamenipa iv 29 na ya sasa wamenipa hiyo hiyo iv 29 hawajanibadilishia ki2 zaidi ya kunipa the same thng inauma sana yaani hawa necta mch respect

sio wamekupa,ndo uliostail na ndo umepata,wakupe wenuewe wataitoa wapi?
 
Nimekutana na wanafunzi form two last week ni kawauliza maswali yafuatayo:
1. State newton's laws of motions
2. State Archimedes principle
3.Draw and label Veneer callipers and Micrometer screw gauge. State their use.
Hao watoto mimacho iliwatoka utadhani wamekabwa na Viazi.
Ndugu nimetanguliza hayo maelezo kidogo hapo juu ili ujue kuwa watoto kwa sasa wanacho jua ni Maria Clara, Mya, Isidingo, Facebook kwa sana, Kugegedana, Kuvaa suruali milegezo kuonyesha michupi yao, vibinti kudandiwa na mibaba (tena wakati mwingine vyenyewe ndiyo vinafuata hiyo mibazazi).
Wizara ya Elimu hebu rudisheni vitabu vilivyo kuwa vinatumika miaka ya 1990's. Kiukweli pale shule ilikuwepo siyo huu upumbavu wa siku hizi.

mgomo baridi wa walimu pia unachangia, kutokuwa na mitaala, vitabu mashuleni na serikali kuwa na uzembe mkubwa wa kuisimamia sekta ya elimu na kujikita kwenye propaganda za kuibakisha serikali madarakani
 
Kuna dogo hapa alikuwa na division 4 ya 31...guess wat?????
Ana 3 ya 24.
Chezea tanzania wewe
Full editing ya matokeo.

Pia na wazee wa kupiga mishe huu mwanya wa takuwa waliutumia na unaeza kuta zero inajakuwa 2
 
KAWAMBWA, MULUGO + JK Govt HEBU SOMENI HAYA MAONI YA WATU WA MUNGU:
By THE GREAT CAMP Nimekutana na wanafunzi form two last week ni kawauliza maswali yafuatayo:
1. State newton's laws of motions
2. State Archimedes principle
3.Draw and label Veneer callipers and Micrometer screw gauge. State their use.
Hao watoto mimacho iliwatoka utadhani wamekabwa na Viazi.
Ndugu nimetanguliza hayo maelezo kidogo hapo juu ili ujue kuwa watoto kwa sasa wanacho jua ni Maria Clara, Mya, Isidingo, Facebook kwa sana, Kugegedana, Kuvaa suruali milegezo kuonyesha michupi yao, vibinti kudandiwa na mibaba (tena wakati mwingine vyenyewe ndiyo vinafuata hiyo mibazazi).
Wizara ya Elimu hebu rudisheni vitabu vilivyo kuwa vinatumika miaka ya 1990's. Kiukweli pale shule ilikuwepo siyo huu upumbavu wa siku hizi.
Mie kuna dogo wa ndugu yangu anajifanya anasoma science alafu ndio yupo form four nimemuuliza tu swali simple la anitajie FUNDAMENTAL QUANTITY OF PHYSICS amebaki anang'aa macho na si ajabu hata akipewa formula hawezi andika SI UNIT kwa jinsi alivyo, kimsingi hali ni mbaya sana kwa sasa unajitahidi kuingilia kati lakini unakuta mtu kilaza mpaka unakosa pa kuanzia yaani ni sawa na mwanafunzi unamfundisha Quadratic Equation alafu zile issue basics kwenye hisabati anakua hajui

Back to the topic: Kilichotokea ndio kinapaswa kiwe hivyo kwani ili mtu afaulu anahitaji kuwa na D katika masomo mawili hivyo kama ningekuta kuna changes kubwa kwa wale waliopata Division zero binafsi ningeandamana maana logic hapa kama mtu kasoma miaka 4 hata kama grading ilikuwa ni shida basi tungetarajia masomo mengine ameumia lakini mawili matatu amerekebisha na kupata kidogo kwani ili mtu afaulu wanaangalia masomo saba which means hata kama ni grading tutajie kwamba kuna masomo mengine out of 7 yatakutoa. Huu ni ujumbe kwa serikali inahitaji kujifunza kwamba ni heri tuwe na standard seven kibao lakini wale waliobahatika kwenda secondary wengi wafaulu

Mwisho mimi naatoa ushauri huu bure kabisa hata kama nitaonekan Mwendawazimu:TCRA + JK govt Fungeni (BLOCK) mawasiliano/Mtandao wa Facebook kwa Muda wa miaka 3 mtaona mabadiliko. Toto ziko busy na fenyibuku kuliko jambo lingine lolote.
 
aisse....! necta cjui wanataka kuifikisha nchi wapi....🙂
 
nimefanya utafiti mdogo,shule za arusha zimefeli zaidi baada ya matokeo ya sasa,mfano ilboru ilikuwa ya 31 sasa hivi ya 35,trust st patrick ilikuwa ya 32 sasa hivi 37,wat's on??
 
Back
Top Bottom