tathmini ya matokeo mapya ya form 4

tathmini ya matokeo mapya ya form 4

ufaulu O-level unashuka wakati ufaulu A-level unapanda....sielewiiii....
 
Mkuu bado sielwi,mbona dogo alikuwa na 4 ya 28,sshv ana zero?

Nimeshituka aisee niliposoma comment yako maana walichosema hawaendi kusahihisha upya bali wanachofanya ni kurekebisha grade na kutumia zilizotumika mwaka jana hivyo ningetarajia mtu either matokeo yake yangebaki vilevile au kidogo kungekuwa na changes, sasa kwa huyu mbona ni msiba na kinachotakiwa hapo ikiwezekana ni ku-appeal maana wanaofanya hii kazi ni wanadamu hivyo kukosea inawezekana lakini pia si vibaya kujiridhisha
 
Ukiona hivyo kuna ambao walikuwa kwenye alama za juu mfano kama ni D basi ni ile D inayokaribia C kwa matokeo ya zamani hivyo waki-standardize kwa grade za zamani inakuwa C kama mtu alikuwa na D lakini ni ile ya kuanzia kwa hizi grade zilizotumika kabla ya kufuta wakiweka kwa zile grade za zamani anabaki na D yake mfano kama maksi ni 41 kwa grade za nyuma ni D maana yake wakitumia grade za zamani inakuwa C lakini kuna mwingine let say ana D ya 30 kwa grade za zamani waki-standadize anabaki na D yake ile ile

Kaka asante kwa maelekezo. Sasa mbona kuna kijana jirani yangu alikuwa na Div 4 point 28 sasa hivi kapata Div 4 ya point 33 ? Nadhani kuna somo alikuwa na D sasa hivi ni F? Pathetic!
 
Kaka asante kwa maelekezo. Sasa mbona kuna kijana jirani yangu alikuwa na Div 4 point 28 sasa hivi kapata Div 4 ya point 33 ? Nadhani kuna somo alikuwa na D sasa hivi ni F? Pathetic!

Ila hata mie hapa inashangaza kweli maana kwa logic ya haraka haraka na kwa maelezo waliyoyatoa wakati wanafanya hili zoezi moja kwa moja utaona kuna mawili either Div na point inabaki vilevile au inaongezeka na si kushuka maana kama ingekuwa wametumia grade za zamani yaani D ni 21 alafu ikaonekana kwamba walikosea walitakiwa watumie D kuanzia 30 hapa ndio tungesema kwamba kuna ambao wangeshuka tena na zero zingeongezeka, cha kufanya hapo ni ku-appeal ili kujua tatizo ni wapi maana waliofanya hili zoezi ni binadamu na huenda kukawa na tatizo la ku-insert formula kama kipindi kile walivyofanya kosa dogo la Islamic knowledge ambalo lilileta shida kidogo
 
Back
Top Bottom