Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bado sielwi,mbona dogo alikuwa na 4 ya 28,sshv ana zero?
Ukiona hivyo kuna ambao walikuwa kwenye alama za juu mfano kama ni D basi ni ile D inayokaribia C kwa matokeo ya zamani hivyo waki-standardize kwa grade za zamani inakuwa C kama mtu alikuwa na D lakini ni ile ya kuanzia kwa hizi grade zilizotumika kabla ya kufuta wakiweka kwa zile grade za zamani anabaki na D yake mfano kama maksi ni 41 kwa grade za nyuma ni D maana yake wakitumia grade za zamani inakuwa C lakini kuna mwingine let say ana D ya 30 kwa grade za zamani waki-standadize anabaki na D yake ile ile
Kaka asante kwa maelekezo. Sasa mbona kuna kijana jirani yangu alikuwa na Div 4 point 28 sasa hivi kapata Div 4 ya point 33 ? Nadhani kuna somo alikuwa na D sasa hivi ni F? Pathetic!