tathmini ya matokeo mapya ya form 4

ki ukweli mitandao nayo inachangc kwa kiasi kikubwa ambapo wanafunzi hupoteza mda mwing kwa masuala kama ya kuchat na kadhalika ila jee wale walio vijijini ambao hata ukiwauliza facebook iko vp hawajui hata ilivya mbona wao ndio waliopata zero sana kuliko hao watoto wa mjini
 

Mkuu shule nyingi za vijijini siyo shule ila ni majengo tu. Nyingi hazina kabisa walimu hasa wa masomo ya sayansi na hisabati, hazina maabara, hazina maktaba, hazina vitabu na nyingine hazina hata madawati. Kwa ujumla shule nyingi za kata hazina sifa a kuitwa shule kwa sababu zinakosa mambo mengi ya msingi ambayo yangewawezesha wanafunzi kufanya vizuri. Inatia huruma sana maana hawapati maarifa yaliyokusudiwa na ndiyo maana wanafeli
 
Mimi matokeo ya mwanzo wamenipa iv 29 na ya sasa wamenipa hiyo hiyo iv 29 hawajanibadilishia ki2 zaidi ya kunipa the same thng inauma sana yaani hawa necta mch respect

May be wamekubeba lakini hubebeki. Na pia, mda waliotumia kuyabadili matokeo sidhani kama ulitosha kumpitia kila mwanafunzi closely. Janga kubwa zaidi la kitaifa ni viongozi wakuu wa taifa.
 
Kuna dogo hapa alikuwa na division 4 ya 31...guess wat?????
Ana 3 ya 24.
Chezea tanzania wewe
Full editing ya matokeo.


Yule dogo ni muongo na mpotoshaji, hana maana hata kidogo anadanganya wazee na mvi zao. Angalia Mkirua kamuanika
 
Kuna dogo hapa alikuwa na division 4 ya 31...guess wat?????
Ana 3 ya 24.
Chezea tanzania wewe
Full editing ya matokeo.

Mwanangu mmoja alikuwa na d mbili na point 33 Div 4 point 33 sasa amepewa d saba na point 28 Div ile ile 4!!!!!!!
Ajabu ninae mwingine alikuwa na c mbili, d nne alikuwa na point 28 div 4 sasa ana d tano na c mbili Div 4 point 27
Na mwingine alikuwa na d saba point 28 Div 4 sasa amekuwa na d nane point zile zile 28 na Div ile ile 4

Hata sijaelewa utofauti umekujaje kwa mmoja kuongezewa hivi na wengine kubaki vile vile. Bila shaka Necta ndio wana majibu. Na bila shaka walitaka kuongeza tu kiwango cha ufaulu kwa kuwa walibanwa kisiasa lakini ukichunguza utagundua tatizo bado li pale pale.
 

Wewe ni mwendawazimu kabisa. Mbona hujatoa hoja baa na guest zifungwe angalau mwaka mmoja?
 
Mwisho mimi naatoa ushauri huu bure kabisa hata kama nitaonekan Mwendawazimu:TCRA + JK govt Fungeni (BLOCK) mawasiliano/Mtandao wa Facebook kwa Muda wa miaka 3 mtaona mabadiliko. Toto ziko busy na fenyibuku kuliko jambo lingine lolote.
Wewe ni mwendawazimu kabisa. Mbona hujatoa hoja baa na guest zifungwe angalau mwaka mmoja?
Red words above: Facebook ni hatari kwa Wanafunzi fm 1-4 Kuliko hata hizo baa na gesti.Kama wewe upo addicted na FB pole sana but huo ndiyo ukweli.
 
Mimi matokeo ya mwanzo wamenipa iv 29 na ya sasa wamenipa hiyo hiyo iv 29 hawajanibadilishia ki2 zaidi ya kunipa the same thng inauma sana yaani hawa necta mch respect

pole mdogo wangu ukiona hivyo ujue hicho ndicho ulichokipanda hakuna muujiza ambao ungekutoa hapo ulipo
 
haiwezekani matokeo yalivyo kwa nini yabadilike kwa baadhi ya shule tuu au baadhi ya wanafunzi tu.... na wakati ndio yamefutwa yale ya mwanzo au necta wanazuga tuu wanawaona watu ni wendawazimu....
 

Ukiona hivyo kuna ambao walikuwa kwenye alama za juu mfano kama ni D basi ni ile D inayokaribia C kwa matokeo ya zamani hivyo waki-standardize kwa grade za zamani inakuwa C kama mtu alikuwa na D lakini ni ile ya kuanzia kwa hizi grade zilizotumika kabla ya kufuta wakiweka kwa zile grade za zamani anabaki na D yake mfano kama maksi ni 41 kwa grade za nyuma ni D maana yake wakitumia grade za zamani inakuwa C lakini kuna mwingine let say ana D ya 30 kwa grade za zamani waki-standadize anabaki na D yake ile ile
 
Hivi tulitarajia hata walioshusha mashairi, waliochora mazombi na messi nao matokeo yangebadilika?
 
HUYU NDALICHAKO KWA NINI ANANG'ANG'ANIZWA kuongoza necta kwani ana UBIA GANI KAMA ULAJI MPENI UDC URC HUKU KWENYE TAALUMA KUMEMSHINDA
 
ukwel matokeo hayajabadilika popote mi cjui kulikuwa na haja gani ya kuganga tena,imeniuma mdogo wang aliresit akapata c moja na d mbili japo alikuwa anatafuta c mbili ajab kimekuja litu kilekile,cjui ni kwa nin serikal inatupotezea muda bure...

Mkuu bora ww,mi alikuwa na 4 ya 28,sshivi aba zero,ht celewi
 

Mkuu bado sielwi,mbona dogo alikuwa na 4 ya 28,sshv ana zero?
 
Red words above: Facebook ni hatari kwa Wanafunzi fm 1-4 Kuliko hata hizo baa na gesti.Kama wewe upo addicted na FB pole sana but huo ndiyo ukweli.

afadhali ya facebook inadepend na jinsi utakavyoitumia
Tuchukulie walio wengi wameijua jamiiforums kupitia kule ambapo wanapata updates mabalimbali
Pia kuna page za dini mwanafunzi anaweza kulike
Hata school groups
tatizo wanatumia vibaya!
Hili la baa na guest ni baya zaidi kwa kuleta unexpected pragnants na hata kwa watu wazima ukiwa mlevi na mzinzi huonekani kama sane human!
 
dah...! matokeo yana changamoto nyingi na hapa ndio tunaona uovu wanaoufanya necta mmoja mwanzo ana D 1 tuu mara hii ana C 3 hivi kama wame standedize kutoka F mpaka C wakati wengine walikuwa na D na wamebaki pale pale D ndio nini wamefanya hawa jamii inapaswa ijue hili kwa maendeleo ya elimu ya nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…