Ukiona hivyo kuna ambao walikuwa kwenye alama za juu mfano kama ni D basi ni ile D inayokaribia C kwa matokeo ya zamani hivyo waki-standardize kwa grade za zamani inakuwa C kama mtu alikuwa na D lakini ni ile ya kuanzia kwa hizi grade zilizotumika kabla ya kufuta wakiweka kwa zile grade za zamani anabaki na D yake mfano kama maksi ni 41 kwa grade za nyuma ni D maana yake wakitumia grade za zamani inakuwa C lakini kuna mwingine let say ana D ya 30 kwa grade za zamani waki-standadize anabaki na D yake ile ile