tathmini ya matokeo mapya ya form 4

tathmini ya matokeo mapya ya form 4

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
waungwana hebu tutathmini ni jinsi gani matokeo mapya yameleta changamoto kiupande wangu nahisi mambo takriban ndio vile vile ila yamebadilika kiwango kidogo sana jee vipi ki upande wenu mnalizungumziaje....
 
Nimekutana na wanafunzi form two last week ni kawauliza maswali yafuatayo:
1. State newton's laws of motions
2. State Archimedes principle
3.Draw and label Veneer callipers and Micrometer screw gauge. State their use.
Hao watoto mimacho iliwatoka utadhani wamekabwa na Viazi.
Ndugu nimetanguliza hayo maelezo kidogo hapo juu ili ujue kuwa watoto kwa sasa wanacho jua ni Maria Clara, Mya, Isidingo, Facebook kwa sana, Kugegedana, Kuvaa suruali milegezo kuonyesha michupi yao, vibinti kudandiwa na mibaba (tena wakati mwingine vyenyewe ndiyo vinafuata hiyo mibazazi).
Wizara ya Elimu hebu rudisheni vitabu vilivyo kuwa vinatumika miaka ya 1990's. Kiukweli pale shule ilikuwepo siyo huu upumbavu wa siku hizi.
 
Kabla ya uchakachuaji huu wa pili, waliofeli walikuwa 61%. Kwa matokeo haya mapya, waliofeli ni 57%. Improvement ya 4%. Seriously? As a nation, are we serious with education? Was it worth it?
Halafu waziri alivyoelezea tofauti za grading ni kuchanganya maneno tu bila kutoa mwanga zaidi. In fact all I could see is this impostor is hiding something.
 
Kuna dogo hapa alikuwa na division 4 ya 31...guess wat?????
Ana 3 ya 24.
Chezea tanzania wewe
Full editing ya matokeo.
 
necta wahuni tuu sasa huyo mwenye four ya 31 kaja mpaka 3 ya 24 mimi hapa kuna jamaa wangu wa karibu hapa mwanzo alikuwa na 4 ya 28 sasa ana 4 ya 27 tu kama ingelikuwa wamefanya haki c hata angepata 3 ya 23 kweli nimeamini necta hawana imani na wanachokifanyaaa...
 
Nimekutana na wanafunzi form two last week ni kawauliza maswali yafuatayo:
1. State newton's laws of motions
2. State Archimedes principle
3.Draw and label Veneer callipers and Micrometer screw gauge. State their use.
Hao watoto mimacho iliwatoka utadhani wamekabwa na Viazi.
Ndugu nimetanguliza hayo maelezo kidogo hapo juu ili ujue kuwa watoto kwa sasa wanacho jua ni Maria Clara, Mya, Isidingo, Facebook kwa sana, Kugegedana, Kuvaa suruali milegezo kuonyesha michupi yao, vibinti kudandiwa na mibaba (tena wakati mwingine vyenyewe ndiyo vinafuata hiyo mibazazi).
Wizara ya Elimu hebu rudisheni vitabu vilivyo kuwa vinatumika miaka ya 1990's. Kiukweli pale shule ilikuwepo siyo huu upumbavu wa siku hizi.

ni kweli mkuu...
 
Mkuu hukuwatendea haki watoto wa Mulugo, hayo maswali ni size ya form six wa siku hizi, believe me... nao katika watano ni watatu tu ndo watakupa majibu sahihi.... jaribu uone
 
Nimekutana na wanafunzi form two last week ni kawauliza maswali yafuatayo:
1. State newton's laws of motions
2. State Archimedes principle
3.Draw and label Veneer callipers and Micrometer screw gauge. State their use.
Hao watoto mimacho iliwatoka utadhani wamekabwa na Viazi.
Ndugu nimetanguliza hayo maelezo kidogo hapo juu ili ujue kuwa watoto kwa sasa wanacho jua ni Maria Clara, Mya, Isidingo, Facebook kwa sana, Kugegedana, Kuvaa suruali milegezo kuonyesha michupi yao, vibinti kudandiwa na mibaba (tena wakati mwingine vyenyewe ndiyo vinafuata hiyo mibazazi).
Wizara ya Elimu hebu rudisheni vitabu vilivyo kuwa vinatumika miaka ya 1990's. Kiukweli pale shule ilikuwepo siyo huu upumbavu wa siku hizi.

Mkuu hukuwatendea haki watoto wa Mulugo, hayo maswali ni size ya form six wa siku hizi, believe me... nao katika watano ni watatu tu ndo watakupa majibu sahihi.... jaribu uone....
 
Kuna rafiki yangu yeye alikua na 4 ya 28 zaza ameletewa zeroooo 35 kabisa yaani F zoote
 
Hakuna kilichobadilika wakuu bali ni asilimia ndogo sana ambayo imebadilika.
 
kweli mkuu....? kama ni wewe ungefanyeje?
 
Baada ya kuyaona haya matokeo nilikuwa bado siamini kama ni mapya au ni yaleyale,ninadhani kwa jinsi yalivyo imekuwa

vigumu sana kuyabadilisha sana.Kwa mfano nimesikia wakisema katika watu waliofaulu asilimia 9 tu ndy wamefaulu kwa

daraja la kwanza hadi la 3.Ninadhani hali bado ni ileile serikali itafute chanzo tu cha elimu kushuka grading siyo tatizo.
 
Mimi matokeo ya mwanzo wamenipa iv 29 na ya sasa wamenipa hiyo hiyo iv 29 hawajanibadilishia ki2 zaidi ya kunipa the same thng inauma sana yaani hawa necta mch respect
 
Back
Top Bottom