Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Kushangilia wabunge wasio machaguo halisi ya wananchi ni dharau kubwa kwa wananchi, viongozi wa kambi rasmi ya upinzani wanatakiwa kuchora ramani ya kupambana na huyu dhalimu kisayansi
 
Umemsahau babu tale, Naibu waziri wa habari michezo n.k
 
Ndiyo akili finyu za mbogamboga, yaani kuna wenzao wamepoteza maisha, kuumizwa na kuwa vilema lakini wao walaa wanawaza kugawana vyeo tuu...
 
Namba nne waislam wataendelea kutaabika
 
Kivipi mkuu, mbona yupo neutral au kuna lililonyuma ya pazia
Humjui vizuri wewe, alishawafelisha na alipopewa ushahidi akasema ni kompyuta ndio ilikosea, baadae akapita nao udom
 
Hivi unamjua wazir mpango wewe...yule magu hamwachi maana ni mtakatifu hata kuiba hajui..magu anampenda balaaa yule
 
Kambudi je
 
Bongo bwana ni nchi nzuri sana,yenye furaha na amani tele,wepesi wa kusameheana na kusahau yaliyopita.

wana CCM na wanaChadema leohii wanashirikiana kubashiri balaza jipya la mawaziri 2025.
pongezi kwa wote,hivi ndivyoinatakiwa.

uchaguzi huu tulioshinda ni sisi watanzania kama taifa,sio CCM wala Chadema ni watanzania ndio tumeibuka washindi kwenye huu uchaguzi.
 
Humjui vizuri wewe, alishawafelisha na alipopewa ushahidi akasema ni kompyuta ndio ilikosea, baadae akapita nao udom
Basi anafanya kitu kibaya mno katika ustawi wa taifa letu, na hiyo dhambi itamrudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…