Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Bila kumsahau Deo Mwanyika Njombe hiyo Kama mnamkumbuka huyu CEO wa Barrick
 

Who cares? haya majizi yakajiongoze yenyewe we don’t have time for nonsense.
 
Viongozi wa juu wa ACT Wazalendo na CHADEMA Kesho, Jumamosi, Oct 31, watazungumza na vyombo vya habari saa nne asubuhi. Watakua Makao Makuu ya CHADEMA Kinondoni.
 
Walau hii safu yako ina mashiko kidogo mwanakwetu
 
Mbona sijamuona Philipo Mlugo mzee wa Tanzania ni muungano wa Zimbabwe na Tanganyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…