Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Baada ya Magufuli na Samia kuapishwa kipindi cha pili cha uongozi wa miaka mitano. Hawa ndio mawaziri watarajiwa na wizara husika.
1. Waziri mkuu: Kasim Majaliwa
2. Fedha na Mipango: Philip Mpango
3. Ulinzi na JKT: Makame Mbarawa
4. Sayansi na Elimu: Joyce Ndalichako
5. Viwanda na Biashara: Charles Kimei
6. Mifugo: Lihaga Mpina
7. Nishati: Merdard Kalemani
8. Madini: Dotto Biteko
9. Nje: Palamagamba Kabudi
10. Maji: Kitila Mkumbo
11. Ujenzi: ?????
12. Kilimo: Hussein Bashe
13. Utalii: ??????
14. Mazingira: Idd Zungu
15. Afya: Ummy Mwalimu
16. Ndani. George Simbachawene
17.Ardhi: William Lukuvi
18. Uwekezaji: Mwambe
19: Sheria: Mwigulu Nchemba
20: Utumishi: George Mkuchika
21. Tamisemi: Suleiman Jafo
22. ???????
 
Hapo kuna mawaziri ambao sitaki kuwasikia kuanzia..
Mawaziri waliofanya vizuri na nina uhakika watarudi ni hawa wafuatao:
1.Ummy
2.Jafo
3.Lukuvi
4.Kabudi
5.Biteko(Nina mashaka na uwaziri wake)
6.Mbarawa
7. Ndalichako
8.Mpango (Nina mashaka) nafasi yake inaweza kuchukuliwa na KIMEI
 
Kuna kila dalili kuwa utabiri wako ukatimia, japo wengine kama Ndalichako hakuitendea haki elimu na Mkumbo anaweza asitoshe wizara ya maji kama alivyoitendea haki Mbarawa.
 
Baada ya Magufuli na Samia kuapishwa kipindi cha pili cha uongozi wa miaka mitano. Hawa ndio mawaziri watarajiwa na wizara husika.
1. Waziri mkuu: Kasim Majaliwa
2. Fedha na Mipango: Philip Mpango...
Futa au ondoa namba zifuatazo:-
3,4,6,12,14,16,18,19 na 20
 
Baada ya Magufuli na Samia kuapishwa kipindi cha pili cha uongozi wa miaka mitano. Hawa ndio mawaziri watarajiwa na wizara husika.
1. Waziri mkuu: Kasim Majaliwa
2. Fedha na Mipango: Philip Mpango
3. Ulinzi na JKT: Makame Mbarawa...

11. UJENZI...Martin Finehas Ntemo, ambaye kwasasa ni DC Kibaha, huyu atapewa Ubunge wa Kuteuliwa na atapewa Wizara ya Ujenzi !!
 
Kuna kila dalili kuwa utabiri wako ukatimia, japo wengine kama Ndalichako hakuitendea haki elimu na Mkumbo anaweza asitoshe wizara ya maji kama alivyoitendea haki Mbarawa.
Ndalichako hakuitendea haki elimu,lugha ya malkia ni shida kwake,sura yake Kama mwanaume,huwa hajali hukimbizana na muda Hadi akurupushwe.ameacha idara mbili za elimu ndani ya manispaa au halmashauri moja kuiongezea serikali mzigo badala ya kuwa na idea moja ya elimu ambayo ni strong kupambana na elimu.mwisho ataanzisha afisaelimu vyuo vya elimu na veta.
Huyu mama ni mzigo kwa taifa
 
Bashite apewe mambo ya ndani, Sabaya apandishwe cheo awe RC wa Dar, aliopo yupo kool Sana tunataka RC wa matamko yaani mchakamchaka mambosasa anapoa sana
 
Baada ya Magufuli na Samia kuapishwa kipindi cha pili cha uongozi wa miaka mitano. Hawa ndio mawaziri watarajiwa na wizara husika.
1. Waziri mkuu: Kasim Majaliwa
2. Fedha na Mipango: Philip Mpango...
CCM kweli majinga mtu hawezi kuajiriwa, kuchaguliwa hata kuteuliwa mpaka awe na mtu wa kumbeba kwenye mbeleko ndo maana wakati wote na nafasi zote tunaletewa viongozi wabovu.

Kila mwanachama wa CCM ni Godfather huyu anatuletea Mawaziri wengine watatuletea waliobaki wakifuatiwa na wale wa ajiri/tumbua na teua/tengua mpaka miaka 5 iishe. Awamu hii kupata kazi lazima uwe na Know Who badala ya Know How!
 
Futa wafuatao:-
2.Sagini (Butiama) - aende TAMISEMI
3. Prof. Ndalichako - abaki pale pale...
Madini hakuna anayweza kumtoa Doto Biteko na Prof Muhongo anajua madini ila sio mzalendo atarudisha ujanja wake wa kuunganisha madili na makaburu
 
Natumaini hivi karibuni Mhe. Rais atafanya uteuzi wa Mawaziri kuongoza Wizara mbalimbali. Nawapigia debe Wahe. Wabunge wafuatao:- (1) Mhe. William Lukuvi - Wizara ya Ardhi. (2) Dr. Philip Mpango - Wizara ya Fedha. (3) Mhe. Dotto Biteko - Wizara ya Nishati. (4) Prof. Muhongo - Wizara ya Madini. (5) Mhe. David Silinde - Waziri mdogo Wizara ya Fedha. (6) Dr. Kimei -Wizara ya Biashara. n.k.
Huyo Muhongo mnampendea nini?
 
Back
Top Bottom