inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Benjamini hakua mchumi,alisoma historiaUkisoma Tanzania Vision 2025 vizuri utajua Benjamin alikuwa msomi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Benjamini hakua mchumi,alisoma historiaUkisoma Tanzania Vision 2025 vizuri utajua Benjamin alikuwa msomi
TRA wenyewe wanaaema wameanzishwa 1995,unadhani ilianzishwa ili isifanye kazi!?Kuna kijadili na kuna kujua facts. Humu kila mtu anaweza kujadili chochote hata kama hawakijui.
TRA imeanza kazi kipindi cha mkapa mwaka 1996 ingawa sheria ya kuanzia TRA ilitungwa mwaka 1995 chini ya Mwinyi.
Watu kumpa credit mkapa kuanzisha TRA hawakosei maana kwa Tanzania kua na sheria na kuitekeleza ni vitu 2 tofauti. Tuna sheria nyingi tu zimetungwa kuanzisha vitu flani na wala hazijawahi kutekelezwa. Hivyo mkapa kukubali kuanza utekelezwaji wa sheria ya mapato ya mwaka 1995 lazima apewe hizo credits.
Wewe jamaa una chuki flani mpaka unaonekana mpumbavuMimi namheshimu mno Mkapa.
Binafsi sometimes naona Mkapa probably alikuwa best President ..lakini
Ninachopinga ni kumpa sifa zilizo na uongo..na kusahau pia Mkapa alikuwa na weaknesses za ubabe na kubana vyombo vya habari hivyo na yeye alifaidika na mbinu za kidikteta pia..
Mkapa hakuunzisha TRA ..kuna uzi hapa tulijadili kwa kina .
Mkapa pia hakuanzisha TAKUKURU kwa maana ya kuanzisha ..alifanyia mabadiliko
Kikosi cha kuzuia Rushwa.
Ni kweli Mkapa alikuwa na impact kubwa ya kuanzisha taasisi nyingi Ila usisahau hizo taasisi pia zilikuwa na taasisi zingine kabla.
Alichofanya ni kuleta mabadiliko kulingana na wakati na ushauri wa wataalam..
Labda tuseme alisikiliza wataalam.
Sasa wewe unajua maana ya kuanzisha.huyo ameboresha co kuanzisha.labda la kuuza nymb za serekali hilo ndio alianzisha Mana halikuwepo.Wewe jamaa una chuki flani mpaka unaonekana mpumbavu
His predecessor, President Mwinyi, had already taken the initial steps by setting up the Presidential Commission of Enquiry into Public Revenues in 1991; which had recommended the establishment of the Tanzania Revenue Authority (TRA). This was established, and commenced full operations in July 1996, after President Mkapa had taken office. Dailynews.TRA kaanzisha mwinyi,31/7/1995
Ilikua rasmi 31/7/1995,ni matokeo ya SAPHis predecessor, President Mwinyi, had already taken the initial steps by setting up the Presidential Commission of Enquiry into Public Revenues in 1991; which had recommended the establishment of the Tanzania Revenue Authority (TRA). This was established, and commenced full operations in July 1996, after President Mkapa had taken office. Dailynews.
Uko sahihi mkuu.
Kweli kabisa mkuu,Ilikua rasmi 31/7/1995,ni matokeo ya SAP
Mzungu anaogopa mwafrika akiwa huru mosi atakosa malighafi,pili afrika itakua dola kubwa kwa kuwa Ina rasilimali nyingi,unaona China leo anakula nao meza moja,kisa rasilimaliKweli kabisa mkuu,
Structural Adjustment Programme SAP ya taasisi za Breton Wood (Wakwe zetu). SAP imeondoa serikali nyingi Ikulu barani Afrika hasa baada ya kuhatamia Multipartism. Afrika ni daraja la kuvusha matajiri na kutosa majini maskini.
Poor people walk distance in search for food to eat rich people walk distance to digest the food.
bafae taasisi ya mall za serikaliKwahiyo iundwe taasisi ya Madawati
Baadae iundwe taasisi ya Madarasa
Hatimae iundwe taasisi ya Upungufu wa Chaki
Sasa mkuu baadae itaundwa taasisi ya taasisi zilizoundwa
Mkuu,Mzungu anaogopa mwafrika akiwa huru mosi atakosa malighafi,pili afrika itakua dola kubwa kwa kuwa Ina rasilimali nyingi,unaona China leo anakula nao meza moja,kisa rasilimali
Lakini mpaka sasa TRA iko chini ya wizara ya fedha. Yaani kama kitengo fulani, au?Kabla ya 1996 kodi zilikua zinakusanywa ila idara ya makusanyo ya kodi ilikua ni kitengo pale wizara ya fedha.
Kumeongezeka sana ufanisi wa ukusanyaji kodi toka kuanzishwa kwa TRA.
....The same sun that dries the mud, melts the ice.....Lakini mpaka sasa TRA iko chini ya wizara ya fedha. Yaani kama kitengo fulani, au?
Rais Mkapa ndiye muasisi wa TRA, kabla ya hapo kulikuwa na idara chini ya wizara ya fedha ikijulikana kama income tax, ambayo ufanisi wake wa kukusanya kodi ulikuwa dhaifu sana....Mimi namheshimu mno Mkapa.
Binafsi sometimes naona Mkapa probably alikuwa best President ..lakini
Ninachopinga ni kumpa sifa zilizo na uongo..na kusahau pia Mkapa alikuwa na weaknesses za ubabe na kubana vyombo vya habari hivyo na yeye alifaidika na mbinu za kidikteta pia..
Mkapa hakuunzisha TRA ..kuna uzi hapa tulijadili kwa kina .
Mkapa pia hakuanzisha TAKUKURU kwa maana ya kuanzisha ..alifanyia mabadiliko
Kikosi cha kuzuia Rushwa.
Ni kweli Mkapa alikuwa na impact kubwa ya kuanzisha taasisi nyingi Ila usisahau hizo taasisi pia zilikuwa na taasisi zingine kabla.
Alichofanya ni kuleta mabadiliko kulingana na wakati na ushauri wa wataalam..
Labda tuseme alisikiliza wataalam.
....The same sun that dries the mud, melts the ice.....
My ribs are aching!
Mkuu Matuja,started its operations on 1st July 1996
Human-croc (human-aligator) or what?
Mkuu Douglas, pengine kama una kumbukumbu ya mswaada wa sheria kupelekwa kabla ya bunge kuvunjwa July 1995 sio vibaya ukashirikisha jukwaa ili kuwa na uelewa wa pamoja.Mkuu Matuja,
Ina maanisha iliishaanzishwa huko nyuma lakini ikaanza operesheni July 1996. Wakati inaanzishwa Mkapa alikuwa Waziri, Mkapa amekuja kuwa Rais Nov 1995 alipokula kiapo, ndani ya Nov - Dec 1995 (mwezi mmoja) hakuanzisha TRA bali alikuwa ndiyo ametingwa kusuka/kuunda safu yake ya serikali ya ngwe yake ya kwanza ya awamu ya 3. Ndiyo maana hadi 1996 akaja kuiboresha na kuanza operesheni July. Hapa ni suala tu la timing.
Ndugu balimar hoja hapa si kuundwa taasisi ya madawati hoja ni kutengeneza mfumo unaotatua changamoto katika hali endelevu kwa mf awamu ya tano mwanzoni tulinunulishwa madawati na tukaambiwa tatizo la madawati limekwisha kana kwamba tumesahau au hatujui kuwa madawati huharibika lakini pia idadi ya wanafunzi huongezeka ilikuwa hivyo kwa vyumba vya madarasa nyumba za waalimu na maabara.Kwahiyo iundwe taasisi ya Madawati
Baadae iundwe taasisi ya Madarasa
Hatimae iundwe taasisi ya Upungufu wa Chaki
Sasa mkuu baadae itaundwa taasisi ya taasisi zilizoundwa