Tathmini yangu Simba Day vs APR

Tathmini yangu Simba Day vs APR

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You

2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu

3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini mzito kama Mohamed Quattara

4.Fabrice Ngoma apewe Thank You, wachezaji wa viungo mafundi tunao wa kutosha

5.Awesu Awesu fundi sana wa mpira, sana tena

6.Edwin Balua ni Vicinious Junior Jr, hatari tupu huyu dogo

7.Jean Charles Ahoua aongeze kasi bado hajatufurahisha

8.Debora Mavambo ni fundi kweli kweli

9.Augustine Okajepha kiungo wa chini mkata umeme kwa wote wasiolipa bili

10.Joshula Mutale nimekubali ni SGR

11.Freddy Michael Funga Funga sina cha kusema

12.Steven Mukwala ni mshambuliaji hatari mno na amekamilika haswa.Kama sio kupania gemu ile leo j2 angekuwa talk of the town.

13.Timu tunayo, tunaweza kufungwa na Yanga kwa sababu mechi zile zinachezwa na viongozi lkn haiondoi ukweli kuwa tuna timu nzuri, wachezaji watiwe moyo, viongozi waongeze umoja, wasaliti waangamizwe, mashabiki watulie, hata roma haikujengwa kwa siku moja.

Simba nguvu moja
 
Ukifungwa na yanga ni uwezo mdogo acha kusingizia viongozi. Na Yanga akifungwe zigo mtwishe nani?
 
Ngoma na fred hawana pa kutokea, either waanzie kutokea bench au waondoke kabisa, baba ester kule pembeni akubali tu kazin kwakwe kuna kazi, mzamiru akiendelea na aina ile ya uchezaji ataanzia bench
 
Hapana, ngoma asipewe thank you, ngoma bado ana vitu vingi kiukweli, ngoma na debora wakicheza double pivot ni hatari, lakini changamoto simba haina namba 10 mnyumbulifu, mwenye jicho la pass ya mwisho, mwenye kuchezesha watu wote pale juu, yule jean charles inabidi abadilike aboreshe mapungufu yake.. La sivyo ni mchezaji wa kawaida, itabidi simba icheze 4-4-2, simba wacheze na double strikers, mkicheza na mfumo wa striker mmoja maana yake namba 10 ana kazi ya kushuka chini, kuunganisha timu, kuivuta juu, na kuwa hatari zaidi kwenye robo ya mpinzani, jean kakosa sifa hizi.
 
Awesu alikuwa anapoteza mipira,ngoma hamna kitu anarudisha mipira nyuma na kuua shambulizi Simba wanapokuwa na mpira, Kibu hata kutuliza mpira bado sana angeachwa tu,freddy atakuja kusugua benchi. Mutale ni mtu,Mukwala ni mtu pia,Deborah ni shida.

Naona wachezaji 8 hivi wa kigeni pamona na makipa ni wazuri
 
1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You

2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu

3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini mzito kama Mohamed Quattara

4.Fabrice Ngoma apewe Thank You, wachezaji wa viungo mafundi tunao wa kutosha

5.Awesu Awesu fundi sana wa mpira, sana tena

6.Edwin Balua ni Vicinious Junior Jr, hatari tupu huyu dogo

7.Jean Charles Ahoua aongeze kasi bado hajatufurahisha

8.Debora Mavambo ni fundi kweli kweli

9.Augustine Okajepha kiungo wa chini mkata umeme kwa wote wasiolipa bili

10.Joshula Mutale nimekubali ni SGR

11.Freddy Michael Funga Funga sina cha kusema

12.Steven Mukwala ni mshambuliaji hatari mno na amekamilika haswa.Kama sio kupania gemu ile leo j2 angekuwa talk of the town.

13.Timu tunayo, tunaweza kufungwa na Yanga kwa sababu mechi zile zinachezwa na viongozi lkn haiondoi ukweli kuwa tuna timu nzuri, wachezaji watiwe moyo, viongozi waongeze umoja, wasaliti waangamizwe, mashabiki watulie, hata roma haikujengwa kwa siku moja.

Simba nguvu moja
 
Ulianza kuongea vizuri ila umeharibu uliposema eti mechi inachezwa na viongozi dah kweli makolo ni makolo tu always hawajiamini
 
Hapo ndo tatizo lilipo wanamazingaombwe sana
Kama kweli wanafanya hivyo na wameendelea kuachwa basi viongozi watakuwa na akili kidogo. Haiwezekani wanatumia mamilioni kusajili na mshahara juu halafu mtu anakuja kuroga wenzie. Na haya malalamiko ni ya muda mrefu. Tuseme hawaamini kama uchawi upo?
 
1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You

2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu

3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini mzito kama Mohamed Quattara

4.Fabrice Ngoma apewe Thank You, wachezaji wa viungo mafundi tunao wa kutosha

5.Awesu Awesu fundi sana wa mpira, sana tena

6.Edwin Balua ni Vicinious Junior Jr, hatari tupu huyu dogo

7.Jean Charles Ahoua aongeze kasi bado hajatufurahisha

8.Debora Mavambo ni fundi kweli kweli

9.Augustine Okajepha kiungo wa chini mkata umeme kwa wote wasiolipa bili

10.Joshula Mutale nimekubali ni SGR

11.Freddy Michael Funga Funga sina cha kusema

12.Steven Mukwala ni mshambuliaji hatari mno na amekamilika haswa.Kama sio kupania gemu ile leo j2 angekuwa talk of the town.

13.Timu tunayo, tunaweza kufungwa na Yanga kwa sababu mechi zile zinachezwa na viongozi lkn haiondoi ukweli kuwa tuna timu nzuri, wachezaji watiwe moyo, viongozi waongeze umoja, wasaliti waangamizwe, mashabiki watulie, hata roma haikujengwa kwa siku moja.

Simba nguvu moja
Mada yako ni nzuri sana tu. Maana inaongelea tathmini ya timu yako baada ya mechi. Udhaifu ni hapo mwishoni tu ulipo ihusisha Yanga na viongozi. Umeonesha dalili ya hofu iliyopitiliza.
 
Awesu alikuwa anapoteza mipira,ngoma hamna kitu anarudisha mipira nyuma na kuua shambulizi Simba wanapokuwa na mpira, Kibu hata kutuliza mpira bado sana angeachwa tu,freddy atakuja kusugua benchi. Mutale ni mtu,Mukwala ni mtu pia,Deborah ni shida.

Naona wachezaji 8 hivi wa kigeni pamona na makipa ni wazuri
Simba ya msimu huu na ya msimu uliopita ipi mzuri?
 
Back
Top Bottom