Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You
2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu
3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini mzito kama Mohamed Quattara
4.Fabrice Ngoma apewe Thank You, wachezaji wa viungo mafundi tunao wa kutosha
5.Awesu Awesu fundi sana wa mpira, sana tena
6.Edwin Balua ni Vicinious Junior Jr, hatari tupu huyu dogo
7.Jean Charles Ahoua aongeze kasi bado hajatufurahisha
8.Debora Mavambo ni fundi kweli kweli
9.Augustine Okajepha kiungo wa chini mkata umeme kwa wote wasiolipa bili
10.Joshula Mutale nimekubali ni SGR
11.Freddy Michael Funga Funga sina cha kusema
12.Steven Mukwala ni mshambuliaji hatari mno na amekamilika haswa.Kama sio kupania gemu ile leo j2 angekuwa talk of the town.
13.Timu tunayo, tunaweza kufungwa na Yanga kwa sababu mechi zile zinachezwa na viongozi lkn haiondoi ukweli kuwa tuna timu nzuri, wachezaji watiwe moyo, viongozi waongeze umoja, wasaliti waangamizwe, mashabiki watulie, hata roma haikujengwa kwa siku moja.
Simba nguvu moja