Tatizo common kwenye engine za BMW

kaa mbali na uchawi wa mzungu.. hiyo gari mwamba hajakaa nayo hata zaidi miezi mitatu.. tayari yupo chepe chepe πŸ˜„πŸ˜„
 
Mambo mengine mnayakuza Bure jamani.
jamaa yupo hoi, kuna uwezekano kainunua kwa mdadali... ila gari mpya kabisa.. itakuwa shida ndogo tu labda pump na thermostat.. kaona jau kuwa anapunga upepo mala kwa mala na fundi aliekutana nae hajui huenda kamtisha kwamba itamfilisi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
atakuwa aliulizia Sensor moja akaaimbiwa milioni 2🀣🀣🀣🀣....
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ lazima ashangazwe na unakuta fundi kaisha mtishia.. ile gari hadi nauza.. ilikuwa inasumbua sensor kuulizia jamaa akaleta habari za 1.2million, ilipofunguliwa na kurudishwa haikuleta shida tenaa.. nahisi hizi gari inategemea na mafundi sensor zingine ukizitoa na kurudisha zinakaa fresh.. ukikutana na fundi michael anakutisha unaweza kuuza gari bei sawa na bure
 
Alisema 1.5m 🀣🀣🀣🀣
 
Alisema 1.5m 🀣🀣🀣🀣
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ sasa unatoa 1.5m unakutana na fundi anakutisha tisha ukitazama huenda ukatoa milion ingine, na huku ulikuwa unajaribu, kwanini usijitue mzigoo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. toka ile sensor tumeirudisha haikuwa sumbua hadi naiuza ile gari.. mafundi pia wanachangia sana kukatisha tamaa hasa wasio ielewa hizo kazi vizuri
 
Gari za hivyo DYC haitakuwa na matatizo yoyote huenda anauza tu abadilishe chombo
 
Chukua chombo ya mjerumani hiyo bado mbichi sana! Isije ikawa ina vipengele vya scirroco tuπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…