Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Huyo anawachora.Inawezekana.......ila kibongo bongo...inatisha...
Hilo neno exchange na gari yoyte inaonekana kama vile amekata tamaa
Chukua IST yako mpelekee uone kama atakubali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo anawachora.Inawezekana.......ila kibongo bongo...inatisha...
Hilo neno exchange na gari yoyte inaonekana kama vile amekata tamaa
Hii kitu ni yenyewe haijapigwa tu badge ya Msport....🤣🤣🤣
Yess.. kama ilivyo kumiliki BMW na RANGE mtaani.. yani heshima ya hela yote[emoji23][emoji23][emoji23]Huenda kuna kitu extra wanapata.
Benz ni Roli Mkuu hizi ndogo ni Mercedes 😆😆Ndo maana nikasema usumbufu mwingine kama ulikuwepo.
Ila anyway Benz sijasikiasikia sana story zake. Labda wenye experience watupe mrejesho.
Mkuu ile BM ipo anauza bei gani na Engine ikiwa imekufa ipo mkoa gani?Sasa hivi hana wa kumuuzia, huwezi kuuza gari engine imekufa.. mwanzo alitaka aniuzie mie nikamuambia hapana sina hela 😀😀😀
Ok za Singapore ni kichomi fulani nilijua Ulaya...😀😀😀😀 hakuna mtu anahamu na from Singapore
ameifufua mkuu.. alinunua engine mpya..Mkuu ile BM ipo anauza bei gani na Engine ikiwa imekufa ipo mkoa gani?
ilikuwa SingaporeOk za Singapore ni kichomi fulani nilijua Ulaya...
Udanganyifu.. utoaji wa part nzima na kukuwekea part mbovu.. huku kipira kwa nje na ndani kinang'aaa... ila kaa chonjo kwenyr engine, gearbox.. na vingineGari za Singapore zinakuwa na shida gani..!!?
Ahhh ok shukrani..Udanganyifu.. utoaji wa part nzima na kukuwekea part mbovu.. huku kipira kwa nje na ndani kinang'aaa... ila kaa chonjo kwenyr engine, gearbox.. na vingine
Ukiangalia befoward gari ikiwa inatokea ya japan huwa wanakazia hapaAhhh ok shukrani..
Befoward anauza magari kutokea Japan na Singapore pia.. Kwahiyo kampuni moja ila uaminifu tofauti..!!!?
Wazungu wapo mbele sana ya hawa weupe wengine.. site gani ya wazungu ambayo inaamika sana kwenye biashara ya magari na ya uhakikaAhhh kumbe.. Hapo nimekusoma sasa..!
Kama kampuni kubwa ilitakiwa wao ndio wachukue hiyo dhamana..!
Hizi ndio sababu tunakimbilia kwa Mzungu.. Yupo teyari kubeba majukumu.. Hata kurudishiwa gari..!
Sure aisee..!Wazungu wapo mbele sana ya hawa weupe wengine.. site gani ya wazungu ambayo inaamika sana kwenye biashara ya magari na ya uhakika
😃😃😃 JituMirabaMinne kuna BM hapa inauzwa 3.7millionMti wa Xmass unatupwa huko
View attachment 2123930
Hizi ndo chuma za kununua....Mti wa Xmass unatupwa huko
View attachment 2123930
Unanunua engine mpya maisha yanaenda.Hizi ndo chuma za kununua....
Inategemea tu ina engine gani...
Kwa Cc2500 inaweza kuwa M54 au N52. Whatever, ila zote ni good engines.....
Hapo mnabargain hata 3M mtu anapoa humo.
Labda kama imeshakatwakatwa nyaya.