Tatizo common kwenye engine za BMW

Tatizo common kwenye engine za BMW

Hii kitu ni yenyewe haijapigwa tu badge ya Msport....🤣🤣🤣

Okay kama ina engine code hii S63B44T2 go for it.

Ingawa engine za N63/S63 wakati zinatoka zilikuwa ni horrow story lakini walishafanya updates kama mara nne au 5. Na kutoa kitu ambacho ni reliable ukilinganisha na Original version.

Mfano hiyo S63B44T2 ni second update ya s63, haina reliability issues kama ilivyokuwa original version ambayo ni S63B44O0.
 
Ahhh ok shukrani..

Befoward anauza magari kutokea Japan na Singapore pia.. Kwahiyo kampuni moja ila uaminifu tofauti..!!!?
Ukiangalia befoward gari ikiwa inatokea ya japan huwa wanakazia hapa

* [Registration Year/month] is a registration date in Stock Country.

* [Manufacture Year/month] is provided by database provider.BE FORWARD shall not be responsible for any loss, damages and troubles caused by this information.

* The odometer reading is provided by the Supplier.BE FORWARD has not checked nor verified the authenticity of the information. BE FORWARD does not warrant the authenticity of the information.


Ukiangalia zinazotokea Japan hukutani hili angalizo
 
Ahhh kumbe.. Hapo nimekusoma sasa..!
Kama kampuni kubwa ilitakiwa wao ndio wachukue hiyo dhamana..!

Hizi ndio sababu tunakimbilia kwa Mzungu.. Yupo teyari kubeba majukumu.. Hata kurudishiwa gari..!
 
Ahhh kumbe.. Hapo nimekusoma sasa..!
Kama kampuni kubwa ilitakiwa wao ndio wachukue hiyo dhamana..!

Hizi ndio sababu tunakimbilia kwa Mzungu.. Yupo teyari kubeba majukumu.. Hata kurudishiwa gari..!
Wazungu wapo mbele sana ya hawa weupe wengine.. site gani ya wazungu ambayo inaamika sana kwenye biashara ya magari na ya uhakika
 
Wazungu wapo mbele sana ya hawa weupe wengine.. site gani ya wazungu ambayo inaamika sana kwenye biashara ya magari na ya uhakika
Sure aisee..!

Hapo kwenye site sina uzoefu na exporters..
Nafahamu sites za kununua magari.. Ila ni za kumuunganisha muuzaji na mnunuzi..!

Pia I think hawategemei kuuza gari zao huku kwetu ndio maana..!
 
Mti wa Xmass unatupwa huko
Capturrre.PNG
 
Hizi ndo chuma za kununua....

Inategemea tu ina engine gani...

Kwa Cc2500 inaweza kuwa M54 au N52. Whatever, ila zote ni good engines.....

Hapo mnabargain hata 3M mtu anapoa humo.

Labda kama imeshakatwakatwa nyaya.
Unanunua engine mpya maisha yanaenda.
 
Back
Top Bottom