Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
kaa mbali na uchawi wa mzungu.. hiyo gari mwamba hajakaa nayo hata zaidi miezi mitatu.. tayari yupo chepe chepe 😄😄Mkabidhi Nissan vuta Chuma hicho ule maisha.
DYC aiseee gari inaonekana bado mbichi, huenda gari imepata shida na marekebisho yake ameona ni gharama sana. Au zimeshamtoka heka maana kurekebisha kitu fulani.
Wala litakuwa siyo jini. Kwa Tech za Bimmer Cc2000 kwa hiyo gari ina consumption nzuri tu.