Tatizo common kwenye engine za BMW



At high speed iwe efficiency ila haiwezi pooza engine as much as mechanical pump will do ukiwa speed kubwa ,, gari ambazo Ni high performance zinakuja na mechanical hata miaka ya Sasa , kwanzia 3000rpm mechanical is the best , kwanzia hapo inaeza ku pump gallon kadhaa per minute Zaid
 
UKINUNUA GARI POPOTE PALE HASA ZILE USED HAKIKISHA UNAPATA SERVICE MANUAL BOOK YA GARI HUSIKA naamin hutalichukia gari km ukipata kitabu chake maaan vinakuwa na mambo mengi ambayo yataku guide katika siku zote za utakapo limiki hilo gari
Wale wanaochukuaga 0KM wanaelewa faida ya hvo vitabu cost zinapungua maan sis huku tunakalil kumwaga oil ila kuna zaid ya hapo vitabu vya Service vya gari husika trust me utalifurahia gali lako
 
E pump at idle na cruising ipo vizuri ,, mechanical at idle hai pump maji mengi Kama e pump ila kwanzia 3000rpm mechanical ipo vizuri Sana inaeza pump gallon kadhaa per minute na kufanya cooling vizuri


Gari iliobustiwa Sana inakuja na mechanical , Kuna after market pump zinaeza run on both Ni wewe unaamua wakati gani utumie mechanical au in run na umeme
 
Itakuwa hujaipata logic..

1. High speed sio sawa na RPMs kubwa.. Unaweza kuwa spidi kubwa ila engines RPMs ndogo.. Ukiwa na mashine kubwa..!

2. 3000 rpms gari chache sana zinaendeshwa hapo.. Watu wapo kwenye bajeti ya mafuta..! Wananyunyizia mguu kwenye pedal rpms 2000 max..!

Kwahiyo kwa mazingira ya mjini na uendeashaji wake.. electrical ni efficient..!
 
Wananichekeshaga Sana mtu anaulizwa una miliki gari gani labda kwenye TV upande wa Toyota anataja model upande mwngne anataja only maker

Yani... Namiliki verosa, vanguard na BMW😂 model ipi Sasa afu anajazia anasema na gari la kifahari bmw unaeza kuta Ni ka bm Cha miaka ya shetani
 
Kuna Forrester moja inaeza kaa 240kph RPM inakuwa 5100 sixth gear ..means 120kph ukiwa na gia ya sita RPM inakuwa 2250 hivi sio mbaya sema hio picha uliotuma gari itakuwa na power kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…