Tatizo common kwenye engine za BMW

Tatizo common kwenye engine za BMW

Bimmer za zamani zina mechanical kama alivyosema mdau.. Wakaona sio efficient..! Ila hili sio tatizo.. Inatakiwa mmiliki ufahamu kuwa pump inahitaji replacement baada ya muda fulani.. Sio lazima usubirie signs..kama timing belt/chain..! Sio Bimmer tuu.. Kila gari pump yake ina umbali kadhaa kabla ya kuchoka..! Electric water pump zina faida nyingi kulinganisha na kufeli kwake.. Mechanical pump zinapunguza hp itakayofika kwenye matairi.. Sababu zinakuwa belt driven na engine.. Zinaconsume power ya engine.. Mechanical Pump inaweza isifeli.. Ila belt ikikatika kwisha kazi..! Tofauti na electric inayotegemea battery.. Mwisho kabisa.. Electric ipo efficient kwenye cooling ya engine.. Mfano ukiwa kwenye high speed.. Pump itafanya kazi kidogo sababu hewa nyingi inaingia.. Unlike mechanical ambayo ipo connected na mzunguko wa engine.. Itazunguka kwa kasi zaidi wakati hakuna ulazima huo..!
Bimmer za zamani zina mechanical kama alivyosema mdau.. Wakaona sio efficient..!
Ila hili sio tatizo.. Inatakiwa mmiliki ufahamu kuwa pump inahitaji replacement baada ya muda fulani.. Sio lazima usubirie signs..kama timing belt/chain..!
Sio Bimmer tuu.. Kila gari pump yake ina umbali kadhaa kabla ya kuchoka..!

Electric water pump zina faida nyingi kulinganisha na kufeli kwake..
Mechanical pump zinapunguza hp itakayofika kwenye matairi.. Sababu zinakuwa belt driven na engine.. Zinaconsume power ya engine..
Mechanical Pump inaweza isifeli.. Ila belt ikikatika kwisha kazi..! Tofauti na electric inayotegemea battery..
Mwisho kabisa.. Electric ipo efficient kwenye cooling ya engine.. Mfano ukiwa kwenye high speed.. Pump itafanya kazi kidogo sababu hewa nyingi inaingia.. Unlike mechanical ambayo ipo connected na mzunguko wa engine.. Itazunguka kwa kasi zaidi wakati hakuna ulazima huo..!

At high speed iwe efficiency ila haiwezi pooza engine as much as mechanical pump will do ukiwa speed kubwa ,, gari ambazo Ni high performance zinakuja na mechanical hata miaka ya Sasa , kwanzia 3000rpm mechanical is the best , kwanzia hapo inaeza ku pump gallon kadhaa per minute Zaid
 
Kuna tatizo moja common kwenye engine za BMW.

Kama ukiomba ushauri kwa mtu ambaye amecome across na hizo gari wengi moja ya sababu ambayo atakupa kama sababu ya wewe kuacha kununua hilo gari ni hii…

"Achana na hizo gari zinachemsha sana"

Ni kweli kabisa gari za BMW zinachemsha, Ndio maana siyo kitu cha ajabu ukitembea hapa mjini ukakutana na BMW mtu amepaki pembeni ya barabara na akafungua Bonet.

Na kama zingekuwa nyingi hapa mjini kama toyota basi hicho kitu watu wangekiexperience sana.

Kama mimi mtu akiniomba ushauri anataka kununua BMW used nitamshauri kitu kimoja tu abadilishe water pump.

Engine nyingi BMW zinakuja na Water pump za Umeme. Na watu wengi ambao BMW zinawachemshia sababu kwa asilimia nyingi huwa ni hiyo water pump kuchoka.

View attachment 2100108

Around 120,000Km badili water pump. Japo ni gharama lakini utatembelea sana kabla ya kubadili tena.

Siyo kitu cha ajabu hata kutoa milioni kununua hiyo pump.
UKINUNUA GARI POPOTE PALE HASA ZILE USED HAKIKISHA UNAPATA SERVICE MANUAL BOOK YA GARI HUSIKA naamin hutalichukia gari km ukipata kitabu chake maaan vinakuwa na mambo mengi ambayo yataku guide katika siku zote za utakapo limiki hilo gari
Wale wanaochukuaga 0KM wanaelewa faida ya hvo vitabu cost zinapungua maan sis huku tunakalil kumwaga oil ila kuna zaid ya hapo vitabu vya Service vya gari husika trust me utalifurahia gali lako
 
Bimmer za zamani zina mechanical kama alivyosema mdau.. Wakaona sio efficient..!
Ila hili sio tatizo.. Inatakiwa mmiliki ufahamu kuwa pump inahitaji replacement baada ya muda fulani.. Sio lazima usubirie signs..kama timing belt/chain..!
Sio Bimmer tuu.. Kila gari pump yake ina umbali kadhaa kabla ya kuchoka..!

Electric water pump zina faida nyingi kulinganisha na kufeli kwake..
Mechanical pump zinapunguza hp itakayofika kwenye matairi.. Sababu zinakuwa belt driven na engine.. Zinaconsume power ya engine..
Mechanical Pump inaweza isifeli.. Ila belt ikikatika kwisha kazi..! Tofauti na electric inayotegemea battery..
Mwisho kabisa.. Electric ipo efficient kwenye cooling ya engine.. Mfano ukiwa kwenye high speed.. Pump itafanya kazi kidogo sababu hewa nyingi inaingia.. Unlike mechanical ambayo ipo connected na mzunguko wa engine.. Itazunguka kwa kasi zaidi wakati hakuna ulazima huo..!
E pump at idle na cruising ipo vizuri ,, mechanical at idle hai pump maji mengi Kama e pump ila kwanzia 3000rpm mechanical ipo vizuri Sana inaeza pump gallon kadhaa per minute na kufanya cooling vizuri

Gari iliobustiwa Sana inakuja na mechanical , Kuna after market pump zinaeza run on both Ni wewe unaamua wakati gani utumie mechanical au in run na umeme
 
At high speed iwe efficiency ila haiwezi pooza engine as much as mechanical pump will do ukiwa speed kubwa ,, gari ambazo Ni high performance zinakuja na mechanical hata miaka ya Sasa , kwanzia 3000rpm mechanical is the best , kwanzia hapo inaeza ku pump gallon kadhaa per minute Zaid
Itakuwa hujaipata logic..

1. High speed sio sawa na RPMs kubwa.. Unaweza kuwa spidi kubwa ila engines RPMs ndogo.. Ukiwa na mashine kubwa..!
_20230201_160857.JPG

2. 3000 rpms gari chache sana zinaendeshwa hapo.. Watu wapo kwenye bajeti ya mafuta..! Wananyunyizia mguu kwenye pedal rpms 2000 max..!

Kwahiyo kwa mazingira ya mjini na uendeashaji wake.. electrical ni efficient..!
 
Kuwa specific, Range Rover na Jaguar zote zinatumia BMW engine, hata hii Range Rover ya sasa hivi new Model inatumia BMW engine, Rolls Royce pia inatumia BMW engines, Mini zinatumia BMW engines, sasa hilo tatizo common kwa engine ipi ya BMW?

BMW wanaunda engines aina mbali mbali, kusema tu kwamba hili ni tatizo common kwa BMW engines haitoshi, ulipaswa useme Engine x y z ya BMW ina tatizo hili!
Wananichekeshaga Sana mtu anaulizwa una miliki gari gani labda kwenye TV upande wa Toyota anataja model upande mwngne anataja only maker

Yani... Namiliki verosa, vanguard na BMW😂 model ipi Sasa afu anajazia anasema na gari la kifahari bmw unaeza kuta Ni ka bm Cha miaka ya shetani
 
Itakuwa hujaipata logic..

1. High speed sio sawa na RPMs kubwa.. Unaweza kuwa spidi kubwa ila engines RPMs ndogo.. Ukiwa na mashine kubwa..! View attachment 2502566

2. 3000 rpms gari chache sana zinaendeshwa hapo.. Watu wapo kwenye bajeti ya mafuta..! Wananyunyizia mguu kwenye pedal rpms 2000 max..!

Kwahiyo kwa mazingira ya mjini na uendeashaji wake.. electrical ni efficient..!
Itakuwa hujaipata logic..

1. High speed sio sawa na RPMs kubwa.. Unaweza kuwa spidi kubwa ila engines RPMs ndogo.. Ukiwa na mashine kubwa..! View attachment 2502566

2. 3000 rpms gari chache sana zinaendeshwa hapo.. Watu wapo kwenye bajeti ya mafuta..! Wananyunyizia mguu kwenye pedal rpms 2000 max..!

Kwahiyo kwa mazingira ya mjini na uendeashaji wake.. electrical ni efficient..!
Kuna Forrester moja inaeza kaa 240kph RPM inakuwa 5100 sixth gear ..means 120kph ukiwa na gia ya sita RPM inakuwa 2250 hivi sio mbaya sema hio picha uliotuma gari itakuwa na power kubwa
 
Back
Top Bottom