JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
- Thread starter
- #41
sasa hivi utapa experience zake sio kwa kuzagaa kwa C200 kompressor.. kushinda crown.. hazipiti gari kumi bila kompressor kuwepo ๐๐
Acha tuone....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hivi utapa experience zake sio kwa kuzagaa kwa C200 kompressor.. kushinda crown.. hazipiti gari kumi bila kompressor kuwepo ๐๐
HahahahahHizi ndio story wajapan mnapenda.
Wazee acheni kuniponda jamani mzee wa Yokohama ama Nakayama ๐ kule ndio gari zinatokakatoka huko mkuuu kuja kujazia nyama ๐๐
Nimechoka kuzion C200 kompressor.. crown zimeishafunikwaWazee acheni kuniponda jamani mzee wa Yokohama ama Nakayama ๐ kule ndio gari zinatoka
Hahahah benz imekuwa kama CorrollaNimechoka kuzion C200 kompressor.. crown zimeishafunikwa
Uzuri benz sio tatanishi..Hahahah benz imekuwa kama Corrolla
Benz imetengenezwa vyema sio sumbufu kama yule Bayerische Motoren Werke akawilii kukumenyea vitungu mmiliki wakeUzuri benz sio tatanishi..
uzuri gari zetu bei cheee.. chozi aliumi sana, unaiweka poa kidogo una mtishwa mwingine akafe nayoBenz imetengenezwa vyema sio sumbufu kama yule Bayerische Motoren Werke akawilii kukumenyea vitungu mmiliki wake
Hahahahahahuzuri gari zetu bei cheee.. chozi aliumi sana, unaiweka poa kidogo una mtishwa mwingine akafe nayo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....Ila huu uzi wajapan weusi wameufurahia sana..Huyo uliyem quote mwenyewe ndiye mkuu wa majeshi ya wajerumani weusi,hapo Yuko mitaa Nรผrnberg
anasubiria mjapan mweusi alete kelele amsurubu.
[emoji28][emoji28][emoji28]hii kauli ni ya kikatili sanauzuri gari zetu bei cheee.. chozi aliumi sana, unaiweka poa kidogo una mtishwa mwingine akafe nayo
๐๐ Haku mjeruma mweusi asie katili kwa hapa tanzania.. yoyote akiona gari ina muyumbisha.. anamtafuta mwenzake anambariki matatizo.. wa mwisho ndio anakuwa mshindi akauze spare[emoji28][emoji28][emoji28]hii kauli ni ya kikatili sana
๐๐๐ Mpk Tokyo kwnyw wameshangaa kitu gani kimetokea huku[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....Ila huu uzi wajapan weusi wameufurahia sana..
Na majamaa yalificha parts zake sehemu ngumu ngumu kuzi-access ili kuua DIY na Gari zao zipelekwa kutengenezwa kwa Dealers tu.Shida hizo pump zinakuwa na plastic case kwa huku mbele naona hicho ndio kitu watu wengi wanacomplain kwamba with time huwa inaanza kuvuja. Kwenye baadhi ya engine hiyo pampu huko ilikofichwa ni kisanga.
Ila anyway ukiwa unafanya preventive maintanance ya kubadili hiyo pump kila baada ya 120k mpaka 150k haitokuwa shida kabisa.
Mechanical water pump ipoje kwan hio ya umeme sio mechanical?Yeah kwa mfano kwenye 3 series, kuanzia generation ya E46 kurudi nyuma walikua wanatumia mechanical water pump ila kuanzia E90 wakaanza na electric.
Aisee ni kichomi. Hii kitu utalia na utakonda kilo 100. Na mbaya zaidi haioneshi dalili zozote inazima tu kama Infinix ya kichina.
Pia ukibadirisha pump badirisha na thermostart.
Sasa mzee si ulikua umetoka kwny Carina ti mpk kuendesha 320i lazima ujione maajabu ๐๐Nilionja siku moja kuendesha BMW 320i kutoka banana hadi kariakoo...hakika wajerumani wametuacha mbali Sana, pamoja na ishu za gari zao kuwa na changamoto ya pump bado hizo gari ziko juu sana
Hahahaha ๐คฃ๐๐๐๐คฃSasa mzee si ulikua umetoka kwny Carina ti mpk kuendesha 320i lazima ujione maajabu ๐๐