Tatizo common kwenye engine za BMW

Tatizo common kwenye engine za BMW

Shida hizo pump zinakuwa na plastic case kwa huku mbele naona hicho ndio kitu watu wengi wanacomplain kwamba with time huwa inaanza kuvuja. Kwenye baadhi ya engine hiyo pampu huko ilikofichwa ni kisanga.

Ila anyway ukiwa unafanya preventive maintanance ya kubadili hiyo pump kila baada ya 120k mpaka 150k haitokuwa shida kabisa.
Na majamaa yalificha parts zake sehemu ngumu ngumu kuzi-access ili kuua DIY na Gari zao zipelekwa kutengenezwa kwa Dealers tu.

Maana Kama huna specialized tools zao hamna kitu mtu utafanya.
 
Yeah kwa mfano kwenye 3 series, kuanzia generation ya E46 kurudi nyuma walikua wanatumia mechanical water pump ila kuanzia E90 wakaanza na electric.

Aisee ni kichomi. Hii kitu utalia na utakonda kilo 100. Na mbaya zaidi haioneshi dalili zozote inazima tu kama Infinix ya kichina.

Pia ukibadirisha pump badirisha na thermostart.
Mechanical water pump ipoje kwan hio ya umeme sio mechanical?
 
Back
Top Bottom