Tatizo gani hili kwa mtoto wangu?

Tatizo gani hili kwa mtoto wangu?

Pole sana mkuu. Nimepitia ndiyo za nanmna hiyo ila nimesaidika sana baada ya kwenda kanisani kanisa linaitwa synagogue of christ ministry lipo Njia panda shule. Kivule pia mfuatilie fb nabii derick Daddy kuna maombi ya kutosha kukusaidia
HIli kanisa lipo wapi hili kanisa?
Naomba directions
 
Pole sana ila tatizo ni mkeo ila wewe hujui na hutoamini, kitendo cha mkeo kurudi na mtoto nyumbani na mama yake mkeo kumchukua mtoto hilo tu ni tatizo, sasa hata ukimuombea vipi bado haitasaidia je mkeo anamwamini mungu? vipi mausiano yake na huyo mama yake? Kama umeoa familia yenye ushirikina ni mateso hadi utapofika mwisho, labda ufanye maamuzi magumu mapema.
 
Binti yako anatumika kichawi, na roho ya mnyama imeingia kwake ndio maana mfumo wa chakula umebadilika anatumia mfumo wa chakula wa mnyama huyo aliyemuingia, tafuta msaada wa maombi
 
Back
Top Bottom