Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola . Yaani wameshidwa kushindana kwa hoja za maendeleo na makada na viongozi wengi hawana vipaji vya kushinda kwa hoja. Kingine wamempa nguvu sana mwenyekiti kiasi kwamba sasa wanawekwa machawa na ndugu watupu na kwasababu hakuna mikutano na kujadili hoja makada wamekuwa butu sana. Hii ndiyo sababu tunaona yaendayo kwasasa.
 
They know kama chama hawana ushawishi tena, hakuna anae waamini tena.

So option iliyobaki ni kutumia nguvu, before 2015 walikuwa hawana pa kushika, then jpm came akawaonyesha namna ya kutumia vyombo kubaki
 
CCM bila mbeleko ya vyombo vya dola ni kama Chaumma tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…