this useless and completely nonsense article gentleman 🐒Kwa ufupi kabisa, mpaka sasa Taifa la Tanzania limeshapoteana.
Sababu kubwa ni CCM kushindwa kuelewa kuwa Generation has changed, na hata modality ya kuongoza nchi na kuchanganua mambo inapaswa kubadilika.
Modality ya kutisha tisha raia, kuteka watu ilianzishwa na Nyerere na inatumika hadi sasa …Hii njia itaenda kuzalisha masacree zaidi ya ile Oct 29 : kibaya zaidi tunaambiwa raia kwa sasa wameanza ku access silaha za moto …. Ni hatari sana .
taifa kwa sasa linahitaji viongozi watakaobadili hii Nyerere style ya uongozi na kuwa na viongozi wanaoweza kusikiliza na kuwa na maamuzi jumuishi na usawa kwa national resources
Dr Megalodon Mushi
Canada 🇨🇦
Kuna Mzee alikua anaongea kuhusu hili jambo usiku huutaifa kwa sasa linahitaji viongozi watakaobadili hii Nyerere style ya uongozi na kuwa na viongozi wanaoweza kusikiliza na kuwa na maamuzi jumuishi na usawa kwa national resources
our security apparatus will not tolerate the acts of terrorist even for one second 🐒Hata Oct 29 ilikuwa ni completely non sense
Kwa hiyo wewe unachoona ni "generation has changed", lakini huoni kabisa kwamba huko CCM kwenyewe hakujabadilika?Sababu kubwa ni CCM kushindwa kuelewa kuwa Generation has changed, na hata modality ya kuongoza nchi na kuchanganua mambo inapaswa kubadilika.
Toa mifano ya vitisho vilivyotumiwa na Nyerere vinavyofanana na hivi vya sasa tuijadili hapaModality ya kutisha tisha raia, kuteka watu ilianzishwa na Nyerere na inatumika hadi sasa …Hii njia itaenda kuzalisha masacree zaidi ya ile Oct 29 : kibaya zaidi tunaambiwa raia kwa sasa wameanza ku access silaha za moto …. Ni hatari sana .
Unao u-Dokta kama wa Samia, maana uandishi hauendani na hadhi ya udaktari wowote katika fani ya aina zote!Taifa kwa sasa linahitaji viongozi watakaobadili hii Nyerere style ya uongozi na kuwa na viongozi wanaoweza kusikiliza na kuwa na maamuzi jumuishi na usawa kwa national resources
Dr Megalodon Mushi
You foolish, standard 7 man.this useless and completely nonsense article gentleman 🐒
ok. 🐒You foolish, standard 7 man.
Nioneshe video au ushahidi Nyerere akitisha tisha watu???Kwa ufupi kabisa, mpaka sasa Taifa la Tanzania limeshapoteana.
Sababu kubwa ni CCM kushindwa kuelewa kuwa Generation has changed, na hata modality ya kuongoza nchi na kuchanganua mambo inapaswa kubadilika.
Modality ya kutisha tisha raia, kuteka watu ilianzishwa na Nyerere na inatumika hadi sasa …Hii njia itaenda kuzalisha masacree zaidi ya ile Oct 29 : kibaya zaidi tunaambiwa raia kwa sasa wameanza ku access silaha za moto …. Ni hatari sana .
Taifa kwa sasa linahitaji viongozi watakaobadili hii Nyerere style ya uongozi na kuwa na viongozi wanaoweza kusikiliza na kuwa na maamuzi jumuishi na usawa kwa national resources
Dr Megalodon Mushi
Canada 🇨🇦
Hakika. Tanzanias watu wanatumia bilions kufanya mambo ya kuficha ukweli kusifu na mabango while tunaweza kutumia hizo pesa na kuleta maendeleo…. Kuna namna kuna shida"Jambo ambalo wenzetu wa Magharibi walipewa NEEMA NA MUNGU kulichunguza, kulifahamuni, kulielewa na kuliheshimu sana ni suala zima linaloitwa MUDA. Hii ni rasilimali ya bure ambayo hairudi mara mbili. Hii rasilimali huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO (Changes). Kitaalamu hakuna mwanadamu ambaye anaweza kupinga mabadiliko. Awe MWEMA au Awe MBAYA, lazima atakutwa na MABADILIKO.
Wenzetu wazungu walichotushinda ni hapa tu: NIDHAMU KWENYE MUDA, kwasababu wanafahamu muda huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO katika nyanja zote za maisha: Binafsi, Kijamii, Kisiasa, Kiroho, Kiuchumi na Kitamaduni. Hivyo basi kuweza kukabiliana na MABADILIKO yanayoletwa na MUDA, wenzetu wakabuni kitu kinaitwa MPANGO MKAKATI (STRATEGIC PLANNING). Wenzetu walifahamu kwamba hawawezi kuzuia MABADILIKO lakini wanaweza kuyaratibu (MANAGE). You cannot stop changes, but you can manage and mitigate them."
===========
MALCOM LUMUMBA
Tanzania ilianza kuharibiwa na nyerere. Ushahidi unaotaka kuniambia mimi nikupe ni impractical na hauja reason well kuniomba huo ushahidiNioneshe video au ushahidi Nyerere akitisha tisha watu???
Hakuna mtu.mwenye AKILI akawa KATILI.
Duniani kote mtu anayejibu HOJA kwa UKATILI mostly kichwa chake huwa ni PANZI na ni FISADI, kuna mambo anaficha.
Acheni kumlaumu Nuerere kwa upumbavu wenu wenyewe.