Tatizo kubwa la wamaasai ni mchango wao Mdogo kwenye maendeleo ya nchi

Tatizo kubwa la wamaasai ni mchango wao Mdogo kwenye maendeleo ya nchi

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kabila la wamassai wanajulikana zaidi kwa migogoro kuliko maendeleo.

1. Monduli ni jagwa leo kwasababu ya wamaasai
2. Migogoro ya wafugaji na wakulima kutoka Morogoro mpaka Lindi ni wamasai
3. Hawapendi kuendeleza watoto wao
4. Hawalipi kodi zozote za maana
5. Hawafuati ushauri mfano ufugaji wa kisasa
6. Wanapenda kuhudumiwa kama watoto
7. Walalamishi

Hizi ndizo sababu za Watanzania wengi hawataweza kuwa upande wa wamassai kwenye hama hama za Ngorongoro . Jamii yao inabidi ibadilike
 
Kabila la wamassai wanajulikana zaidi kwa migogoro kuliko maendeleo.

1. Monduli ni jagwa leo kwasababu ya wamassai
2. Migogoro ya wafugaji na wakulima kutoka morogoro mpaka lindi ni wamassai
3. Hawapendi kuendeleza watoto wao
4. Hawalipi kodi zozote za maana
5. Hawafuati ushauri mfano ugugaji wa kisasa
6. Wanapenda kuhudumiwa kama watoto
7. Walalamishi

Hizi ndizo sababu za Watanzania wengi hawataweza kuwa upande wa wamassai kwenye hama hama za Ngorongoro . Jamii yao inabidi ibadilike
Wanaingizia nchi foreign currency kwa kupigwa picha na watalii
 
Zaidi ya 80% ya nyama inayoliwa nchini humu ni product ya wamasai. Unasemaje hawana mchango?
 
Maisha wanayoishi yanatutia hasara zaidi kuliko faida, wana haribu mazingira huku mifugo yenyewe ni choka mbaya haitusadii
Yaani Tanzania ndio tunaongoza kwa mifugo mingi Afrika Mashariki na Kati lakini bei ya nyama ni ghali kuliko hata Uganda inapouzwa 6000 za kitanzania
 
Dhambi ya Ubaguzi ni Mbaya sana , Hata Nyama unazokula huoni kama wana mchango .
Sio ubaguzi, ni ukweli, umefika muda sasa Wamasai wakabadili style yao ya maisha, wafuge kwa kutulia na kulima ikiwezekana
Watu wanaongezeka, maeneo ya malisho yanapungua, vyanzo vya maji vinakauka, ukame unakuwa wa muda mrefu
Hawawezi kuishi tena kama miaka ya nyuma ambayo TZ ilikuwa pori karibu yote
 
Kabila la wamassai wanajulikana zaidi kwa migogoro kuliko maendeleo.

1. Monduli ni jagwa leo kwasababu ya wamaasai
2. Migogoro ya wafugaji na wakulima kutoka Morogoro mpaka Lindi ni wamasai
3. Hawapendi kuendeleza watoto wao
4. Hawalipi kodi zozote za maana
5. Hawafuati ushauri mfano ufugaji wa kisasa
6. Wanapenda kuhudumiwa kama watoto
7. Walalamishi

Hizi ndizo sababu za Watanzania wengi hawataweza kuwa upande wa wamassai kwenye hama hama za Ngorongoro . Jamii yao inabidi ibadilike
Kama swala ni kutaka kuiacha Ngorongoro iwe ya wanyama pori tu; basi iwe ni marufuku watu kuingia kwenye pori hilo, siyo kwa kuinda au kwa kujenga mahoteli. Libaki kuwa pori la wanyama tu, na ardhi hiyo isimilikishwe kwa mtu yeyote.
 
Kuwa wafungaji hiyo ni faida mojawapo kwa Taifa, kwa sababu tunapata vitoweo.
 
Walinzi, wasusi, watoa tiba, wafugaji, wavutia utalii nk. Masai ni watu muhimu sana kwenye nchi yetu.
 
Kabila la wamassai wanajulikana zaidi kwa migogoro kuliko maendeleo.

1. Monduli ni jagwa leo kwasababu ya wamaasai
2. Migogoro ya wafugaji na wakulima kutoka Morogoro mpaka Lindi ni wamasai
3. Hawapendi kuendeleza watoto wao
4. Hawalipi kodi zozote za maana
5. Hawafuati ushauri mfano ufugaji wa kisasa
6. Wanapenda kuhudumiwa kama watoto
7. Walalamishi

Hizi ndizo sababu za Watanzania wengi hawataweza kuwa upande wa wamassai kwenye hama hama za Ngorongoro . Jamii yao inabidi ibadilike
Ah ah ah...
...Wee dogo wewe, I wish ungejitaja na kuweka anuwani yako ya makazi leo leo usiku jamaa hao wakimasai wangekuja usiku huu uko ulipo kukuBUTCHER kabisa.
 
Masai wana faida kubwa sana bwana mdogo, wanaongoza minada ya mifugo na huko Serikali inakata pesa kwa kila Ng'ombe mmoja.

Masai ni wafugaji hivyo wanazalisha bidhaa nyingi ambazo Serikali inakata kodi kama vile biashara ya nyama, ngozi nk.

Kama hujawahi kufuga ng'ombe huwezi kuelewa jinsi wanyama hao wanavyohitaji madawa kila siku, na madawa haya Serikali inakata kodi katika maduka na hata viwandani na wanunuzi wakubwa ni Masai, kuna dawa za kuogeshea, dawa za ndorobo, ndigana, homa ya mapafu, vitamin, dawa za homa nk na ni ghali sio elfu moja wala elfu mbili.

Lakini pia kuna sehemu za machinjio zimeajiri wengi na kodi inapatikana na hapo wanaotegemewa ni Masai kwani ndio wafugaji wakubwa, bado sijataja kuhusu vifaa tiba, utalii na mambo mengine.

Unataja Masai kama unataja bamia!
 
Sio ubaguzi, ni ukweli, umefika muda sasa Wamasai wakabadili style yao ya maisha, wafuge kwa kutulia na kulima ikiwezekana
Watu wanaongezeka, maeneo ya malisho yanapungua, vyanzo vya maji vinakauka, ukame unakuwa wa muda mrefu
Hawawezi kuishi tena kama miaka ya nyuma ambayo TZ ilikuwa pori karibu yote
Kilimo na ufugaji wetu ni wa kijima bado. Serikali zetu ni za kufikiria kikundi kidogo cha viongozi na wafanyakazi wake wakishirikiana na wafanyabiashara wenye asili ya nje.
Matokeo ya hali hii hufanya jamii na taifa kwa ujumla kuwa masikini kwa kuwa utajiri hutoroshwa kwenda nje.
Kinachotakiwa ni Mapinduzi ya fikra ambayo yatasababisha Mapinduzi ya kisiasa na kiuchumi.
Wataalamu wamekuwa wakitoa nadharia tangu uhuru bila tija yoyote.
Misuguano na mapambano lazima yaongezeke ili Mapinduzi yatokee kwa faida ya vizazi vijavyo.
 
Back
Top Bottom