Wanaingizia nchi foreign currency kwa kupigwa picha na wataliiKabila la wamassai wanajulikana zaidi kwa migogoro kuliko maendeleo.
1. Monduli ni jagwa leo kwasababu ya wamassai
2. Migogoro ya wafugaji na wakulima kutoka morogoro mpaka lindi ni wamassai
3. Hawapendi kuendeleza watoto wao
4. Hawalipi kodi zozote za maana
5. Hawafuati ushauri mfano ugugaji wa kisasa
6. Wanapenda kuhudumiwa kama watoto
7. Walalamishi
Hizi ndizo sababu za Watanzania wengi hawataweza kuwa upande wa wamassai kwenye hama hama za Ngorongoro . Jamii yao inabidi ibadilike
Sio ubaguzi, ni ukweli, umefika muda sasa Wamasai wakabadili style yao ya maisha, wafuge kwa kutulia na kulima ikiwezekanaDhambi ya Ubaguzi ni Mbaya sana , Hata Nyama unazokula huoni kama wana mchango .
Kama swala ni kutaka kuiacha Ngorongoro iwe ya wanyama pori tu; basi iwe ni marufuku watu kuingia kwenye pori hilo, siyo kwa kuinda au kwa kujenga mahoteli. Libaki kuwa pori la wanyama tu, na ardhi hiyo isimilikishwe kwa mtu yeyote.Kabila la wamassai wanajulikana zaidi kwa migogoro kuliko maendeleo.
1. Monduli ni jagwa leo kwasababu ya wamaasai
2. Migogoro ya wafugaji na wakulima kutoka Morogoro mpaka Lindi ni wamasai
3. Hawapendi kuendeleza watoto wao
4. Hawalipi kodi zozote za maana
5. Hawafuati ushauri mfano ufugaji wa kisasa
6. Wanapenda kuhudumiwa kama watoto
7. Walalamishi
Hizi ndizo sababu za Watanzania wengi hawataweza kuwa upande wa wamassai kwenye hama hama za Ngorongoro . Jamii yao inabidi ibadilike
Ah ah ah...Kabila la wamassai wanajulikana zaidi kwa migogoro kuliko maendeleo.
1. Monduli ni jagwa leo kwasababu ya wamaasai
2. Migogoro ya wafugaji na wakulima kutoka Morogoro mpaka Lindi ni wamasai
3. Hawapendi kuendeleza watoto wao
4. Hawalipi kodi zozote za maana
5. Hawafuati ushauri mfano ufugaji wa kisasa
6. Wanapenda kuhudumiwa kama watoto
7. Walalamishi
Hizi ndizo sababu za Watanzania wengi hawataweza kuwa upande wa wamassai kwenye hama hama za Ngorongoro . Jamii yao inabidi ibadilike
No umedanganya. Wasukuma wana ngombe wengi kuliko wamasaiZaidi ya 80% ya nyama inayoliwa nchini humu ni product ya wamasai. Unasemaje hawana mchango?
Kilimo na ufugaji wetu ni wa kijima bado. Serikali zetu ni za kufikiria kikundi kidogo cha viongozi na wafanyakazi wake wakishirikiana na wafanyabiashara wenye asili ya nje.Sio ubaguzi, ni ukweli, umefika muda sasa Wamasai wakabadili style yao ya maisha, wafuge kwa kutulia na kulima ikiwezekana
Watu wanaongezeka, maeneo ya malisho yanapungua, vyanzo vya maji vinakauka, ukame unakuwa wa muda mrefu
Hawawezi kuishi tena kama miaka ya nyuma ambayo TZ ilikuwa pori karibu yote