"Habari, Kuna changamoto kwenye mfumo wa wa Nactvet kwa watu wanaaomba AVN.
Waombaji wanakutana na errors nyingi.
Namba zote za simu zilizowekwa kwaajili ya mawasiliano na ofisi ya NACTVET hazipokelewi ukipigiga, na nyingi kati ya hizo hazipatikani, nyingine hazipo kabisa.
Madirisha ya maombi ya vyuo yanakaribia kufungwa, na tunahitaji kuomba kujiunga na Digrii. Hatujui tufanyeje.
Tumeenda ofisi za NACTVET Mikocheni leo hii tar. 25 August 2025 kuomba usaidizi lakini huduma ni mbovu sana, hatujapata msaada. Mwisho tunaitiwa mlinzi atutoe nje bila maelezo tunapaswa kuondoka au kubaki pale kusubiri msaada"
Tunaomba msaada, kwani dirisha la usaili litafungwa.