Kwa mfumo huu Ukisup mwaka wa mwisho kuunga bachela sahau sio inabidi usubiri mwakani.Wanaitwa NACTVET sahivi, sio NACTE. Ni bora Admission Officer na Examination Officer wafuatilie kuliko nyinyi, maana kuna details zinakua zimemiss either za admission au matokeo especially semester ya pili hii ilioisha.
Labda ishu ipo kwako mkuu kwenye kutumia ule mfumo, mana kwa kweli kuutumia kidogo ni mgumu.Ndio
Mfumo upo vizuri sana ule, shida ipo kwako tu."Habari, Kuna changamoto kwenye mfumo wa wa Nactvet kwa watu wanaaomba AVN.
Waombaji wanakutana na errors nyingi.
Namba zote za simu zilizowekwa kwaajili ya mawasiliano na ofisi ya NACTVET hazipokelewi ukipigiga, na nyingi kati ya hizo hazipatikani, nyingine hazipo kabisa.
Madirisha ya maombi ya vyuo yanakaribia kufungwa, na tunahitaji kuomba kujiunga na Digrii. Hatujui tufanyeje.
Tumeenda ofisi za NACTVET Mikocheni leo hii tar. 25 August 2025 kuomba usaidizi lakini huduma ni mbovu sana, hatujapata msaada. Mwisho tunaitiwa mlinzi atutoe nje bila maelezo tunapaswa kuondoka au kubaki pale kusubiri msaada"
Tunaomba msaada, kwani dirisha la usaili litafungwa.
Chuo ulichosoma kikipandisha matokeo NACTVET basi ujue ni dakika sifuri tu unapata AVN.
Anasema kwenye details akiingaza inamuambia information is already existing. Akijaribu kulog in, incorrect usernameMfumo upo vizuri sana ule, shida ipo kwako tu.
Hizo errors zinajitokeza ukiwa unafanyaje/kipengele kipi?? 🤔
Sio wote wanapata hizo errors, wengine waliosoma darasa moja wamefanikiwa. Ila wapo wengi pia hawajafanikiwa. Alivyoenda Ofisi za Nactvet leo kakuta asilimia kubwa ya watu walioenda wana changamoto hiyohiyoChuo ulichosoma kikipandisha matokeo NACTVET basi ujue ni dakika sifuri tu unapata AVN.
Kama mwanzo alishajisajili mwenyewe hapo itabidi aende kwenye ku- log in afu 'forgot password' atatumiwa code za kureset password aweke mpya.Anasema kwenye details akiingaza inamuambia information is already existing. Akijaribu kulog in, incorrect username
Hata mimi nimeombea watu kadhaa wamefanikiwa. Na wengine ndio hizo errors zinatokea.Labda ishu ipo kwako mkuu kwenye kutumia ule mfumo, mana kwa kweli kuutumia kidogo ni mgumu.
Kwa upande wangu niliomba nikafanikiwa mapema.
Hayo yote yamefanyika, baada ya kushindikana ndio akaenda ofisini kwa msaada zaidi. Ila bado hawajafanikiwa.Kama mwanzo alishajisajili mwenyewe hapo itabidi aende kwenye ku- log in afu 'forgot password' atatumiwa code za kureset password aweke mpya.
Dah, basi kaka.Hayo yote yamefanyika, baada ya kushindikana ndio akaenda ofisini kwa msaada zaidi. Ila bado hawajafanikiwa.
Kama alisoma diploma, tayari AVN namba anayo, hivyo haina haja ya ku-sign up, bali a log-in.Anasema kwenye details akiingaza inamuambia information is already existing. Akijaribu kulog in, incorrect username
Sijajua changamoto ninini haswa!Dah, basi kaka.