Tatizo la afya ya akili linavyomaliza wengi kimyakimya

Tatizo la afya ya akili linavyomaliza wengi kimyakimya

Tunazungumzia kilichotokea kwa sasa hivi
Dah haya bana Shem.

Ila nadhan kilichompa stress zaid Shemej yetu ni pengine Beki 3 ni mbovu, ananukia vitunguu, chupi za cotton zote tena zile za buku buku. Ila jamaa kaenda kulamba asali.

hakujali mke anafanya kazi , tena serikalini. Ana gari na wanasaidiana kulea familia.

Mke hakujua kuwa Sisi wanaume ni Ubwaaaa 😊😊😊😊.
Maana kuna kichaa kikipanda unaweza ingiza sehem yoyote yenye utelezi.
 
Dah haya bana Shem.

Ila nadhan kilichompa stress zaid Shemej yetu ni pengine Beki 3 ni mbovu, ananukia vitunguu, chupi za cotton zote tena zile za buku buku. Ila jamaa kaenda kulamba asali.

hakujali mke anafanya kazi , tena serikalini. Ana gari na wanasaidiana kulea familia.

Mke hakujua kuwa Sisi wanaume ni Ubwaaaa 😊😊😊😊.
Maana kuna kichaa kikipanda unaweza ingiza sehem yoyote yenye utelezi.
Kuna mahouse girl wengine ni wasafi wanajipenda. Na sio wote wanavaa chupi za buku buku. 😀😀
 
Mtu akifa kwa kujinyonga ni ubinafsi mkubwa inabudi kuchapwa viboko hata kama kafa, kwa sababu unajiangalia wewe kuliko unao waacha , mtu akifa kafa hata ajitambui maumivu kwa wanao baki
 
Hao hawakuelewana wakati wanafunga ndoa.
Walihemka tu,inawezekana baada ya ndoa jamaa alipewa mbususu kwa mgao hata wa tanesko unafaa.
Housegirl anampa yooote.
Unategemea nini?
Mi mwenyewe nilisingiziwa kabla napita na housegirl
nilimkunyunga housegirl baadae sana na alitoa ushirikiano wote
maana hili janamke langu lilikua lipo tu na mshepu wake km embe bolibo.
 
Hapo sijui kama ni sahihi kuitwa matatizo ya afya ya akili.
Afya ya akili ingekuwa kama anaona tatizo mahali ambapo halipo.
Lakini hapa huyu mwanamke ametukanwa.
 
Hao hawakuelewana wakati wanafunga ndoa.
Walihemka tu,inawezekana baada ya ndoa jamaa alipewa mbususu kwa mgao hata wa tanesko unafaa.
Housegirl anampa yooote.
Unategemea nini?
Mi mwenyewe nilisingiziwa kabla napita na housegirl
nilimkunyunga housegirl baadae sana na alitoa ushirikiano wote
maana hili janamke langu lilikua lipo tu na mshepu wake km embe bolibo.
Mkuu hilo janamke lipo kama hili langu tu. Ni lipumbavu mno, nalazimika kwenda kufokoa nje
 
Usiseme hivi ndugu.

Kua uyoone.

Rip Shemej yetu.
Ila kwann asingeongea na ndugu wa upande wowote?.
Apate afuaeni na mawaidha mbili tatu.

Wanaume sisi sio wa kutuamini hata thumni.
Ukiwa katika hali hiyo hata akili ya kwamba ukiongea na mtu unapona huwa haipo. Watu wako wa karibu ndio hupaswa kugundua kuwa una tatizo na hivyo huwajibika kukudadisi na hatimaye kukurudisha katika hali ya kawaida. Ninavyoonq mim hapa tatizo ni jamii kushindwa kung'amua hili mapema kwa kudhani eti huenda ni "usalama wa taifa" kwa mujibu wa mtoa mada. Bila hii imani ya huenda ni usalama wa taifa maana ake wakazi wa eneo husika wangekuwa wa kwanza kumsaidia.
 
Hii gari imeonekana ikiwa imepaki pembezoni mwa uwanja wa hapa mtaani kwetu toka Jumanne ya wiki iliyo pita, mwenye gari hii alikuwa mdada.

Huyu dada ilikuwa Kila siku saa mbili asubuhi anakuja na gari lake ana paki hapo anashuka na kiti chake anakaa hapo nje ya gari chini ya mti, halafu ikifika saa sita Mchana anarudi kwenye gari anajifungia anatulia humo mpaka jioni saa 12 jioni ana Washa gari anaondoka.

Kwa bahati mbaya hakuna aliye jua huyu dada anatokea wapi mana alikuwa ni sura ngeni na wengi tulikuwa tuna mashaka naye huku tukihisi labda ni usalama wa taifa Kuna jambo anachunguza.

Toka hiyo Jumanne ni jumapili tu ndo hakuja ila siku zote zingine alikuwa anakuja anashinda hapo na gari lake ikifika jioni anaondoka.

Sasa bwana, Jana gari ilishinda hapo ila ilivyo fika jioni gari haikuondoka, mpaka ikafika saa mbili usiku ikabidi akaitwe Balozi akaja akawa anamgongea Ili afungue, lakini hakufungua, waligonga mpaka nusu saa lakini kimya, ikabidi ipigwe simu polisi, ndo wakaja.

Sasa polisi walivyo fika wakaangalia gari haina plate namba, ila siku zingine alizo kuwa ana paki plate namba zilikuwa Zina kuwepo, ila Jana gari ilionekana haina plate namba, polisi ikabidi wajaribu kuvunja kioo, ndo wakamkuta dada wa watu kalala alisha fariki muda sana huku kaacha ujumbe.

Inasemekana kuwa, huyu dada nyumbani kwake alikuwa na mdada wa kazi, Sasa yule mdada wa kazi akaja kuomba kuacha kazi arudi kwao, kumbe bwana alikuwa na ujauzito wa mume wa huyu dada, Dada wa kazi hakurudi Kwao baada ya kutoka hapo alipelekwa kupangishiwa nyumba na mume wa huyu dada.

Sasa huyu Dada baada ya kujua hilo jambo ndo shida ilianzia hapo, alipitia changamoto nyingi sana, mawazo sana Kupita kiasi na alishindwa kupokea hilo jambo.

Kumbe alikuwa akiaga anaenda kazini ila akawa anakuja Kushinda hapo kutokana na msongo wa mawazo alio kuwa akipitia, Dada alikuwa ni muajiriwa wa serikali.

Dada ameacha mtoto mmoja wa miaka Saba, mimba inasemekana ziligoma baada ya Kuzaa huyo mtoto mmoja tu.

Aisee hii Ime huzunisha watu wengi sana tuliamini ni usalama wa taifa kumbe mtu ana teseka.
Aisee poleni lakin pia jamii yetu ya kitanzania doesnt care mtu anapopitia changamoto za kiakili , from first days angepita mtu au watu wamuulize nini shida
Huenda wangeokoa maisha yake
 
Back
Top Bottom