Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Dah haya bana Shem.Tunazungumzia kilichotokea kwa sasa hivi
Siku nikualike marathon tu uachane na danganya toto hiyoNimeshaiona kabla yako na nimejiskia vibaya sana, mimi sio last born nakuzaa vizuri tu! Mnachanganyikiwa na miandiko mno!
Siwezi kukimbia mimiSiku nikualike marathon tu uachane na danganya toto hiyo
Kuna mahouse girl wengine ni wasafi wanajipenda. Na sio wote wanavaa chupi za buku buku. 😀😀Dah haya bana Shem.
Ila nadhan kilichompa stress zaid Shemej yetu ni pengine Beki 3 ni mbovu, ananukia vitunguu, chupi za cotton zote tena zile za buku buku. Ila jamaa kaenda kulamba asali.
hakujali mke anafanya kazi , tena serikalini. Ana gari na wanasaidiana kulea familia.
Mke hakujua kuwa Sisi wanaume ni Ubwaaaa 😊😊😊😊.
Maana kuna kichaa kikipanda unaweza ingiza sehem yoyote yenye utelezi.
Mkuu hilo janamke lipo kama hili langu tu. Ni lipumbavu mno, nalazimika kwenda kufokoa njeHao hawakuelewana wakati wanafunga ndoa.
Walihemka tu,inawezekana baada ya ndoa jamaa alipewa mbususu kwa mgao hata wa tanesko unafaa.
Housegirl anampa yooote.
Unategemea nini?
Mi mwenyewe nilisingiziwa kabla napita na housegirl
nilimkunyunga housegirl baadae sana na alitoa ushirikiano wote
maana hili janamke langu lilikua lipo tu na mshepu wake km embe bolibo.
Ukiwa katika hali hiyo hata akili ya kwamba ukiongea na mtu unapona huwa haipo. Watu wako wa karibu ndio hupaswa kugundua kuwa una tatizo na hivyo huwajibika kukudadisi na hatimaye kukurudisha katika hali ya kawaida. Ninavyoonq mim hapa tatizo ni jamii kushindwa kung'amua hili mapema kwa kudhani eti huenda ni "usalama wa taifa" kwa mujibu wa mtoa mada. Bila hii imani ya huenda ni usalama wa taifa maana ake wakazi wa eneo husika wangekuwa wa kwanza kumsaidia.Usiseme hivi ndugu.
Kua uyoone.
Rip Shemej yetu.
Ila kwann asingeongea na ndugu wa upande wowote?.
Apate afuaeni na mawaidha mbili tatu.
Wanaume sisi sio wa kutuamini hata thumni.
Aisee poleni lakin pia jamii yetu ya kitanzania doesnt care mtu anapopitia changamoto za kiakili , from first days angepita mtu au watu wamuulize nini shidaHii gari imeonekana ikiwa imepaki pembezoni mwa uwanja wa hapa mtaani kwetu toka Jumanne ya wiki iliyo pita, mwenye gari hii alikuwa mdada.
Huyu dada ilikuwa Kila siku saa mbili asubuhi anakuja na gari lake ana paki hapo anashuka na kiti chake anakaa hapo nje ya gari chini ya mti, halafu ikifika saa sita Mchana anarudi kwenye gari anajifungia anatulia humo mpaka jioni saa 12 jioni ana Washa gari anaondoka.
Kwa bahati mbaya hakuna aliye jua huyu dada anatokea wapi mana alikuwa ni sura ngeni na wengi tulikuwa tuna mashaka naye huku tukihisi labda ni usalama wa taifa Kuna jambo anachunguza.
Toka hiyo Jumanne ni jumapili tu ndo hakuja ila siku zote zingine alikuwa anakuja anashinda hapo na gari lake ikifika jioni anaondoka.
Sasa bwana, Jana gari ilishinda hapo ila ilivyo fika jioni gari haikuondoka, mpaka ikafika saa mbili usiku ikabidi akaitwe Balozi akaja akawa anamgongea Ili afungue, lakini hakufungua, waligonga mpaka nusu saa lakini kimya, ikabidi ipigwe simu polisi, ndo wakaja.
Sasa polisi walivyo fika wakaangalia gari haina plate namba, ila siku zingine alizo kuwa ana paki plate namba zilikuwa Zina kuwepo, ila Jana gari ilionekana haina plate namba, polisi ikabidi wajaribu kuvunja kioo, ndo wakamkuta dada wa watu kalala alisha fariki muda sana huku kaacha ujumbe.
Inasemekana kuwa, huyu dada nyumbani kwake alikuwa na mdada wa kazi, Sasa yule mdada wa kazi akaja kuomba kuacha kazi arudi kwao, kumbe bwana alikuwa na ujauzito wa mume wa huyu dada, Dada wa kazi hakurudi Kwao baada ya kutoka hapo alipelekwa kupangishiwa nyumba na mume wa huyu dada.
Sasa huyu Dada baada ya kujua hilo jambo ndo shida ilianzia hapo, alipitia changamoto nyingi sana, mawazo sana Kupita kiasi na alishindwa kupokea hilo jambo.
Kumbe alikuwa akiaga anaenda kazini ila akawa anakuja Kushinda hapo kutokana na msongo wa mawazo alio kuwa akipitia, Dada alikuwa ni muajiriwa wa serikali.
Dada ameacha mtoto mmoja wa miaka Saba, mimba inasemekana ziligoma baada ya Kuzaa huyo mtoto mmoja tu.
Aisee hii Ime huzunisha watu wengi sana tuliamini ni usalama wa taifa kumbe mtu ana teseka.
Duuh angevumilia tuu Jamani!Daaaaah nishagampotezaga shangazi yangu baada ya kuambukizwa HIV na mume wake alifanya maamuzi magumu akabugia madonge na kufariki